Anaeleza Tundu Lissu👇

Wala sikosi usingizi. Nilale central (kituo kikuu cha poli) au nilale nyumbani, napata usingizi wangu mzuri kabisa,”
“Ili mradi nipate chupa zangu tatu kubwa za maji ya Kilimanjaro. Hizi chupa huwa nazitumia kama mto. Nikizipata tu, naweka kichwani na nalala usingizi mzuri kabisa. Tena mimi huwa nakoroma. Ndio maana nikitoka mahabusu huwa mnaniona nimebeba chupa ya maji ya Kilimanjaro.”
“Kusema sikosi usingizi, hakumaanishi kuwa nafurahia kulala mahabusu, hasa unapokuwa huna kosa,”

“Huko kuna watu wengi wanakamatwa na kuwekwa mahabusu bila ya makosa. Si kitu kizuri.”
Akijibu swali kuhusu hali ya usalama wake katika maisha anayoendesha ya mapambano, Lissu alisema hajawahi kutishiwa maisha yake kwenye siasa na anakumbuka ni mara moja tu alitishiwa maisha wakati akipigania mazingira.
Nakumbuka zamani kabla sijawa mbaya namna hii, twenty years ago, wakati nikiongoza Chama cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira (LEAT) niliwahi kupata vitisho,”
“wakati huo Serikali ya Awamu ya Tatu ilimpa raia wa Ireland, Reginald Nolan eneo kwenye delta ya Rufiji ili aendeshe mradi wa kuvuna kamba.
“Serikali ilimpa hekta 20,000 ili atengeneze mabwawa ya kufuga kamba kwenye delta ya Rufiji, maeneo ambayo yana vijiji vinane, shughuli za kilimo na makazi na msitu ya mikoko.”
“Niliongoza kampeni ya kimataifa kwa kila njia, ikiwamo mitandao ya kimataifa ya wanaharakati kuupinga mradi huo.”
“Hatimaye, Benki ya Vitega Uchumi ya Ulaya (European Investment Bank) iliyokuwa itoe mkopo kwa Nolan ambao ungedhaminiwa na Serikali ya Tanzania, wakasema hawatatoa mkopo na kwa hiyo, mradi mzima ukasambaratika,”
Hatimaye, Benki ya Vitega Uchumi ya Ulaya (European Investment Bank) iliyokuwa itoe mkopo kwa Nolan ambao ungedhaminiwa na Serikali ya Tanzania, wakasema hawatatoa mkopo na kwa hiyo, mradi mzima ukasambaratika,”

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with fortunatus buyobe

fortunatus buyobe Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @fbuyobe

13 Oct
Kuna wakati kulifunguliwa jalada la Wizi wa kuaminiwa katika kikuu cha polisi(central) Dar es salaam.

CD/RB/13336/2013

WIZI WA KUAMINIWA
Naamini kabisa swala la kufunguliwa kesi hii sio habari kubwa sana kwenu wasomaji.
Habari ni wahusika. Hapa namaanisha ni mlalamikaji na mlalamikiwa. Image
Read 12 tweets
18 Sep
NCHI NGUMU SANA HII

Nilikuwa nimeshaanza kuichambua kesi maafu sana ya JUSTINE KAKURU KASUSURA ambaye alishtakiwa kwa kupora pesa kiasi cha dola za kimarekani millioni 2 mali ya CITIBANK.

Niliandika kidogo hapa twitter lakini nikapata taarifa mpya kabisa za ndani za mkasa huu.
Nimeamini msemo usemao USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA.

Issue ya KASUSURA ni zaidi ya tuliyoyasikia mahakamani

Aliyesimama mahakamani na kudai yeye ndiye alikuwa kwenye gari na kasusura ALIIDANGANYA MAHAKAMA, ninaweza kuripoti hivi sasa.
Pia aliyesimama mahakamani na kudai yeye ndiye alikuwa Technical director wa KNIGHT SUPPORT aliindanganya mahakama. Ninaweza kuripoti hivi sasa.
Read 31 tweets
18 Sep
Wazee wa Congo #CongoVibes

Leo natafsiri wimbo wa JB mpiana uitwao KINSHASA

Ukienda YouTube, huwezi kuona kokote wimbo huu ukiimbwa live.

Unajua ni kwa nini?

