My Authors
Read all threads
@sendorojs Hata uzembe nao ni sababu. You implied kwamba vyuo viadapt njia walizotumia sekondari. It requires more than the simple solution you are suggesting. Yes vyuo vilaumiwe kwa kutojiandaa. Lakini solution is not as simple as you suggest.
@sendorojs Ingekuwa ni rahisi kama tunavyodhani, basi kusingekuwa na haja ya kufungua vyuo Juni 1. Kuna changamoto kutoka kwa regulator, na kuna changamoto za ndani. Chuo ni taasisi. Na unapokuwa na taasisi maana yake una bureaucracy. Na Bureaucracy ndo inafanya mambo yasiende.
@sendorojs Ngoja nikuonyeshe tu business process moja. Mfano umeamua tu kuanzia leo hii kozi nataka iwe online. Implication ya hiyo ni kwamba unafanya review ya curriculum kwa kubadilisha orchestration ya activities, labda badala ya face tu face unaweza hours za online session.
@sendorojs The una indicate kwamba mode of delivery no nni online/odl au blended kwa maana ya face to face na online. Unapeleka curriculum for apporval kwenye committee ya senate, inapita inaenda kwenye kikao cha senate for approval, then unaenda TCU. Then TCU wanakuja kukagua uwezo wako
@sendorojs TCU wakitoa approval, the hiyo programm tunasema ipo accreditated, unaweza kuifundisha online. Sio tu kuamka asubuhi na mwalimu kujiamulia atarecord vipindi na kuwapatia wanafunzi. Yes unaweza kufanya hivyo but haitakuwa recognized kama haipo specified kwenye curriculum
@sendorojs Hiyo process niliyoielezea hapo juu lazima uifuate. Sekondari hawapo regulated hivyo. Ndo maana zipo option za hata kusoma elimu ya sekondari kwa mwaka mmoja. Kwa university huwezi soma mwaka mmoja. Elimu ipo highly regulated hapo.
@sendorojs Utapata tu degree kwa kuaccumulate minimum credit hours. Na jinsi ya kuzipata hizo credit hours lazima iendane na ilivyokuwa specified na accredited curriculum. Kinyume na hapo unavunja sheria. KWa hiyo naposema vyuo havikujiandaa kuadapt hiki ndo nakimaanisha.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Ntwa Katule

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!