My Authors
Read all threads
JE WAJUA SIRI ILYOPO NA FAIDA ZA KUAMKA ASUBUHI NA MAPEMA?

Ndugu yangu mpendwa leo tujifnze Siri na faida itokanayo na kuwahi kuamka mapema. Ktk mambo ambayo yanamatokeo chanya na natija kibao ktk afya yako na maisha kwa ujumla ni kuwahi kuamka asubuhi na mapema.
Lakini kutokana na ujinga kuchelewa kuamka kumekua ni ufahari na alama ya maisha mazuri. Zingatia; ili kuweza kuamka ktk muda muwafaka jitahidi Kuala mapema. Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na kuamka asubuhi mapema;
👉husaidia kuzuia uwezekano wakupata ugonjwa wa kukosa kumbukumbu, na kuimarisha afya ya ubongo. haya yanatarajiwa Kwa mwenye Kuala ndani ya masaa muafaka na akaamka mapema.

👉kupata fursa sahihi ya kufanya mazoezi ambayo ni nukta muhimu ktk kuimarisha afya yako
👉kuimarisha utendaji kazi wa moyo na mzunguko wa damu, kinyume chake ni kudhoofisha utendaji wake maarufu kwa kitaalamu Kama cardiac functioning.

👉kupata wasaa mkubwa wa kukamilisha majukumu yako ya kila siku, asubuhi ni kipengele muhimu sana ktk kuyaendea majukumu mbalimbali.
👉husaidi kupanga ratiba makini na mathubuti ya mizunguko yako ya siku nzima na maisha Kwa ujumla, tafiti za hapa na pale zinaonesha kuwa asubuhi mapema ndio muda pekee ambao ubongo huwa na nguvu na uwezo Wa aina yake.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!