Siku nyingine tena, tupige ka story flan ama sio bhana, ka uongo na ukweli
Kipindi hiko kama wapwa, tukiendelea kuinuana, bila kuchoka, mpaka makwapa yajue hayajui
Wakikuuliza ni nani, waambie ni kaka Bumunda tena, jana na leo
👇🏿👇🏿
Paite DAYO, sisi ndo namna tulipaita, kuokoa muda na nguvu. Hivi vilikuwa viwanja vya michezo, vingi kwenye sehemu moja
Michezo yote, soccer, basketball, volleyball, table tenis, badminton, darasa la muziki na kila kitu
Pembeni ya uwanja wa Karume, gate la nyuma la parokia kuu Musoma, ndipo mahala palipatikana hivi viwanja, kama nilivosema tulipaita DAYO.
Nilikwenda kuchora, ndio, kuchora, kujifunza kuchora, kwenye darasa langu la UCHORAJI
Kwann, ukiachana na passion yangu
Likizo moja, ilikuwa ni katikati ya mwaka nadhani, niko sekondari kipindi hiki
Pamoja na yote, nilikuwa mwanafunzi mzuri, nilichora sana, sana.
Mwalimu wetu, alikuwa anapata deals za kuchora saloons
'Eiyo Bob, kuna kazi nataka ukanifanyie, Mkendo, kuna saloon ukaupe maisha ukuta wake, unaweza??'
Aliniita Bob sababu ya Male, so ilikuwa poa tu
'Naweza ticha, we niaminie tu,
Kupata nafasi ya kuchora kuta, ilikuwa ndoto ya kila mmoja wetu darasani, kwa miaka zaidi ya minne, hii ilikuwa kazi yangu ya kwanza kuchora, nadhani umeisha iona shauku na furaha niliyokuwa nayo kuhusu hili
Hii ilikuwa sehemu imechangamka kidogo mjini, maduka kadhaa, na shughuli nyingi kidogo kwa wakazi wake
Nafika siku hiyo, ni saloon ya wadada, chini ya jengo moja karibu na tawi la bank moja
'Samahani we ndo dada Asnath??'- namuuliza mdada mmoja, niliyemkuta pale
Namuelekeza kilichonileta pale, ananionesha pahali palitakiwa kuchorwa, naanza kazi
Siku ya kwanza ilikuwa tu ni kufanya plot na maandalizi machache, framing na nn, nikitegemea kuanza kazi rasmi kesho yake
Ilitakiwa nimchore Ashanti
Nafika mapema sana, hata hivo ilipaswa nimgonje Asnath afungue saloon ili sasa niweze kuchora
Baada kama ya dakika 45 akawa amefika
'Pole masikini, nimekuchelewesha??nisamehe'
Simjibu kitu, namsalimia, nikitoa vifaa kwenye bag langu dogo la mgongoni
Inapaki gari moja, barabarani pembeni ya saloon, wanashuka mabinti flani watatu, kama waarabu, warembo sana, sana.
'Nyoo, akuchore nani, huyu Ashanti bibi wewe'- Asnath anajibu
'Unachora mwenyewe nini?mbona hatumuoni mchoraji??'- anasema yule mdada pia, yeye na wenzake wanacheka
Nilisema situkani leo, manina zangu
'Aanh wapi, hamjamuona kaka hapo nje mrefu mrefu hivi, ndo yeye'
'Mambo mkaka mrefu' - wanasema wote kwa pamoja
'Po-po po poa poa' nawajibu, naendelea na kazi yangu
Nikichora, kwa mbali nasikia wakiongea habari zao za kidada, kuna mjamaa mmoja alikuwa na kibamia, na alikuwa akisemwa hapa, jina hawakuwa wakimtaja
'Sikia Myra, tufuatie mwenzio chakula basi, njaa itatuua'
Myra, ndo jina la huyu mdada mrembo kuliko wote, na ndo huyu alikuwa anaagizwa msosi
'Eenh jamani, tunakuomba shogaa'- wenzake wanamwambia
Akianza kuondoka, mwenzake mmoja anamuambia
'Myra, muagizie na kaka mchoraji, ntamlipia, sawa eenh' anasema binti mmoja kati ya wale wawili wanaosuka
Kitu hawakukijua, niliyasikia mazungumzo yao yote, yote, kwa uzuri kabisa, yaani live and direct
'Kaka, samahani, utakuoa chips na nn??'
'Aanh no, silagi chips dada angu, asante lkn, niko sawa'
'Okey, njoo basi na kibhato, aweke na mboga za majani'
'Hiiiiii jamani, kibhato ndo kitu gani, eti Asnatiiiii huyu mkaka vipi??'- Myra anapiga kelele
Anaambiwa, anacheka
'Kaka, hawa sio kama wewe, unawaona walivyo lkn, there is no way, wanaeza jua kibhato ni nini??
