ZIJUE AINA ZA SCREEN PROTECTORS ZA SIMU NA UBORA WAKE.👨🏿🎓
Kuna ka uoga flani hua kanakujia baada ya kuiangusha smartphone yako,hii sio tu inaleta uoga lakini inapunguza thamani ya simu pia lakini haya yote unaweza kuepukana nayo kwa kuchagua screen protector yenye ubora wa kulind
a simu yako
Zifuatazo ni Aina za Protectors nimezipanga kutokana na ubora wake.
1.Tempered glass screen protector
Maana ya glass kua tempered ni glass yenyewe kupitishwa kwenye joto kali na kuchanganywa na kemikali muhimu ambazo zinaongeza uimara wa glass kuhimili mgandamizo
Na mshituko wa aina yeyote so hakukisha unapoenda kununua protector angalia kama ni tempered hua inaandikwa juu ya package yake mfano huu hapa chini na mara nyingi ukipima thickness yake hua zinakua 0.76mm ni protector nzuri sana kulinda simu yako
PET plastic screen protector
Hizi ni protector zmetengenezwa kwa material yanaitwa polyester( nyuzi laini sana) hizi huzuia simu yako na michubuko mbalimbali lakini hazina uimara sana kama tempered glasses 🤓
TPU plastic screen protector
Hizi ni aina ya protector ambazo zina material ya rubber (mpira) ambazo hishika vizuri kwenye kila kona ya simu na pia zina uwezo wa kutibu michubuko midogo midogo ya screen ya simu yako so hii ni nzuri kwa simu yenye crack kwenye screen
Privacy screen protector
Hii huweza kua tempered protector ama PET protector ila tu inawekewa ki ant-spy layer ambacho kinazuia mtu wa penbeni yako kuweza kuona taarifa zako muhimu ni nzuri kwa watu ambao taarifa zao hawataki zujulikane kwa wengine
Kwa msaada zaidi waweza kutucheki inbox tukuuzie screen protectors nzuri na zenye ubora 👍
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh