TOP 10 CRYPTO BY MARKET CAP

1. Bitcoin:
Cryptocurrency ya kwanza kwa ukubwa, umaarufu na most decentralized asset. Kwangu naiona kama DIGITAL GOLD in the Digital era,

Pia ina potential ya kuwa global currency kwa kutumia lightning network.

Kwa sasa naiona km Store of Value
2. Ethereum:
Crypto ya pili kwa ukubwa na umaarufu duniani. Ethereum wao wana mfumo unaowezesha watu wengine kutengeneza Application.

Mfn tu wa haraka ili uelewe Playstore ama App store ni platform ya kulist Apps zingine.

Ethereum ni platform ya kutengeneza smart contracts
3. Binance Coin
Kama leo una 231,000 unataka kununua dollar/euro utaenda either bank ama kwenye bureau exchange

Ukiwa na 231,000 unataka kununua cryptocurrency unaenda kwenye crypto exchange. Kwasasa crypto exchange kubwa na maarufu zaidi duniani ni @binance
4. Cardano
Hayo ni platform ya smart contracts kama ilivyo Ethereum. By the way Founder wa Cardano alikua pia mwanzilishi wa Ethereum.

Akaamua ajitoe ethereum ili aunde Cardano ambayo ambayo kwa sasa ni mpinzani hatari zaidi wa Ethereum. Esp kwenye swala la fees. Wako kitonga sn
5. Tether
Hii ni DIGITAL DOLLAR. Muda wote ina thamani ya $1 mpk mwisho wa maisha. Haipandi wala kushuka ndio maana inaitwa STABLE COIN

Miaka 10 kutoka leo ni guaranteed Tether 100 zitakuwa na thamani ya $100, ila Dollar 100 itashuka thamani probably hadi $70 ama $60
6. Ripple
Hii sasa ndio cryptocurrency ya Bankers... kazi yake kuwa ni kufanya settlements za kibenki, smoothly, efficiently na kwa kasi sana.

Mimi personally ktk top 10 coins hii ndio coin pekee nisiyoikubali... sijawahi kua na interest nayo kbs.
7. Solana
Solana nayo ni kama Ethereum na Cardano, ni mfumo wa kutengenezea smart contracts.

Technology ya Solana ya proof of work inafanya Ethereum na Cardano zionekane zipo slow, complicated na zina gharama

Ni blockchain tech lkn wana vidalili vya centralization😔
8. Polkadot
Ina tech yenye unyama sana, wametengeneza mechanism ya blockchains ziweze kuwasiliana na kubadilishana taarifa

Pia founder wake alikua mwanzilishi wa Ethereum, kama mwanzilishi wa Cardano, nae akachomoka ethereum.

Ktk top 10 hkn crypto ina unyama wa tech km Polkadot
9. USD Coin
Nayo ipo 99.9% kama Tether... I think Tether inaizidi USDC kwa ukongwe tu kwenye game.
10. Dogecoin
Moja ya coin inayopendwa sana sana na watu wengi lkn pia inachukiwa sana na crypto enthusiasts wengi.

Lkn ni ambayo Elon Musk anaipigia sana chapuo na mimi naamini kwa fundamentals zake Doge itakuwa Coin of the internet

Ni coin ambayo personally nimeInvest sn.
Tumepata bahati ya kuwa ktk kizazi ambacho tunashuhudia mabadiliko makubwa zaidi ktk mfumo wa kifedha (financial system) wa kimataifa.

Dunia inahama kutoka kwenye mfumo wa kienyeji kuja kwenye mfumo wa kisasa.

Early birds catches the worm

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Sirjeff Dennis🇹🇿

Sirjeff Dennis🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Sirjeff_D

29 Sep
UZI KWA CRYPTOCURRENCIES TRADERS AND INVESTORS.

In a Nutshell 🧵
1/n) Huu sio uzi wa kuzungumzia kwanini kijana yoyote smart anatakiwa kujua technolojia ya Cryptocurrencies etc

Huu ni uzi specific wa kijana smart kutafuta fursa za kupiga pesa wakati hii space ikikua kwa kasi sana GLOBALLY.
2/n) Kuweka hela yako leo kwenye Crypto ni sawa na kuweka hela yako kwenye Amazon 1995, kipindi ambacho 99% ya watu duniani walikua hata hawaelewi Internet ni nini na italeta mapinduzi gani duniani miaka 20 baadae

Mtu aliyeweka $1,000 kwenye Amazon 2000 leo angekuwa na $2 mil
Read 18 tweets
8 Sep
LEVERAGE: kifaa muhimu zaidi unachohitaji kutoboa.

