Wazee wa Congo #CongoVibes

Leo natafsiri wimbo wa JB mpiana uitwao KINSHASA

Ukienda YouTube, huwezi kuona kokote wimbo huu ukiimbwa live.

Unajua ni kwa nini?

Ni kwa sababu kila ukiimbwa,mawe hurushwa jukwaani na wahuni wa KINSHASA maarufu kama “BASHEGE”
Wimbo huu ulitafsiriwa kama dongo kwa hasimu wa JB MPIANA nikimaanisha WERRASON ambaye yeye hujiita ni mtoto wa mjini aliyetokea maeneo ya Bandalungwa pale pale KINSHASA huku JB akisemwa ni mshamba aliyetokea huko KASAI

TUANGAZIE MASHAIRI👇
NGAI NAYOKAKI NA SANGO KIN ETONTA SENTIMENT
(Nilisikia habari kinshasa imejaa raha)

NTANGO NAKOMI NA KIN ANGO NGAI NAMIYOKELI MAWAAAH!
(Nilipofika Kinshasa yenyewe nilijisikia huzuni)

UUH! NGAI NAMIYOKELI MAWA
(uuh nilijisikia huzuni)
NGAI NAYOKAKI NA SANGO KIN POTO MOINDO
(Nilikia habari Kinshasa ni Ulaya ya mwafrika)

NTANGO NAYOKAKI NA RADIO MBANGU NASOMBI TICKET
(Niliposikia kwenye radio habari hizi haraka nikakata tiketi)
NTANGO NAKOMI NA KIN YANGO MINGI BITAMBOLA MPIPA,SUSCIIII!
(Nilipofika Kinshasa nikakuta wengi wanazurura hovyo usiku, huruma)

PLANTATIONS BAFARM TOTIKELI NA NANI OOOH
(Mazao mashambani tunamwachia nani/Anamaanisha vijijini)
ET POURTANT BISO NA VIRAGE VOIR KINSHASHA ET PUIS MOURIR
(Utakuta sisi vijijini tunatamani kufika kishasha warau mara moja kabla hatujafa)

OZALA MWASI MOBALI TO MWANA RENDEZ-VOUS NA KIN
(Uwe mwanamke,mwanaume au mtoto ndoto yako ni Kinshasa)
NTANGO NAKOTI NA MATONGE OYO KOKAMWA
(Nilipofika Mtaa wa MATONGE nikapigwa na butwaa)

NTANGO NAKOMI NA BOULEVARD ILLUSION OOH
(Nilipofika mtaa wa BOULEVARD nikagundua zilikuwa ndoto za mchana)
PAR CI PAR MATANGA(PAR CI PAR BFETI)
(unakuta hapa pana msiba,pembeni kuna sherehe)

PAR CI PAR BAWENZE(PAR CI PAR BAFULU)
(Hapa kuna soko,pembeni kuna dampo)

TALA KUNA BAKANGI MOTO, YOKA KUNA BAYIBI
(Jiadhari na migambo, Jiadhari na vibaka)
OYO NETI SODOMA,OYO NETI GOMORA SUSCI
(Ni kama Sodoma vile,Ni kama Gomora vile) Huruma
KOLIA KOLATA KAKA MBONGO
(Kula na kuvaa kila kitu ni pesa)

TRANSPORT EKOMA NDE LUXE
(Usafiri ni ghali)

KOKENDE KELASI “LIGNE 11”
(Kwenda shule ni kwa miguu/Tz 11😂😂)

MINERVAL KAKA EN DEVISES
(Mkoni umeshika ada pungufu)
NANI TUBAKA KINSHASA YAYI KELE FINALE NGO
(Nani alitudanganya kuwa Kinshasa ni peponi)

BETO MEMONA NA MISO YAYI KELE LUVULU
(Wakati kwa kuangalia kwa macho tu ni kama motoni)

KINO KUBWELA METO YAYI KELE KALOVE
(Kinshasa unaweza kununua changudoa kwa ujira mdogo sana)

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with fortunatus buyobe

fortunatus buyobe Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @fbuyobe

18 Sep
NCHI NGUMU SANA HII

Nilikuwa nimeshaanza kuichambua kesi maafu sana ya JUSTINE KAKURU KASUSURA ambaye alishtakiwa kwa kupora pesa kiasi cha dola za kimarekani millioni 2 mali ya CITIBANK.

Niliandika kidogo hapa twitter lakini nikapata taarifa mpya kabisa za ndani za mkasa huu.
Nimeamini msemo usemao USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA.

Issue ya KASUSURA ni zaidi ya tuliyoyasikia mahakamani

Aliyesimama mahakamani na kudai yeye ndiye alikuwa kwenye gari na kasusura ALIIDANGANYA MAHAKAMA, ninaweza kuripoti hivi sasa.
Pia aliyesimama mahakamani na kudai yeye ndiye alikuwa Technical director wa KNIGHT SUPPORT aliindanganya mahakama. Ninaweza kuripoti hivi sasa.
Read 31 tweets
16 Sep
Nimepata DMs nyingi zikitaka nielezee kilichojiri kwenye mkasa wa JUSTINE KASUSURA baada ya maoni yangu ya leo mchana nilipoigusia kesi hii.

