#UZIIIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
#somathread

FAHAMU BAHARI ZILIZO UNGANA LAKINI MAJI YAKE HAYACHANGANYIKI
(pacific na antlantic)

Bila shaka baadhi yetu tushawahi kusikia kuhusu bahari hizi ,watu wengine huamini uwepo nguvu zisizo onekana katika eneo hilo ,lakini wengine huamin ni ishara πŸ‘‡
kua Mungu yupo,lakini pia bahari hizi zimezungumziwa katika vitabu vitakatifu vya dini. mfano Quran inaeleza kua kuna kizuizi katikati ya bahari mbili pindi zinapo kutana kamwe maji yake hayavuki kizuizi hiko πŸ‘‡
( "Mwenyezi Mungu anaziendesha bahari mbili zikutane lakini kamwe haziwezi kuvuka mipaka yake" Quran 55).maji yanayo onekana ni ya blue sana ni bahari ya Pacific na maji yaliyo pauka ni bahari ya AntlantikiπŸ‘‡
Lakini pia wanasayansi hawakua mbali wakaona isiwe tabu wakaja na majibu ya kwanini maji ya bahari hizi yanaonekana kutochanganyika,Wanasayansi walikuja na hoja tofauti na wengi walivo dhani πŸ‘‡
hoja yao kubwa ni kua sio kweli kwamba maji ya bahari hizi hayachanganyikani,maji haya huchanganyika ila kwa utaratibu sana na wakatoa baadhi ya sababu zifuatazo,Sababu ya kwanza kiwango cha chumvi kati ya bahari ya pacific na antlantic ni tofauti πŸ‘‡
bahari ya antlantic inakiwango kikubwa cha chumvi kuliko pacific hivyo kisayansi maji yenye chumvi na yasiyo na chumvi huchelewa kuchanganyikana,Sababu ya pili ni kasi ya maji ya bahari, kasi ya maji chini ya bahari ni kubwa kuliko ile ya juu hivo maji ya chini ya bahari πŸ‘‡
huchanganyika haraka kuliko yale maji ya juu hivo kuonesha mpaka pindi bahari mbili zinapo kutana,Sababu ta tatu ni ukinzani wa uelekeo wa maji ya bahari hizi sehemu yanapo kutana kwasababu hii maji hulazimika kusafiri katika mstari kwa umbali fulani ndio yachanganyikaneπŸ‘‡
#MWISHO
follow @somathreads
RT

@threadreaderapp "unroll" πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

β€’ β€’ β€’

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
γ€€

Keep Current with Je wajua?⚑

Je wajua?⚑ Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @somathreads

15 Oct
#UZIIIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

#somathreads
FAHAMU BIASHARA YA UTUMWA YA KUUZA WATU

(Utumwa bado upo hadi leo!!)

Wengi wetu tumesoma stori za biashara ya utumwa za kikoloni,Zamani biashara hii waliita slave trade lakini siku za leo inaitwa human trafficking ,slave trade na human trafficking πŸ‘‡ Image
ni biashara ile ile ila imebadili mtindo tu, biashara ya utumwa imeanza mda mrefu sana na imegoma kuisha kabisa hadi leo, Mtoto wa masikini akikutana na mnunuzi yuko tayari kutoroka nyumbani na kuacha vyote,miaka ya sasa mabinti wengi husafirishwa toka vijijini na kuletwa πŸ‘‡ Image
mjini, mafano mtu akitaka mabinti wa kazi anaagiza Iringa,ukitaka wahudumu wazuri wa baa agiza Singida ukitaka wahudumu wa shamba agiza Kigoma, kazi ya sasa ni kuagiza watu mikoani kama unavoagiza mkaa au ng'ombe.Hizi zote ni biashara haramu za utumwa ambapo kwa bahati mbaya πŸ‘‡ Image
Read 14 tweets
10 Oct
#UZIIπŸ‘‡πŸ‘‡
IJUE FAMILIA TAJIRI INAYO MILIKI SOKO LA MAFUTA MAREKANI NA DUNIANI KOTE
#somathread