In a Nutshell🧵
1. Wote hapa nahisi tulimsoma mgiriki Archimedes, moja kati ya Mathematicians wachache sn waliobarikiwa naturally.

Ubongo wa Archimedes ulituletea ugunduzi wa mashine nyingi za mwanzo zilizochangia kuleta modern civilization.🙏🏾
Archimedes aliwahi kusema “Give me a lever long enough and a fulcrum on which to place it, and I shall move the world.”

Simple yet very complex.
Read 16 tweets
6 Sep
11. Tayar colonizers walishaona 3rd world countries ni mizigo kwao, wakaamua kuziacha ziwe huru (decolonization) zijitawale

Afrika ikawa huru around 50s na 60s, nchi nyingi zikiAdopt Socialism mfumo ambao jamii inashirikiana ktk uzalishaji huku viongozi wakiwa na mamlaka yote
12. Hakukuwa na vita kati ya wakoloni na makoloni yao, vita iliyokuwepo ni nani wa kupewa madaraka na makubaliano baada ya madaraka. Hapa ndio Afrika tukaachiwa Civil wars

Lkn majamaa walishajua wanatunyooshea wapi

i. Biashara za kimataifa
ii. Madeni ya kimataifa
iii. Puppets
13. Kibiashara tulipigwa na import substitution.

Yan wakoloni wananunua raw materials kutoka kwetu kwa bei ya jioni, wanafanya manufacturing then wanatuuzia final products kwa bei mbaya sn

Then tukaja kutubamizwa na mikopo na madeni. - ikatuletea neocolonialism
Read 5 tweets
6 Sep
Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea.

Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia.

Part 2:

In a Nutshell🧵
Huu uzi ni mwendelezo wa Part 1👇🏾
1. Wakati WW2 ikielekea mwishoni behind the curtains kulikuwa kuna vita kubwa sana ya wachumi

John Keynes(baba wa Keynesian economics) alikua at peak of his career

Friedrich Von Hayek alikua na damu ya Kijerumani, prodigy wa uchumi, alichukua PhD akiwa na Miaka 22. Won a Nobel
Read 12 tweets
4 Sep
Ishu ya Benki ndio imefanya Rothschild kuwa 1 ya familia tajiri na yenye nguvu zaidi duniani wakajenga Suez Canal, kuestablish Benki kuu ya uingereza na kuFinance vita duniani

Private Equity imemfanya Warren Buffet kuwa investor tajiri zaidi wa wakati wote

Hizi sio topic za leo
10. Tuendelee na mambo yetu ya hisa.

Kampuni ikitaka kukusanya mtaji kutoka kwa public investors wanafanya nini?

Kwanza thamani ya kampuni inatafutwa, then thamani ya sehemu ya kampuni inayouzwa.

Hicho kipande cha kampuni nikavunjwa kwenye vipande vingi zaidi. Hizi ndio hisa
11. So, ukinunua hisa, umenunua sehemu ya umiliki wa kampuni so automatically umekuwa mmiliki wa kampuni

Kuwa mmiliki wa kampuni maana’ke kampuni ikipata faida unakula sehemu ya hiyo faida, na kampuni ikipata hasara huambulii kitu

Tofauti na bank wao wataShikilia mali za kampun
Read 9 tweets
4 Sep
THE STOCK MARKET📈

Kila kitu unachohitaji kujua kuhusu soko la hisa.

In a Nutshell🧵
1. Turudi miaka 500 nyuma around 1500. Dunia ilikuwa ktk mfumo wa merchant capitalism (merchantilism).

Yani watu waliokua na nguvu zaidi walikuwa Wafanyabiashara waliokua wanahamisha bidhaa kutoka sehemu ya uzalishaji, kwenda kwenye sehemu ya uhaba/uhitaji ili kumaximize faida
2. Mwisho mwa 15th Century kuingia 16th, mfumo wa Merchantilism ukazalisha Triangular Trade, yani biashara kati ya sisi Waafrika, Ulaya na Marekani

Competition ilikuwa kubwa sana kati ya wafanyabiashara maana uchumi na mamlaka yalikua yameshikwa na wafanyabiashara matajiri
Read 10 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(