Story Za Tonnie Sn 4 Ep 4 ( HELL IN A CELL ๐Ÿš”๐Ÿ‘ฎ๐Ÿ‘น๐Ÿ˜ญ)

When you are courting a nice girl an hour seems like a second, When you sit on a red-hot cinder a second seems like an hour. That's Albert Einstein on relativity. There's no better way to introduce this Story, so Skiza Story..
JUJA, April 2019. It was one of those calm Saturdays, my girl had come over for the weekend. I took her to my local joint to watch football and she really liked it, game locals hushika vinoma, kwanza banter inakua pale ๐Ÿ˜‚. Game ya mwisho iliisha at around 8:30pm...
We had been together the entire time since she arrived, so nikamfikisha kejani then nikatoka kidogo kutake a breather, kukaa na dem for long mtazoeana vibaya๐Ÿ˜‚. So nikatoka kupiga raundi moja J city alafu nirudi. Nikiwa kwenye harakati, kitu ikaniambia niingie joint ya pool๐Ÿ˜‚.
I'm huge a Pool table fan, the only game I like more is football๐Ÿ˜‚.Kuingia joint nikapata game ndo inaanza, ilikua game ya 100, Cabrones hawanga pesa bana. Nikaamua kudandia iko nene, besides, I'm very confident with my skills on Pool, mpaka local talents huwa wananiogopa mbaya๐Ÿ˜‚
Joining that game was the worst decision that I made that night as it would turn out. I told myself I was only going to play one game then leave, I had told my girl I'd be back in like 20 minutes. Mostly in stories like this one, things never go as planned๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Three balls left on the table, I have the cue ball in hand, and I'm leading on the chalk board. I just need to pot two balls to win the damn game. Nikaekelea cue ball strategically kwa table, then went to chalk the cue stick, hio time nilikua nabonga chafu๐Ÿ˜‚,hio game ilikua done.
Even the rest of the players knew their chances of survival were minimal, nilikua nawaambia hio pesa yao nabuy nayo slippers za bafu๐Ÿ˜‚. So I bend over on the table and pot the first ball, the chalkman goes, "Tonnie, moneyball!". It was over for the cabrones, mwisho wa reli๐Ÿ˜‚.
So I'm standing there, chalking my cue stick, nikiwaambia waombe kwa mara ya mwisho๐Ÿ˜‚, Tonnie hajaiacha Moneyball juu ya table. If I'm to be honest, I took longer than expected to pot that ball, sijui ni kiburi? ๐Ÿ˜‚. Nilikua nipewe 550, so nilikua napiga hesabu chini ya maji..
I have to treat my girl na pesa ya hawa mafala, so Nyama ya 200, fanta ya 100, chipo moja, na smokie mbili mbili, nyama tutapika baadae ๐Ÿ˜‚. Mpango nilikua nayo matata, lakini kama vile Mungu hukuja dakika ya 90,shetani naye pia sio Kamau, saa ingine anakuja dakika ya 90+4๐Ÿ˜‚.
Just when I was about to pot the Moneyball, nikaskia zile sauti funny za makabuti huko nje, tena zimefuatwa na mwangaza ingine noma kama headlights za V8. Kidogo nikaskia, "kila mutu geti chini", destination f!cked. They were there, and they didn't mean well, the damn cops๐Ÿ˜ฉ.
"Nyinyi ndio mnaleta casino mashinani?, Afande hii watu yote tunaeka ndani, itisha gari". It was my first time being arrested and I didn't even know why I was being arrested, the place had a license, but jokes on you if you think the cops give a shit๐Ÿ˜‚. About 12 cops came in..
We were about 25. "Shigana wawili wawili kama makasi haraka haraka" ๐Ÿ˜‚. They handcuffed us in pairs, teketeke tukaingizwa kwa cruiser. Tulifit about watu 16, fala fulani akadai ati "afande tunafinyana" big mistake. "Gichana mnafinya gari, hii gari ni kubwa sana, acha niwasort" ๐Ÿ˜‚
Huyo karao aligurumisha hio cruiser, then akaikanyaga at 80 over 50 meters alafu akapiga emergency, tukaingia hadi nusu๐Ÿ˜‚. "Si unaona nafasi ni kubwa sana". So hio mbogi ingine ikaingia tukapelekwa station. I wasn't tensed yet, besides si eti nilikua nimefanya makosa mimi, alaa๐Ÿ˜‚
They knew we were all students, so kufika ata hatukubookiwa. "Toa mshipi, simu, na kiatu moja". I didn't understand what the hell was going on ๐Ÿ˜‚, kidogo naskia tunaambiwa "kwa sababu mmekataa kusoma, acha tupee nyinyi mahali ya kulala leo, ingia ndani haraka" followed by whips๐Ÿ˜‚
"Hapa rent hulipi, chakula ni bure, mattress tu ndio hakuna" ๐Ÿ˜ญ. First time in a cell and I can tell you it's not funny. You go into a room full of all sorts of people and the worst thing is that you can't even see them. Now add that to the stories you hear about cells, horror ๐Ÿ˜ญ
Sijawahi tetemeka hivo, wueh! ๐Ÿ˜ฉ. "Karibuni, usijaribu kunikanyaga!" It was the first time for most of us, ilibidi tumeshikana mikono tutiane moyo. I was praying hao magaidi tulipata ndani wasiamue vibaya, mnyambis yangu wasn't ready ๐Ÿ˜ญ. Luckily they didn't harm us at all..
The tension had diverted my attention from the stench in that place. Bear in mind there are in people in there who haven't showered in days, na kumejaa pomoni, joto, stench, na umesimama, khaiii๐Ÿ˜ญ. The cops only kept us in there for 30 minutes, lakini hio 30 ilikua kama 2 weeks๐Ÿ˜ฉ
They knew we would do anything not to get back in there. Vile tulitoka wakasema yule ako na thao apeane, ile yangu ya savings nikatoa, ata wangetaka simu ningewapea๐Ÿ˜‚. Wueh, that place is not human friendly, hapo unaeza kufa haraka sana๐Ÿ˜‚.Finally, I was released๐Ÿ˜ฉ
Nilikalia nduthi hadi kejani, kufika nilenda bafu straight. My girl thought nimetoka kupiga mechi, ati nimeingia bafu kusafisha dhambi๐Ÿ˜‚. I told her I was going to explain later. She kept insisting, the only words I said were "HELL IN A CELL". I didn't wanna talk ๐Ÿ˜‚.
Nilienda bed straight, nikikumbuka nilikua nilale kwa floor, najipendua ka fala๐Ÿ˜‚. Baadae nikakumbuka wasee niliacha ndani nikaona niko na ufala, hao cabrones wako kwenye sakafu na mimi niko na dem na najifanya nalala, haigwesekani, nilipiga mechi moja balaa๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
If you haven't been in a cell I'll tell you this, 1 minute in a cell seems like 4 hours. Relativity.
Lakini kama ningepot moneyball teketeke ningetoka na pesa na singeshikwa, lakini kiburi๐Ÿ˜‚.
Anyway leo nimeamua tupige story different, sekete si mmezoea sana๐Ÿ˜‚. We're back.
So a different type of story today, but I felt the need to tell you about my first experience in a cell.
Anyway tunarudi kwa maeneo yetu ya anasa in the next story. Mpaka tumalize season 4.

Have you ever been in a cell? How was the experience? Tuchanue.

โ€ข โ€ข โ€ข

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
ใ€€

Keep Current with Tonnie Wa Juja.โ„ข

Tonnie Wa Juja.โ„ข Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @tonnie_wa_juja

4 Sep
Story Za Tonnie Sn 3 Ep 6( Cabron akipelekwa chain๐Ÿ†๐Ÿ‘๐Ÿ’ฆ)

Cabrones have this behavior of passing on girls they have sampled to their fellow cabrones ๐Ÿ˜‚, they give such girls the name "Dem wa merry go round" ๐Ÿ˜‚. But lately the game is changing, girls are doing it too, Skiza Story
So there was this girl who was a friend of mine, Kate. She knew I was dating and I knew she was dating too,even our partners knew each other. I knew her through another friend of mine and we became really close. Alikua anaishi karibu na kwangu so I often passed by to check on her
Girl was living a comfortable life, she was from a rich family, mimi ata singekubali afike bedsitter yangu๐Ÿ˜‚.I used to pass by a lot at night nikitoka FIFA, kwanza nikijua bedsitter naenda kupika ugali sukuma kama sungura,napitia kwake napiga stooori, anapika, tunakula, naishia๐Ÿ˜‚
Read 26 tweets
1 Sep
Story Za Tonnie Sn 3 Ep 5
(Bibi Ya Wenyewe Is A No Go ZoneโŒ๐Ÿšซ๐Ÿ†๐Ÿ‘)