'Okey sikiliza Myra, kibhato ni ugali wa mtama, uliochanganywa na muhogo, unauzwa na nyama choma, vipisi vidogo vidogo, paleeee
'Hee jamani, huyu mkaka, mboja ana hatari hivi??'- anasema Myra akiisogelea gari, ambayo baadae niliju ni yake
Namalizia kuchora, anarudi Myra na fuko, kubwa, lilijaa misosi nadhani
Mara anatoka Blandina, akiwa kashika cases mbili, moja yake, na moja ina kibhato changu
'Naitwa Bee, mambo kaka'- anasema
Poa, namjibu
'Kaka hutojali, please kula chakula nime
'Sikiliza kaka, unajua sana kuchora, napenda unavochora hapa, unaweza kunisaidia kitu kimoja'
Namuambia asiwe na wasiwasi aseme tu, shida yake
'Naomba unichore, nataka picha yangu kubwa ya kuchorwa, nna shida nayo'
'Ila nitakuomba uje nyumbani, utanichorea huko, ni sawa??'
Namuangalia yule dada, ananiangalia, kabla sijasema chochote anasema
...............................
Part one inaishia hapa
Tutendelea mabumunda
With LOVE
Kaka Bumunda
❤❤❤❤❤❤❤❤
Namba 8
Ni kwa kupitia Blandina, kama yeye mwenyewe akivojiita Bee, nadhani ilitakiwa kutamkwa kama ile ya Beyonce, ndipo nilipojua kwamba hawa wadada wote watatu, Blandina, Myra na Genevieve, wote ni wanachuo, Chuo cha Maendeleo ya Jamii- Buhare
Kwa maelezo yake, yeye Bee, alikuwa ni mtu wa Morogoro, mtoto wa kambo wa mkuu mmoja wa polisi enzi hizo, ndio IGP
Wa mwisho, Genevieve, huyu alikuwa mtoto wa Masamaki, tajiri mmoja wa samaki jijini Mwanza
Baada ya kusikia wako Diploma, chuoni, niliapa sitowaambia, kama niko kidato cha tatu, nilikuwa n mwili mkubwa, so walielewa kwamba
So, tuliishia Blandina anaomba akachorwe
Nilimkubalia, kwa maelezo kwamba, baada ya kumaliza kazi ya watu Saloon, ngemchora tu hivo asiwaze
Akiongea haya, maneno yalikuwa yanamake sense ni 'chochote' nikawa namuangalia, nacheka tu
Tukakubaliana, akanipa namba yake ya simu, tukala, tukamaliza, akaingia ndani kumalizia kusuka
Jioni saa kumi na mbili, nimeshammaliza Ashanti, kapendeza mwenyewe ukutani
Ile wanatoka, nusra Blandina anikumbatie mbele ya wenzake,
'Jamaniii, i cant wait for mine'
'Yours!!!nini??'- wakajibu wenzake Myra na Genevieve kwa pamoja
'Jamani na mimi'- Myra anasema
'Na mimi' - Genevieve anasema
'Sikia nikuambie Marley, hakuna mtu anataka kuchorwa hapa, they all want some dick, kuwa makini mdogo wangu'- Asnat
"They think u re cute, and wanao mpangi wa kujitombesha, kazi kwako"
Anafungua pochi yake- Asnath sasa, ananipa pesa, kama 80k,
'Hiyo ndo tulikubaliana na ticha wako, nadhani alikuambia'- anasema
Nachukua pesa, nakunja, naiweka
'U want a ride home handsome??'
"Ni sawa, nitatembea kidogo nifuate garu langu garage kama mtaa wa tatu, Gee na Myra, kwaherini, mi ntaondoka na Marley, tutaonana kesho chuoni"
Njiani, napiga story na Bee, akisisitiza nisiache kumchora, na nimchore vizuri
Namuhakikishia kwamba nitamchora asiwaze hat kidogo
Ni siku tumekubaliana, nikamchore Bee, asubuhi na mapema naamka, najitayarisha, vizuri tu, nampigia simu kwamba nakuja, ajiandae
Mi pia, naikunja drawing-board yangu, karatasi kadhaa A1, na vifaa vyangu vingine vya kuchorea, naita bodaboda, naondoka
Alikuwa anakaa ghorofa ya tatu, kwenye moja wapo ya majengo mtaa wa Mkinyerero
Nafika naingi ndani, pazuri kwa kweli, sebule haina mambo mengi
Pazuri nimesema
'Halafu samahani Marley, kuna kitu kimoja nilisahau kukuambia,ni kuhusu hii picha ambayo utanichora'
"Sijui utanionaje lakini, naomba unichore bila nguo"
Maaaan!!! this was a piece of an info, kimoyomoyo nikasema leo nitakoma😂😂
"Well its okey, this being my prof, ama do what a client needs"
"Ooh jamani asante kwa kuwa
Kichwani kwangu, hata nisiongope, kuna vitu vingi san vilikuwa vinaendelea, ilikuwa hatari sana😊😊
Nafungua drawing board, namuuliza
"Itakuwa hapa sitting room sio??"
