Kijana Wa Chuka:
Vile maisha yalianza Chuka
Episode 1.
Fresha akiingia Chuka kwanza wa Sep intake hupata ndagani ikiwa land of haven. They say, Ndagani ni subCapital of New York ju ya starehe hapo streets.
Kumbe hawajui hii ni Kuwait maisha yanawategea hapo mbele.
remember when I first landed in Ndagani, fresh from high school😃
I saw things as expected, kwanza nikikumbaka tukiambiwa campus madem ni kujileta😂😂Pretty girls, big butts,this where it goes down
I just don't how this shit works
Orientation inaaza,wenye tulitia bidii high school na agenda zingine tunafika kushika mashamba kama ArapMashamba😂
Kabla ata lunch break ifike nilikuwa almost kusema enough of plot numbers.
Lakini si mnajua ata Kenyatta family bado wakipata vacant land watachukua tu😏
Tukiwa tunaenda lunch, almost hapo Dispensary, nikachek yegs flani😛
Combo ya KameneGoro na BettyKyalo😋
BoyChild nikaanza kupumua kama CrazyNairobian akiwa mechi after kudish Indomie 😂
Mlisema mwanaume afe kama amejaribu.
Nilijipeleka mwenyewe na kumsalimia,
Kupeana mkono(🤝) kama Uhunye na Rao nilipewa hug kama UhuRuto before things went apart.
Nikajua hii imejipa, odds haitaki analysis,
Nikachukua number ndio nimtafute after lunch
Kurudi afternoon session,nikaskia text imeingia,
Furaha ya mukuru amenitumia pesa ya nyama, kuangalia text ni yule dem, akiniambia place amekaa. Lakini si nyama ni nyama😂
Kufika hapo, adi nimewekewa place ya kukaa 😜 adi nikaanza kushuku ni fixed odd
She became my orientation 😂 actually my brochure.
I can't tell what else, but mimi nilinywewa,
Nikijaribu kuanza our normal questionnaire, naangalia thighs najisahau😉
Sikua na confidence kama Eric Omondi but kama vile Simple Boy aliingia game pia nilianza kurusha content, lakini dem alikaa kuchanuka kuniliko💔shida ya kutoka village😂. But si mnajua hakuna ugali ngumu mbele ya mluhya.
Nikashikwa mkono nikajua hii, acha nitegee congratulation message.

to be continued Episode 2.
Compile @threadreaderapp unroll

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Kijana_Wa_Chuka🥃

Kijana_Wa_Chuka🥃 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!