In FOREX TRADING;

1. Faida zikiwa nyingi mfululizo ni Mbaya Sana (Excitement)

2. Loss Zikiwa nyingi mfululizo ni Mbaya zaidi. (Stress & Loss)

Nini Kinatakiwe kifanyike?

Take NOTES📝 | It’s THREAD TIME Image
Mental State ni chanzo cha maamuzi yaliyo sahihi au yasiyo sahihi kwenye Maisha, na Trading career yako kiujumla.

Ukiwa na Balanced Mental state itakuwezesha kuwa proper reasoning na right decisions Sokoni.
Kwa bahati mbaya au nzuri naweza kusema most of human decisions huwa zinafanywa au kuwa catalysed na Human Emotions. Vitu kama Hasira, Stress, au kuzidiwa na Furaha.
Unapokua na Stress it’s obvious kuna decisions hautozifanya kwa usahihi kwa kuwa State of Mind haiko balanced — This is the same as ukiwa na furaha sana.

That’s how Human nature is.

Emotions dictate our decisions.
Turudi kwenye Upande wetu wa Forex Trading.

Huku tunategemea Umakini wa Maamuzi kwenye kufanya Forex Analysis, Risk Management, n.k

That is to say, Hata kwenye Fx Emotions zina play part kubwa kwenye maamuzi yetu tunayofanya kwenye Soko.
Here is my true story

2019 March niliwahi kuRaise account kutoka 250$ to 7,500$ in less than 7 Days

Hiki ni kipindi nilikua na furaha iliyopitiliza, nilikua najiona mm ndio RAIS WA TRADERS WOTE DUNIANI😆

Ilifika time nilihisi naweza kutoa tamko na Traders wote wakanitii
Sasa Guess what?

Kama watoto wa Mjini siku hizi wasemavyo; Nilikuja kupigwa na kitu kizito kwenye UTOSI.

I lost all — 7,500$

Hiki ni kipindi unatamani uzimie, ufe halafu ufufuke kudadadeeeki.

Mbaya zaidi, nilipoteza hii pesa in less than 2 Days, Account ikabaki MAJIVU
Nikajifunza, FURAHA (Excitement) ni mbaya sana ukiwa kama Trader.

Nilipoteza hicho kiasi, Sio kwamba nilikua sijui KuTrade, au sijui kufanya Risk Management —HAPANA

Ila Furaha ilizidi nikajiona mm ndo mm Sokoni, I was taking reckless decisions.

Nilikua BOYA SANA, Mbwa mimi!
Nikajifunza, Hata upate profits ziwe kubwa kiasi gani unatakiwa uwe na BALANCED STATE OF MIND.

Furaha isipitilize Kikomo, Tulia chini, Panga mipango wakati ambao furaha yako ipo moderate.

Kama unajiona umepata profit sana, na una furaha bora uache kuTrade mpaka kesho yake
Ni rahisi sana sana sana kupoteza Pesa kwenye Forex Trading ukiwa una furaha iliyopitiliza.

Emotions zitakufanya ujione wewe ndo mgunduzi wa Candlesticks na hizi Chart za Forex

Yani unaona chochote ukifanya Soko litakuheshimu kitu ambacho sio Kweli.
Hasara nyingi mfululizo pia ni mbaya kwenye Forex Trading

Nitakwambia kitu kimoja, popote ambapo Money is involved, Stress is inevitable.

Naomba niseme kwa kiswahili; POPOTE PESA INAPOHUSIKA, STRESS HAZIEPUKIKI!
Mbaya zaidi, Stress zitaongezeka maradufu hiyo pesa itakapoleta LOSS

Imagine umehangaika, umedunduliza Dola zako 100, 200 au 300 halafu unakuja kuzipoteza zote kwenye Forex Trading.

Huwa inauma sana, Maumivu yake hayafananishwi na kitu chochote duniani. TRUST ME!
Na unatakiwa ujue kitu kimoja; Sio wote wanaoLose kwenye Forex eti hawajui kuTrade, au kufanya analysis, SIO KWELI!