"Hapana hapana, chumbani, nakuomba"-anajibu
Namuambia haina shida, tunaweza kwenda
Oi wapwa eenh
Sio kila mdada akiwa uchi wa mnyama anatisha, kuna viumbe wameumbwa siku Muumba alikuwa anatafuta sifa, Bee alikuwa mmoja wapo
Kifua chake ni hatari faiya kama liquid ya piere, tumbo sidhani kama anakulaga kitu zaidi ya kunywa maji, speaking of flat smooth tammy
Kazi ilikuwa moja tu, kumchora binti wa watu
Kakaa zake kwenye kona moja ya kitanda chake kukubwa, mikono kaiweka kama anaziba nyonyo zake ndogo
Miguu kaikutanisha kama miss akipiga cat walks
Vichwa vyote, hii ilifanya vidole kupunguza kasi, kama ingekuwa hii awamu, vingesha tumbuliwa kama majipu
Ni makelele tu ya masufuria nayasikia, mara na blender pia, juice flan ya parachichi
Wakati anamaliza kupika chakula, nilikuwa namaliza
"Pole baba angu, na asante sana, karibu chakula"
Nilikuwa na njaa, so nikaufakamia msosi nikala sana
Ukimaliza chakula, please, kuna juice kwenye fridge, jipendelee"- anasema Bee
Ananifuata ananinong'oneza
Ile namgeukia nikisema "nahitaji juice tu hapa niwe nimeshiba, asante kwa chakula"
Namuona Bee, akiachia khanga aliyokuwa ameivaa, na taratibu akielekea bafuni
Nafuata juice, namimina naanza kunywa
Mara!!!
"Njoo bana mi nasikia baridi, harakisha basi"
Nausogelea mlango wa bafu la huyu binti,naufungua, straight kwenye bomba ilipofungwa heater
"Kwann unajifanya mgumu hivi Marley, umenichora nikiwa uchi, umeona kila kitu changu, please usiondoke kabla hujaufanyia kitu mwili wangu, ntajisikia vibaya nife"
Namjibu, i i i was just being a pro
Kitu kimoja nataka kuwaambia wapwa, kuna magheto haya wachawi asiwaambie mtu, nimeshituka asubuhi siku inayofuata nikiwa nimechoka sana😂
Asubuhi tumeamka nguo zangu zilikuwa bafuni bado, ilibidi sasa nikazifue, eenh mimi mwenyewe nizianike, zikauke ili niweze kuondoka, zililowana jana
"Usihangaike, kuna DryCleaner hapo chini, acha
"Hizo nguvu nimekuokolea hapo Marley, njoo uzitumie huku"- anasema Bee akinivuta tukielekea chumbani kwake
Mtoto anataka tena😉
Naenda tena, kichwa cha chini kinatafuta sukari kama
Niliondoka baadae jioni, sikuwa hata n haja ya hela, hivo sikumuomba hata mia, tulikubaliana angenilipa dollar 200
Kwa raha na utamu nilipata, kipaji tu kilitosha, nini hela bhana😂😂😂
Muhuni nikasindikizwa na mtoto mpaka maghettoni
"Thanx Marley, for the picture and
Natoa drawing board yangu kwenye bonet, namuaga, nasepa home
Kesho yake asubuhi, maza ananiamsha asubuhi asubuhi
'Hela gani bana mama na wewe, mi nimelala ujue'
'Hizi nimezikuta kwenye bag lako nilikuwa nakufulia leo asubuhi, zina mbaba mwenye manywele, hata sio kama Nyeye wetu'
Naamka, natoka nje kumcheki maza
Namkuta maza kashika dola za kimarekani, nisikilize dola za kimarekani, note za dola mia mia ziko kama ishirini na tatu
Dollar 2300, elfu mbili mia tatu
Haraka haraka nachukua simu ya Blandina nimpigie, nakuta text kutoka kwake
"Thats urs Marley, again, asante'
Nilimuambia tu, ni mfano wa hela tulikuwa tunachora Dayo, she bought the idea, hata hivo nilim-spoil nazo kinyama
Siku namnunulia hivo vitenge, aliniuliza
Nikacheka zangu, nikatulia
So wapwa, thats was my time kwa leo
Tumalize kwanza kusoma hii, tutaendela na cases za Myra na Genevieve siku nyingine
Asanteni sana kwa kusoma, nendeni tena kwa Coco mbwa nyie😂😂😂
With LOVE
Kaka Bumunda