πŸ’¨Familia ya Rockefeller ya America Inatajwa Kuwa ni Moja Kati ya Familia Wekezi na Tajiri Zaidi Katika Historia ya Dunia. Hawa Ndio Wanaomiliki Soko Zima la Mafuta AmericaπŸ‘‡
Mmoja wa Wanafamilia Wao Ndio Bilionea wa Kwanza Kabisa Kutangazwa Duniani Mwaka 1916 John D.Rockefeller. Familia hii ya Rockefeller ni kama ilivyo familia ya Rothschilds ya Uingereza familia hizi zote ndio zinatajwa kuishikilia dunia hasa katika maswala ya uchumi kutoka miaka πŸ‘‡
mingi nyuma.Asili yao (Rockefeller) ni huko Rhineland Germany tangu karne ya 18, lakini badae karne ya 19 wakahamia US.Inaelezwa kuwa mwanafamilia
John D. Rockefeller ndiye aliyetengeneza njia ya kuuacha umasikini baada ya kujaribu kufanya biashara ya mafuta huko US miaka ya πŸ‘‡
Read 12 tweets
19 Jul
#UZIIIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
#somathread
Wakati Jarida Maarufu la LIFE Lilipoanza Kuchapishwa November 1936 huko US walianza kuandika habari ya kichanga πŸ‘‡
George Storey aliyekua amezaliwa wakiambatanisha na kichwa "Maisha Huanza".George aliendelea kuandikwa zaidi katika jarida hilo kufuatana na ukuwaji wake kama kuanza kutembea, kuanza shule...πŸ‘‡
kuhitimu shule, kusomea uandishi wa habari, akaoa, yaani kila toleo la LIFE basi ilikuwa lazima ukutane na kastory ka bwana George vile anavyoendelea na maisha...πŸ‘‡
Read 7 tweets
16 Jul
#UZIIπŸ‘‡πŸ‘‡
#somathread
Kabla ya Mwaka 1965 Huko Tonga Ilikuwa Mfalme Akifa,Wale Waandaji Wote wa Mwili wa Mfalme nao Wananyongwa au Kukatwa Mikono Baada ya Mazishi. Ili aminika Kuwa Kuugusa Mwili wa Mfalme ni Heshima Ambayo Haipaswi Kuharibiwa kwa Kugusa Kitu Kingine Chochote.πŸ‘‡
Mwaka 2006 mfalme wa Tonga Tāufaʻāhau Tupou IV alifariki baada ya kuiongoza nchi hiyo tangu kifo cha mama yake mwaka 1965. Baada ya Tupou IV kufa akaingia George Tupou V aliyeongoza hadi 2012, kisha akaingia Mfalme Tupou VI ambaye ni kaka yake na George, anaongoza hadi sasaπŸ‘‡
Tonga ni nchi inayounganishwa na visiwa 170 vilivyopo huko Oceania, mpaka mwaka 2019 idadi ya watu ilikuwa 104,000. Tonga inapakana na FijiπŸ‘‡
Read 9 tweets
3 Jul
#UZIII πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
#somathread
Rais wa Ufaransa Macron Amezidiwa Miaka 24 na Mkewe Brigitte Kiumri. Wakati Brigitte Anafunga Ndoa Yake ya Kwanza Mwaka 1974 Macron Alikuwa Hajazaliwa Bado. Mtoto wa Kwanza wa Brigitte Amemzidi Macron Miaka Mitatu πŸ‘‡
Macron Alikuwa Anasoma Darasa Moja na Mtoto wa Brigitte Huku Brigitte Akiwa Mwalimu Wao.Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana umri miaka 43, ndio rais kijana kuliko maraisi wote waliowahi kuiongoza ufaransaπŸ‘‡
Macron alianza kumpenda mwalimu wake wa darasani aliyeitwa Brigitte Trogneux, kipindi hicho Macron alikuwa na umri wa miaka 15 huku mwalimu Brigitte akiwa na miaka 39πŸ‘‡
Read 9 tweets
1 Jul
#UZIIIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
#somathread
βš‘βš‘πŸ’­

Baada ya Victor Cingolani Kumuuwa Mpenzi Wake Johana Casas na Kufungwa Kifungo cha Miaka 13 Jela Mwaka 2010,Edith Casas Ambaye ni Pacha wa Johana Akampenda Muuwaji Huyo wa Pacha Wake na Akafunga Naye Ndoa Kule Jela. Hii Ilitokea Argentina.. πŸ‘‡ Image
Taarifa iliyochapishwa na mtandao wa BBC December 21, 2012 ilisema kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 22 wa Argentina amekubali kuolewa na mtu aliyehukumiwa.. πŸ‘‡
kifungo jela kwa kumuua dada yake (pacha wake) miaka miwili iliyopita.
Edith Casas anasisitiza kuwa Victor Cingolani... πŸ‘‡
Read 6 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(