Watu wanaLose pale ambapo EMOTIONS zinatawala zaidi ya AKILI (Reasoning)

When Emotions > Reasoning, U will automatically lose your mental clarity
Mental clarity ni uwezo wa Utulivu wa kiakili kwenye kufikiria na kufanya maamuzi sahihi

Sasa ww fikiria, uwezo wa kufikiria na kufanya maamuzi hauna, Unategemea nini?

Unakua umebaki kama Headless chicken. Unaruka ruka hujui unapoenda na ata ukienda haujui utarudi vipi🙌
Ukipata Loss nyingi,Kaa utulie acha KuTrade kwa muda jiulize wapi unakosea na kwanini unakosea

Wakati unajiuliza haya maswali ni muda ambao akili itakua imetulia na utapata way forward ya nini ufanye

Lakini ukipata Loss, then uendelee kuTrade, utakula LOSS mpaka uhisi umerogwa
Haya yote nimeongea ni BASED ON MY PERSONAL LEVEL OF EXPERIENCE

Nimewahi kupitia, nikajifunza, na ninaendelea kujifunza

U should also learn too
Kujua kufanya Trading Analysis kwenye forex charts pekee haitoshi

Trading pyschology yko inatakiwa iwe ya viwango vya Juu sana

Unatakiwa ujue utaBehave vipi ukipata Faida sana, na Loss nyingi

Kwa leo tuishie hapa
But for those who are still struggling with Forex, or want to learn forex

I can train & give you a proper mentorship with an affordable price rate

My DM is open, You can inbox me. I’m always available.
Ila kabla sijasahau, U have to remember that

Kuzaliwa Masikini sio kosa lako, Ila kufa Masikini litakua ni KOSA LAKO na hautokua na wakumlaumu

Cheers Guys
Have a great week ahead📚

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Kapteiny🇹🇿

Kapteiny🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Kapteiny_eric

16 Sep
USD Currency Pairs zilisell sana Juzi, 14 Sept mchana. Waliosell walipata Faida, walioBuy walipata Loss. Je unafahamu kilitokea nini Sokoni?

THREAD TIME | TIME FOR LEARNING.
Sote tunakubaliana Forex Trading ni mgodi wa kupata mkwanja hata ukiwa kitandani bila kutoa jasho, wala kufanya kazi ngumu za kuumiza mwili.

Lakini mpaka ufike stage ya kupata Pesa kwenye Forex trading lazima uwe mjuzi na mjuvi wa mambo kadhaa.
Mfano, Ukifungua chart ya Forex, utaona bei fulani ya sarafu za nchi hupanda na kushuka.(Rise and Fall in Currency Value).
Sasa kuna sababu kadhaa husababisha kupanda au kushuka kwa bei, au tuseme thamani ya sarafu za fedha za nchi fulani.
Read 16 tweets
8 Aug
Forex Trading Pair ya GBPJPY ina POTENTIAL kubwa sana ya KUSELL.

Niseme tu, WEEK IJAYO pesa ipo nyingi sana Sokoni.

Je tutapata vipi hii SELL SETUP?
Tufanye nini?
Tuzingatie nini?

Its THREAD TIME👇 Image
Kwa ufupi, GBPJPY ni Pair inayohusisha Currencies 2.

GBP - Great Britain Pound
JPY - Japanese Yen.

Kwenye hii Pair, GBP ni Base Currency na JPY ni Quote Currency.

Tutakachofanya kuanzia kesho, Under ceteris Paribus, tutasell BASE CURRENCY, which is GBP against JPY. Image
Je ni Kwann naona GBPJPY itasell, nimezingatia vtu gani, na Kama itasell, Je itatupa Pips ngapi na Stop Loss yetu itakua wapi?

Mimi kama Captain wako, Muongoza Jahazi hili la Fx Traders wote Tz, ninakupatia analysis makini, HATUA kwa HATUA.

