A-L-L-Y Profile picture
Apr 30 17 tweets 7 min read
Leo katika #ElimikaWikiendi nakuletea "Mambo Muhimu ya Kuzingatia kwa Vijana wanao Ingia kwenye FURSA za Mtandaoni."

Vijana wengi sana wana tamani au wameingia katika kuzisaka fursa mbali mbali za mtandaoni.

Basi ungana nami tuchambue mambo muhimu ya kuzingatia.
1. Jinsi ya Kuchagua kitu gani ujikite nacho mtandaoni.

Hapa ndipo wengi sana waka anza kukosea. Mtandaoni kuna mambo mengi sana.

Huwezi kujihusisha na kila kitu, hivyo ni muhimu sana kuchagua ni kitu gani ufanye.

#ElimikaWikiendi
Kuna fursa nyingi sana.

Mfano;
- Freelancing
- Blogging
- Affiliate Marketing

Na vingine vingi tu.

Hapa ndipo wengi hushindwa kuchagua nini hasa afanye. Hauzuiliwi kufanya vitu vingi ila jikite na vichache kwanza.

#ElimikaWikiendi
2. Chagua Niche

Hii ina apply kwa kila fursa. Iwe ni freelancing, blogging au kitu chochote.

Wigo ni mkubwa basi wewe chagua sehemu ndogo na jikite nayo kwa kujiweka vizuri zaidi.

Mfano;
Umechagua kufanya freelancing basi tafuta niche moja jikite nayo.

Usi dandie kila kitu
Katika freelancing kuna vitu vingi sana unavyo weza kuuza kama ujuzi basi wewe chagua kimoja au viwili komaa navyo haswaaa.

Iwe copywriting, Graphic design, translation au Content writing... Chochote kile.

#ElimikaWikiendi
3. Fursa za Online sio Rahisi kama wengi wanavyo dhania.

Hapa naomba nieleweke vizuri.

Ninaposema sio rahisi, vile vile pia fursa hizi sio ngumu pia. Kikubwa hapa ni juhudi, nia na kufanya uchaguzi sahihi.

#ElimikaWikiendi
Utaona fursa za mtandaoni ni ngumu endapo hauta jishughulisha na kuweka juhudi zaidi.

Mfano;
Huwezi kupata kazi Upwork kama hauombi kazi. Tuma proposal nyingi uwezavyo na hakikisha una omba kazi zinazo endana na ujuzi wako.

#ElimikaWikiendi
Kama wewe ni blogger basi weka juhudi katika content, ili upate traffic kubwa.

Ads network kama Google haziwezi kukupatia monetization kama hauna traffic nzuri.

Weka juhudi.

#ElimikaWikiendi
4. Wekeza katika Ujuzi.

Fursa za online zinataka ujuzi. Hakikisha una jiongezea maarifa mara kwa mara kuendana na soko pamoja na ushindani.

Usiogope kulipia ebook, kununua course (Wekeza kwenye maarifa)

#ElimikaWikiendi
Hata kama hauna pesa ya kununua course au ebooks basi kuna platform zinazo toa elimu bure.

Ingia Google Digital Garage, udemy, coursera kuna free course nyingi sana za bure.

Unaweza mcheki @MillanMarketer
Kwa course mbali mbali.
#ElimikaWikiendi
5. Shirikiana na Wenzako kujenga Connection.

Fursa za online zinahitaji uwe na connection ili uweze kufanikiwa pia.

Usikae pekeyako.. jiunge na community mbali mbali.

Mfano za hapa Tz.
@AfricaGetpaid community
@SanukaKidijital

#ElimikaWikiendi
Mimi pia nimeanzisha community yangu ya Kidigitali huko telegram.

Join hapa t.me/kidigitalitanz…

Michongo ya kazi na ushauri mbalibali unapatikana kwa watu.

Jitahidi kujumuika na wenzako msaidiane ndio kukua kwako.

#ElimikaWikiendi
6. Itumie mitandano ya kijamii vizuri.

Je! Una fahamu kuwa twitter, linkedin, facebook ndiko kuna michongo kibao sana.

Mimi nimepata deals kibao tu Twitter.

Jiweke watu wakujue una fanya nini na wakijua ujuzi wako na waka kuamini basi watakupa deals.

#ElimikaWikiendi
7. Wekeza kwenye Vifaa (Tools)

Fursa za online zina hitaji nyenzo za kazi kuu na muhimu kama Computer, Simu na Internet na vifaa vingine kulingana na aina ya shughuli unayo fanya.

Hivyo wekeza kwenye vitendea kazi.

Kama una simu pekee, basi nunua computer.

#ElimikaWikiendi
8. Usikatae kazi hata kama ina ujira mdogo.

Vijana wengi wanapo anza kwenye hizi fursa za online, hubagua sana kazi zenye ujira mdogo.

Hizo kazi ndio njia ya kukufungulia milango ya kazi kubwa na zenye malipo mazuri.

#ElimikaWikiendi
Kufanya kazi za ujira mdogo kuna watu watakuona kama una jishusha thamani. But, to me, I see it as a way of creating more opportunities.

Rafiki yangu @LucasShemu alianza na kazi ya $5 ila sahizi ana piga kazi za pesa ndefu.

#ElimikaWikiendi
Hivyo hivyo kwa @mafolebaraka @GetrudePastory walianza na kazi za bei ndogo na waka jijengea reputation na sasa wana fanya kazi za bei kubwa.

Katika majukwaa ya freelancing utaaminika zaidi unapoonekana umefanya kazi kadhaa.

#ElimikaWikiendi

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with A-L-L-Y

A-L-L-Y Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(