My Authors
Read all threads
Wanawake wanene au wenye uzito kupita kiasi au waliozaa huwa na matumbo makubwa au vitambi vinavyoharibu muonekano wao mzuri. Ili kuwa na tumbo zuri (flat belly) bila ya kuwa na mtaalamu wa mazoezi (waist trainer) fuatilia huu uzi (thread). #TibaFasta
Aina ya Mazoezi Yanayofanya Tumbo Zuri Bila ya Kuwa na Mtaalamu wa Mazoezi (Waist Trainer): Side plank with twist~> Lala ubavu, weka mkono wako mmoja nyuma ya kichwa kisha fanya kama unajaribu kuleta kiwiko chako chini. Fanya hivyo walau mara 15 kwa kila upande. #TibaFasta
Aina ya Mazoezi Yanayofanya Tumbo Zuri Bila ya Kuwa na Mtaalamu wa Mazoezi ya Kiuno (Waist Trainer): Heel grabbers ~> Lala chali huku mikono ikiwa chini pia, inua kifua chako huku ukijaribu kushika visigino vyako kwa kila upande mara 15. #TibaFasta
Aina ya Mazoezi Yanayofanya Tumbo Zuri Bila ya Kuwa na Mtaalamu wa Mazoezi ya Kiuno (Waist Trainer): Jack knife ~> Lala chali ikiwa ni pamoja na kunyooya mikono yako. Kuanzia hapo sogeza mkono wako wa kulia kushika mguu wa kushoto. Fanya hivyo pande zote walau mara 15. #TibaFasta
Aina ya Mazoezi Yanayofanya Tumbo Zuri Bila ya Kuwa na Mtaalamu wa Mazoezi ya Kiuno (Waist Trainer): V-ups or knee hugs ~> Lala chali, nyoosha miguu na mikono yako, Jaribu kukutanisha miguu na mikono yako juu ya kiuno chako. Fanya hivyo walau mara 15. #TibaFasta
Aina ya Mazoezi Yanayofanya Tumbo Zuri Bila ya Kuwa na Mtaalamu wa Mazoezi ya Kiuno : Triangle crunch ~> Piga magoti huku mguu wako wa kulia ukiwa umeunyoosha, weka mkono wa kushoto chini, mkono wa kulia nyuma ya kichwa. Leta goti la kulia kwenye kiwiko cha kulia. #TibaFasta
Aina ya Mazoezi Yanayofanya Tumbo Zuri Bila ya Kuwa na Mtaalamu wa Mazoezi ya Kiuno (Waist Trainer): Bicycle crunch ~> Lala chali huku mikono yako ikiwa nyuma ya kichwa, kunja magoti yako 90° halafu fanya kiwiko cha kulia kikutane & goti la kushoto. Badili kila upande. #TibaFasta
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Dr. Joachim Mabula

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!