My Authors
Read all threads
1/Kwenye VITA kuna sera inayoitwa SCORCHED EARTH POLICY. Ukishinda unaCHOMA MOTO KILA KITU, ili kuhakikisha huachii assets za kumsaidia adui wako.
Baada ya 2015 Mbowe •alichomewa MOTO shamba lake:
•alivunjiwa Bilicanas
•akafungiwa accounts zake
SCORCHED EARTH POLICY
2/Kwenye VITA kuna sera ya kuwinda na kukamata Jeshi la Adui na kulifunga ili wasiweze rudi kupingana na we:
Baada ya 2015 hawa watu wamewindwa na kukamatwa:
•Mbowe
•Lissu
•Mdee
•Lema
•Sugu
•Zitto
•Matiko
•Bulayo
•Heche
•Msigwa
•Kubenea
Na wengine wengi
3/Kwenye VITA Jeshi lina COURT MARTIAL na kuuwa SPIES wanaoletwa na maadui. Baada 2015 tumeshuhudia disappearances:
•Ben Sanane
•Azory Gwanda
•Daniel John
•Godfrey Luena
Na wengine wengi.
4/SIASA sio VITA. Siasa za vyama vingi zina LINDWA na KATIBA yetu. UPINZANI sio VITA. WAPINZANI si ADUI. Ni WAZALENDO waliyeamuwa kuitika WITO wa KIKATIBA.
MATAGA wanadhani hatuoni wakitumia SERA ZA VITA kudhibiti WAPINZANI huku wakisema “TZ ni Nchi ya Amani”.
5/Kwenye NCHI YA AMANI hutaona utumikaji wa SERA ZA VITA KUDHIBITI UPINZANI HALALI. Upinzani unadhibitiwa kwa kutumia SERA ZA AMANI maana si JESHI LA ADUI, ni waTZ wenzetu wenye FIKRA MBADALA na wana HAKI kuzieleza na kukosoa SERIKALI tena kwa ARI na UKALI!
6/Kwenye HISTORIA ya DUNIA hakuna NCHI iliyeJENGWA wakati wa VITA. VITA vina kitu kinachoitwa CASUALTIES of WAR (MAJERUHI YA VITA). Kila wakisema wanapigaVITA sisi tunapiga MAKOFI! Miaka 5 imepita tizameni MAJERUHI ya VITA:
1 UCHUMI
2 RULE OF LAW
3 DEMOKRASIA
ATHARI ya VITA!
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with fatma karume aka Shangazi

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!