Nitaanza kwa kuelezea kilichojiri siku ya tukio mujibu wa maelezo ya upande wa mashtaka

UZI👇
Tarehe 2 August 2001, Manager wa kampuni ya ulinzi ya KNIGHT SUPPORT aliyeitwa DARREN, aliwatuma wafanyakazi wawili wa kampuni hiyo kwenda kupokea mzigo Uwanja wa ndege wa Dar na kuupeleka mzigo ule kwa mhusika ambaye ni CITIBANK
Wafanyakazi hao walikuwa ni SAID MUSSA HAMIS na JUSTINE KAKURU KASUSURA ambapo walikabidhiwa gari na KASUSURA ndiye alikuwa dereva.

KASUSURA alikabidhiwa bastora isiyo na risasi na MUSA alikabidhiwa simu kwa ajiri ya mawasiliano.
Read 11 tweets
16 Sep
Pingamizi la jana la mawakili wanaomtetea Mbowe,Linaendana na Mojawapo ya sababu zilizosababisha JUSTINE KASUSURA ashide rufaa yake dhidi ya jamhuri mwaka 2010.

Justine alitoa hoja kuwa Maelezo yake yalichukuliwa nje ya muda wa kisheria(Maa manne) Tangu akamatwe.
Vifungu vya 50 na 51 vya sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai(CPA), Vinaelekeza mtu kuchukuliwa maelezo ya onyo(cautioned statement) ndani ya muda wa masaa 4 tangu kukamatwa kwake. Na kama kuna mazingira ya muda kuongezeka inatakiwa kuomba nyongeza ya muda mahakamani. CPA 50(1)b
Niweke tu Angalizo, Kifungu cha 50(2)(a) Kinaruhusu mtu kuchukuliwa maelezo nje ya muda huo kama mtuhumiwa atakuwa ndani ya mchakato wa kusafirishwa kwenda kituo cha polisi au kokote kunakohusiana na upelelezi kabla ya Kuchukuliwa maelezo.

Refer JOHN MADATA VS REPUBLIC appeal.
Read 4 tweets
13 Sep
On that fateful night, A big voice was heard from that room.

“We want ten million!”

“Give us ten Million!

And there was a reply..

“I really don’t have such sum guys!”

Then there was a mere silence

“Get out!” A voice ordered bleaching the silence.

UZI👇 #SimuliziZaBuyobe
6th June 2016

MAGUGU,BABATI

Naam, Ni usiku wa manane majira ya saa 7 au 8

Katika majira haya,IBRAHIMU RAJABU alikuwa kalala na mkewe GRACE RAJABU ndani ya nyumba yao.

Ghafla,Wakavamiwa na majambazi wakiwa na bunduki na panga ambao walitaka wapatiwe milioni 10
IBRAHIMU akawajibu hana kiasi hicho,

Wakawaamuru watoke nje ambako waligundua kulikuwa na majambazi wengine.

Walipofika nje IBRAHIMU akasema yeye ana 240,000 tu ndani.

Kusikia hivyo,Jamaa wakakasirika wakarudi nao ndani.
Read 12 tweets
13 Sep
I promised @KennedyMmari to return on this as per below question.
My audience,I urge you to bare with me as I will be switching my language from English to Swahili and vice versa. Nia ni Maudhui yaeleweke.

UZI👇
Swali lililoulizwa ni:-

Polisi waliwezaje kubaini mtu aliyemnywesha sumu mwenzake wakati wote wamekutwa wamekufa?

Katika kujaribu kujibu swali hili, ningependa ifahamike,njia ninazojaribu kuzianisha,sio lazima ziwe ndizo zilizotumika katika mkasa husika.
Katika uchunguzi wa kisayansi (forensic Investigation) katika mambo yanayohusiana na vifo,Kuna watu waliobobea kwenye wigo huo ambao huitwa PATHOLOGISTS. Watu hawa hufanya uchunguzi wa mwili na tishu ili kuweza kubaini sababu halisi iliyopelekea kifo.
Read 21 tweets
11 Sep
These people real got some guts

Need I say More?

Nifatilie taratiiibu...

May 17th 2016 0257 HRS

Yes! Ni saa nane usiku!

Na dakika 57 jijini Mbeya.

Majambazi wanne wanavamia duka la simu mali ya COSTA GODWIN MTALAZI

Yeah! Wanawakuta walinzi wawili. Image
Walinzi wanaamliwa kuchuchumaa na kuganda kama kinyago.

Majambazi wanawafunga kamba walinzi.

Wanaingia kwenye duka kwa kuvunja

Alhamdulilah! Mlinzi wa jirani anapuliza filimbi

Majambazi wanatoka dukani wakiwa wamebeba kablasha

Wanaondoka kwa gari ambayo inawafata pale fasta Image
Kesho yake, Tarehe 18 May 2016

Mkoani Iringa.

MAFINGA CHECKPOINT

Askari wawili,CORPORAL ELICHANA pamoja na PC MWANAMILA wapo kwenye majukumu yao kama kawaida Image
Read 16 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(