Ni kwa sababu kila ukiimbwa,mawe hurushwa jukwaani na wahuni wa KINSHASA maarufu kama “BASHEGE”
Wimbo huu ulitafsiriwa kama dongo kwa hasimu wa JB MPIANA nikimaanisha WERRASON ambaye yeye hujiita ni mtoto wa mjini aliyetokea maeneo ya Bandalungwa pale pale KINSHASA huku JB akisemwa ni mshamba aliyetokea huko KASAI

TUANGAZIE MASHAIRI👇
NGAI NAYOKAKI NA SANGO KIN ETONTA SENTIMENT
(Nilisikia habari kinshasa imejaa raha)

NTANGO NAKOMI NA KIN ANGO NGAI NAMIYOKELI MAWAAAH!
(Nilipofika Kinshasa yenyewe nilijisikia huzuni)

UUH! NGAI NAMIYOKELI MAWA
(uuh nilijisikia huzuni)
Read 11 tweets
16 Sep
Nimepata DMs nyingi zikitaka nielezee kilichojiri kwenye mkasa wa JUSTINE KASUSURA baada ya maoni yangu ya leo mchana nilipoigusia kesi hii.

Nitaanza kwa kuelezea kilichojiri siku ya tukio mujibu wa maelezo ya upande wa mashtaka

UZI👇
Tarehe 2 August 2001, Manager wa kampuni ya ulinzi ya KNIGHT SUPPORT aliyeitwa DARREN, aliwatuma wafanyakazi wawili wa kampuni hiyo kwenda kupokea mzigo Uwanja wa ndege wa Dar na kuupeleka mzigo ule kwa mhusika ambaye ni CITIBANK
Wafanyakazi hao walikuwa ni SAID MUSSA HAMIS na JUSTINE KAKURU KASUSURA ambapo walikabidhiwa gari na KASUSURA ndiye alikuwa dereva.

KASUSURA alikabidhiwa bastora isiyo na risasi na MUSA alikabidhiwa simu kwa ajiri ya mawasiliano.
Read 11 tweets
16 Sep
Pingamizi la jana la mawakili wanaomtetea Mbowe,Linaendana na Mojawapo ya sababu zilizosababisha JUSTINE KASUSURA ashide rufaa yake dhidi ya jamhuri mwaka 2010.

Justine alitoa hoja kuwa Maelezo yake yalichukuliwa nje ya muda wa kisheria(Maa manne) Tangu akamatwe.
Vifungu vya 50 na 51 vya sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai(CPA), Vinaelekeza mtu kuchukuliwa maelezo ya onyo(cautioned statement) ndani ya muda wa masaa 4 tangu kukamatwa kwake. Na kama kuna mazingira ya muda kuongezeka inatakiwa kuomba nyongeza ya muda mahakamani. CPA 50(1)b
Niweke tu Angalizo, Kifungu cha 50(2)(a) Kinaruhusu mtu kuchukuliwa maelezo nje ya muda huo kama mtuhumiwa atakuwa ndani ya mchakato wa kusafirishwa kwenda kituo cha polisi au kokote kunakohusiana na upelelezi kabla ya Kuchukuliwa maelezo.

Refer JOHN MADATA VS REPUBLIC appeal.
Read 4 tweets
13 Sep
On that fateful night, A big voice was heard from that room.

“We want ten million!”

“Give us ten Million!

And there was a reply..

“I really don’t have such sum guys!”

Then there was a mere silence

“Get out!” A voice ordered bleaching the silence.

UZI👇 #SimuliziZaBuyobe
6th June 2016

MAGUGU,BABATI

Naam, Ni usiku wa manane majira ya saa 7 au 8

Katika majira haya,IBRAHIMU RAJABU alikuwa kalala na mkewe GRACE RAJABU ndani ya nyumba yao.

Ghafla,Wakavamiwa na majambazi wakiwa na bunduki na panga ambao walitaka wapatiwe milioni 10
IBRAHIMU akawajibu hana kiasi hicho,

Wakawaamuru watoke nje ambako waligundua kulikuwa na majambazi wengine.

Walipofika nje IBRAHIMU akasema yeye ana 240,000 tu ndani.

Kusikia hivyo,Jamaa wakakasirika wakarudi nao ndani.
Read 12 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(