"Bibi ya wenyewe is a no go zone",You should take these lyrics from Sauti Sol's Extravaganza very seriously cabrones.Monkey business with another man's wife is very dangerous,I learned the hard way,Skiza Story..
Kuna end month fulani hapo mi na geng yangu ya broke cabrones tuliamua enough is enough, tulikua tumechoka kukata konyagi bedsitter buana, we had to go for a real party ๐Ÿ˜‚. So tukasanitize shopping, tukatoa vitu sio important, kama steelwire, ndio tusave tupate ya pombe...
The 3 of us managed to save around 5K, pesa inaweza nunua 50ร—100 Kinoo, hio pesa tungebaki juja hatungeweza kuimaliza, wueh๐Ÿ˜‚, So tukaamua tufike Blend Thika kama masoshi wenzetu, iko nene๐Ÿ˜‚. Kama kawaida nikapiga ile luku yangu matata, Jinare, Airmax na jersey ya Juve, mwaki๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‚
Read 24 tweets
28 Aug
Story Za Tonnie Sn 3 Ep 3( Breach of Bro CodeโŒ๐Ÿ†๐Ÿ‘๐Ÿ’ฆ)
Niggalations 4:13, A bro shall never sample another bro's girlfriend. That's among the most respected codes in the streets, but what happens when it's breached? Well I found myself in the middle of such a saga, Skiza story...
Previously I had mentioned nilikua na Cabron fulani beshte yangu mbaaya anaitwa Edu. Edu alikuanga wale wasee wa kupagawa kimapenzi. Kila time alikua anaongelea manzi yake, mara ooh "nacheza game ya mwisho niende manzi yangu asijam" sijui ooh "manzi yangu alisema nisichelewe" ๐Ÿ˜•
Jamaa mpaka alikua anapause game ndo ashike simu ya manzi yake,can't be me๐Ÿšฎ.Anyway, nasema huyu boyz alikua amezama kwenye mapenzi, lakini hakuna mtu alikua anajua huyo manzi yake, maybe he had a reason to keep her away from us. Day fulani Edu alikam kugame akiwa na stress mbaya
Read 29 tweets
26 Aug
Story Za Tonnie Sn 3 Ep 2( Sex Toys ๐Ÿ†๐Ÿ‘๐Ÿ’ฆ)
Once a womam gets used to sex toys, she can never be satisfied by sex from a man, I know some ladies might want to argue but, I mean you have seen those things, even we Cabrons can't compete with that. I met such a lady ๐Ÿ˜ญ, skiza story
Day fulani nilikua bash ya beshte yangu, J city. Party had a nice ratio, madem walikua enough๐Ÿ˜‚. It was one of my better parties in juja. Nilikua nimetulia, lakini vile molasses ilikick in nikaamka na tumbler yangu kama mejja kudance. Nilikua nimespot dem fulani, fine ass๐Ÿ‘๐Ÿ˜‰...
Nikamshika, kama automated generator dem akaanza kazi, urombosaji๐Ÿ˜‚. Kabla ata bosco arealize temperature change, nikaona gari ingine hapo kando kubwa ajab๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‘. Teketeke nikapiga box + X, nikaacha hiyo managu nilikua nayo. Singeacha hiyo steak ipatikane na fisi mwenzagu ๐Ÿ˜‚...
Read 24 tweets
24 Aug
Story Za Tonnie Sn 3 Ep 1( Lungula Lessons ๐Ÿ†๐Ÿ‘๐Ÿ’ฆ)
I'm a huge believer of the fact that no matter how much sex you may have had, when you have sex with a new person, they introduce a new aspect of sex that you haven't seen before, it's either good or bad๐Ÿ˜‚..maybe you don't agree.
Well, with a body count of double figures, you can guess how many different things I've come to learn. So I used to be so confident about my sexual knowledge, well until I met this one girl, crazy girl, she taught me half of the things I know about sex today๐Ÿ˜‚.... Skiza Story..
After I did my 2.2 exams, it was time for the long holiday, that time I didn't know I could actually remain in juja and try to make ends meet like other cabrons, so nilipack bag nguo zangu zote kwa bag, cabrons hatunanga nguo tunaeza split ati zingine chuo zingine home๐Ÿ˜‚...
Read 24 tweets
10 Aug
Story Za Tonnie Sn 2 Ep 4 ( Gari Ni Gari Kwa Dereva ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ†๐Ÿ‘)
I have to say, I honestly don't know how I pulled this, it's probably one of my best hunts, if I can call it that. Rekles aliwaambia gari ni gari kwa dereva, maybe he drew inspiration from this encounter ๐Ÿ˜‚, skiza story.
Ata kama mimi ni broke Cabron, I have an uncle mwenye ameomoka mbaya. So, on this day it was his daughter's graduation party, alikua amemuekea bonge la bash๐Ÿ˜‚. Cuzo alikua ameinvite a lot of people, her friends from school. Hio time nilikua 2nd year, nikatoka J city nikaenda home
The party started at 2pm, plan ilikua the party involving everybody ifanyike mchana then at night, the parents wajikate cuzo abaki na clique yake for the night. So after hio party ya mchana, wazae wakajitoa tukabaki macuzo na mabeshte wa huyo cousin yangu, it was party time๐Ÿ˜‚..
Read 20 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!