Agiza PEPSI Baridi, UTAENJOY Image
Read 17 tweets
17 Jul
UPANDE WA PILI USIOUJUA KUTOKA KWA SIRJEFF DENNIS | IT’s THREAD TIME. ⌚️

Kama ilivyo shilingi kuna Pande 2, Kichwa na Mwenge. Si ndio? Hata @Sirjeff_D anazo pande zake 2

Leo sitozungumzia kabisa pande ya kwanza. Hiyo ni hadithi tamu ya siku nyingine. Pande yake ya Pili ni ipi? Image
Sirjeff, Kijana mpambanaji alietokea maisha duni G/Mboto, Moshi Bar akitokea kwenye Maisha ambayo yalikosa Nuru na harufu ya Utajiri, Maisha magumu kama ilivyo kwa wengi wetu. (Humble Beginning).. Image
Yeye kwake hakuona kma Umaskini wa kwao ni kikwazo cha yeye kufanikiwa, aliamini kuwa
“THE SKY IS NOT THE LIMIT, IT IS VERY POSSIBLE TO GO BEYOND THE SKY AND BUILD THE WEALTHY DESTINATION.” Image
Read 14 tweets
11 Jul
SIJUI NINGEKUA WAPI LEO HII KAMA SIO FOREX TRADING | AGIZA POPCORN🍿, IT’s THREAD TIME👇🏾
Maisha yanapokua magumu, mara nyingi ni rahisi kujaribu kila fursa inayokuja mbele yako. Muda mwingine unaweza ukajaribu fursa kadhaa na usipate manufaa kabisa, unakua umepoteza Muda na nguvu zako. Ila kwangu kusema ukweli, kwa sasa si haba! FOREX IMENIKOMBOA PAKUBWA SANA.
Nitakwambia kidogo kuhusu mimi >>Chuoni nilichukua Degree ya Economics ambayo nilikua na matumaini nayo makubwa sana kuwa itanitoa kwenye ugumu wa Maisha, ila haikua hvyo. Bahati nzuri, wakati napambana na chuo miaka mi3, wakati huo huo nilijifunza Graphics & Designing.
Read 19 tweets
7 Jan
Fursa 4 na Bajeti zake ambazo Ukiwa na Capital ya 1.5Million, huwezi Kulala NJAA! | AGIZA POPCORN🍿, IT IS THREAD TIME⌚️ Image
Ni ukweli Usiopingika Tanzania ya sasa vijana wapo kwenye ‘Msongo’ mkubwa wa mawazo. Ni kama Serikali imewatenga hivi, Jamii inawaona hawana maana. Yani mambo ni Tafrani! Image
1. Ni wapi watapata Pesa?
2. Wapi watapata Ajira?
3. Vp Watatoka vp kwenye Dimbwi la Umasikini?

These questions are like a Missing Piece of a Puzzle. - Nimewaandalia fursa 4 ambazo ukiwa na muda na juhudi na ukiwa na shauku ya kujifunza unaweza usikose elf 20 au zaidi per day. Image
Read 14 tweets
8 Sep 20
SHAFFIH DAUDA ( @shaffihdauda1 )ni mtu na Nusu, Mwamba kabisa💪. UZI👇🏾

Nikiwa chuoni UDOM (Ba. Economics) 2016, wakati nasoma kilichonipeleka Chuo, nilijifunza Graphics and Designing kama BACK UP PLAN ya tatizo la Ajira. Inaendelea👇🏾 Image
Kwa miezi almost nane ya kukesha Usiku na mchana, Mungu alinijaalia neema ya kusoma, kupractice na kuifahamu vyema Graphics nikiwa bado nipo chuoni. Nilikomaa tu na Youtube nikaijua Graphics nje ndani! Image
Nikiwa bado chuoni nikaanza kutengeneza Portfolio kupitia kazi kadhaa za Graphics na kupata mkwanja wa kunisaidia mahitaji yangu. Image
Read 18 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(