#simulizinaHB Mwaka 1918 kijana Eikichi Suzuki wa Japan aliununua mdoli huu na kumpa mdogo wake Kikuko wa miaka miwili kama zawadi. Kikuko aliupenda sana mdoli huu, akawa analala nao, anacheza nao N.K lakini siku chache tuu baada ya kupewa mdoli huu aliugua homa kali ya siku
👇👇
moja na akafa.

Familia ya mtoto huyu waliuhifadhi mdoli huu ndani ya chumba alichokuwa akilala mtoto wao na kuupa jina la marehemu mtoto wao 'Kikuko' na ilikuwa kila wakifanya ibada kumuombea mtoto huyo marehemu, walikuwa wakiuombea pia mdoli huu.

Siku moja waligundua kitu

👇
kisicho cha kawaida, nywele za mdoli huu zilikuwa zinaota na baadae kuwa ndefu kabisa kama zinavyokuwa kwa binadamu. walichukua hii kama ishara kuwa Mdoli huu ulikuwa ameingiwa na roho ya kishetani/roho ya mzimu wa marehemu mtoto wao.

Mwaka 1938 familia iliamua kuuhama mji wa
Hokkaido, walikubaliana kuwa mdoli huu ubaki huko huko, wakaukabidhi kwa watawala wa hekalu la 'Mannenji' na wakawaeleza kila kitu kilichotokea. Tangu hapo mdoli huu upo katika hekalu hili, watu mara nyingi huja kujionea nywele zake hizo zinazokua.

Roho hii ya kishetani haipo
katika mdoli huu pekee, ilikuwepo pia katika sehemu nyingi nchini humo na hili lilipelekea mdoli huo kubadilishwa jina na kuitwa “okiku”.

Roho hii ilikuwepo pia katika kisima kimoja huko himeji, usiku alisikika mtu akidumbukia kisimani huku akilia,

Kwa sasa mdoli huo
Una nywele ndefu zinazofika chini kabisa. Lakini viongozi wa hapo huhakikisha wanazipunguza kila wakati, japo ni jambo la hatari sana kulifanya kwa mdoli huu,

Lakini mmoja wa viongozi alianza kuzikata nywele hizo baada ya kusema ameota ndoto ya mdoli huu ukimtaka afanye hivo
Hakuna mtu aliyewahi kusema kwanini nywele za mdoli huo zinaota na kuongezeka, uchunguzi wa kisayansi ulibainisha kuwa nywele zake ni za mtoto wa binadamu, bado hakuna ushahidi wowote juu ya hilo

Wanasema pia ukiukaribia sana na kuuangalia mdomo wake unapanuka na kuwa wazi
Unaweza ukaona meno yake yanayokua pia.

End

#SimulizinaHB

Retweet🙏

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with HeadBoy PhD

HeadBoy PhD Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Yunusijr

5 Apr
#SimulizinaHB Shirikisho la soka la Australia lilimtumia mchawi kutoka zimbabwe ili wafuzu kucheza kombe la dunia kwa mara ya kwanza mwaka 1974 huko German, walifanikiwa lakini mtaalamu hawakumlipa.

Toka hapo hawakufuzu mpaka mwaka 2005 waliporudi kumfata mtaalam👇👇 Image
Kilichotokea ni kuzorota kwa timu hiyo ya taifa kufuzu kucheza kombe la dunia tena, hawakufuzu tena kamwe. Laana hiyo ilifika mwisho mwaka 2005 wakati ujumbe kutoka shirikisho la soka la Australia na mwandishi mmoja waliposafiri kuja Afrika na kumlipa mchawi mwingine ili
kuwasaidia kuiondoa laana hiyo.

Baada ya hapo Australia ilifanikiwa kufuzu kwenye kombe la dunia tena huko Ujerumani mwaka 2006 baada ya kutofuzu kwa miaka 32 tangu mwaka huo 1974 na imeendelea kufunzu kwa miaka yote ya mashindano hayo kuanzia 2010, 2014 na 2018

Mwaka huo 2006
Read 5 tweets
5 Apr
#UZI Unaripoti mtandao wa BBC April 27, 2016 na Mtandao wa Forbes Augost 6, 2016.

Trasmoz ni kijiji kidogo kilichopo katika milima ya Micayo mjini Zaragoza, Aragon kaskazini mwa Hispania, ni kijiji kidogo tuu chenye idadi ya watu wasiofika 100. Image
Watu wote katika kijiji hiki ni wachawi, wanazo alama zao ambazo zimechorwa kwa rangi nyeupe katika kila mlango wa nyumba ya kila mwanakijiji wa hapo.

Inaelezwa kwamba kijiji hiki kimelaaniwa na kanisa katoliki duniani, yaani kutokana na kuwa ni kijiji cha wachawi pekee basi
kanisa katoliki halikitambui wala haliwatambui watu wanaoishi huko kwamba nao wapo katika dunia hii, kanisa limekilaani kijiji hiki na watu wake.

Kila ikifika mwezi June wa kila mwaka wachawi katika kijiji hiki huandaa tamasha kubwa ambalo pia hutoa zawadi kwa yule wanaemwita
Read 8 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!