🚨 Ijue 𝐒𝐮𝐳𝐮𝐤𝐢 𝐉𝐢𝐦𝐧𝐲

Mnamo mwaka 1960 Suzuki walikua wanafanya utafiti wa kutengeneza gari aina ya Kei Car [City Car].

🔝 Mpaka mwaka 2020 Suzuki walifanikiwa kuuza units 3,000,000 za Suzuki Jimny.

Ladies and Gentlemen, are you ready?

— Thread —
Uzalishaji wa gari hii ulianza mnamo mwaka 1970. Ambapo Suzuki waliinunua Hope Motor Company iliyokua karibu kufilisika.

💡As Warren Buffet says "Buying is a profound pleasure" Oh Yes, ununuzi huu uliipa Suzuki mafanikio makubwa Japan na Duniani.

Lets go...
Mpaka sasa Jimny ina vizazi (generations) 4 ambazo ni:

• 1st generation [LJ10-SJ20; 1970-1980]
• 2nd generation [SJ30/SJ40/JA/JB; 1981-1997]
• 3rd generation [JB23/JB33/JB43/JB53; 1998-2017]
• 4th generation [JB64W/JB74W; 2018- Present]

Sasa, let's see generations hizi...
1ˢᵗ generation [LJ10-SJ20; 1970-1981]

Gari hii ilianza kutengenezwa na kampuni ya Suzuki, mnamo mwaka 1970.

Generation hii ilipoingia ilimtoa sokoni previous model ya Suzuki iliyojulikana kama HopeStar ON360 ambaye alishindwa kukidhi mahitaji ya soko kwa wakati huo.
Gari hii ilikuja na models tatu ambazo ni;

2-door wagon.
2-door convertible.
2-door cab chassis.

Upande wa engine, jimny hii ilikuja na engine hizi;

• 359 cc FB/L50 (Straight twin engine)
• 539 cc LJ50 I3 (Straight three engine)
• 797 cc F8A I4 (Inline four engine)
Model hizi 3 zilipewa nguvu na 4-speed manual transmission. Generation hii haikua na Automatic transmission.

🤚Upande wa comfortability hapa kwakwel Suzuki walifeli maana gari hii iliundwa kumtoa mtu point A kwenda point B yaani kiufupi mambo ya comfort hapa hayakuwekwa kabisa.
2ⁿᵈ generation [SJ30/SJ40/JA/JB; 1981-1997]

Generation hii ilizalishwa mnamo mwaka 1981 na hapa Suzuki walileta mabadiliko makubwa kwenye model hii ya Jimny.

💡Kwanza kabisa, waliongeza variants kama vile;

2-door van
2-door pickup
3-door wagon. Na,
5-door wagon
Upande wa engine hapa Suzuki Jimny ilikuja na engine hizi;

• 539 cc LJ50 I3 (Straight-three-stroke engine)
• 547 cc F5A I3
• 657 cc F6A I3
• 658 cc K6A I3
• 970 cc F10A I4 (Straight-four engine)
• 1298 cc G13BA/G13BB I4
• 1324 cc G13A I4

Transmission: 4/5-speed manual.
3ʳᵈ generation [JB23/JB33/JB43/JB53; 1998-2017]

Generation hii ilitambulishwa rasmi kwenye maonyesho makubwa ya magari jijini Tokyo mnamo mwaka 1997.

⭐Gari hii ilifanyiwa ubunifu makini mno na wateja wa kimataifa tulipewa designs 2 ambazo ni standard hard top na Canvas Top.
Jimny ya generation hii ilikuja na engine hizi;

658 cc K6A I3 (JB23) - Straight-three engine
1,298 cc G13BB I4 (JB33) - Inline-four engine
1,328 cc M13A I4 (JB43)
1,461 cc K9K TD I4 (JB53) - Turbodiesel

Transmission hizi zilitumika hapa.
5-speed manual
4-speed automatic
Gari hii ina part-time 4WD system ambayo unaweza kubadili na kuweka: 2WD, 4WD, and 4WD-L.

💡2WD, hii inaendesha matairi ya nyuma. unapoweka 4WD unakua unaruhusu tairi zote kuendeshwa. The 4WD-L Hii inayaendesha matairi yote kwa kutumia gia za chini (lower gear).
Gari hii ilipewa mwonekano mzuri kuliko generations mbili zilizopita na hapa kwa mara ya kwanza kabisa, dereva na abiria wa Suzuki Jimny mnaweza kupata comfort maana gari imetulia kwasababu imewekewa mfumo imara wa suspension.

⭐Generation hii ilifanyiwa facelift kadha wa kadha
4ᵗʰ generation [JB64W/JB74W; 2018- Present]

Mnamo mwaka 2018 yalifanyika maonyesho makubwa zaidi ya magari Jijini Tokyo na hapa ndipo wapenda magari tulipoiona Suzuki Jimny hii mpya kabisa.
The whole World was happy to see her! Ila Jimny huyu alipatwa na majanga ya kutosha tu..
Mwaka 2020 Suzuki Motor Corporation walikumbwa na kesi kubwa tu kutoka barani Ulaya kwakua Gari hili, yaani Jimny ilikua haikidhi vigezo vya kimazingira Barani Ulaya.

🤚Hivyo basi Suzuki waliacha kuzalisha gari hili na uzalishaji ukaanza Upya tena mnamo mwaka 2021.
Upande wa engine hapa Jimny hii ilikuja na hizi;

• R06A 658 cc, three-cylinder, turbocharged petrol engine (658 cc R06A I3 Turbo) pamoja na,

• 1,462 cc K15B l4 (Inline-four engine)

Engine hizi zilipewa nguvu na;

• 5-speed manual pamoja na
• 4-speed automatic transmission.
Suzuki Jimny ya Generation hii iliongezwa kidogo urefu wake na kuipa muonekano mzuri (Jimny Sierra JB74). Unapoingia ndani ya gari hii utapata ladha ambayo only Suzuki Jimny owner can relate.

⭐Gari ipo simple ila lina kasi nzuri sana liwapo barabarani.
That's all about Suzuki Jimny.

Asante kwa kusoma hii thread👏🏾

Kama umeipenda thread hii:

- Retweet first tweet
- Follow me: @Mentormania123 ili usikose contents zote kuhusu magari na tips on how you can maintain it.

Drive safe and be safe.

From 𝑀𝑒𝑛𝑡𝑜𝑟 to You.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with ᴍᴇɴᴛᴏʀ 🇹🇿

ᴍᴇɴᴛᴏʀ 🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Mentormania123

Apr 14
🤚Let's talk about Shock Absorbers.

This is the most important part of your car's Suspension System.

Today I would like to give you a secret that will enable you to take good care of the shock absorbers and suspension system of your car.

Are you ready?

— Thread —
A shock absorber is a mechanical or hydraulic device designed to absorb and damp shock impulses.

This is achieved by converting the kinetic energy (movement) of the shock into thermal energy, which is then dissipated into the atmosphere through the mechanism of heat exchange. Image
The key role of the shock absorber is to ensure that the vehicle’s tires remain in contact with the road surface at all times

Shock absorbers automatically adjust to road conditions because the faster the suspension moves, the more resistance they provide. Image
Read 14 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(