My Authors
Read all threads
DOCUMENTED EVIDENCE
Daktari mmoja alikuwa akisafiri kwa gari moshi. Alikaa kwenye chumba cha abiria peke yake. Baadae aliingia mwanamke Mrembo na kukaa jirani.
Daktari alifurahi sana na kutabasamu.Yule mwanamke alitabasamu pia ... 😊
Hii ilimfanya Dr afurahi zaidi ☺ akaenda kukaa karibu naye akimsalimia na kumjulia hali.
Baada ya muda kidogo, ghafla yule mwanamke alimsogelea karibu akainama kumnong'oneza kitu.
Dr alitega sikio kwa makini.🤔
"Nipe pesa zako zote, kadi ya benki na simu yako, La sivyo nitapiga kelele na kumwambia kila mtu unataka kunibaka.

Daktari alimwangalia huku akitabasamu. Alichukua karatasi na kalamu kutoka kwenye begi lake na kuandika.....
"Samahani, siwezi kusikia wala kuongea. Tafadhali andika kwenye karatasi hii chochote unachotaka kusema"Mwanamke yule aliandika na kumpa.
Daktari akaichukua ile karatasi akaiweka vizuri mfukoni kisha akainuka na kumwambia kwa sauti kubwa.
" Sasa unaweza kupiga kelele nakubaka"
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Dr. Pierre Binxete 🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!