I think it's common knowledge that when your friend calls you on a Friday asking, "uko wapi wewee?" then, some sh!t is about to go down! That's exactly how my boyz and I were tricked into a "sherehe" without even planning. Skiza story...
Friday evening, tumechill kwa beshte yangu Dave, tunawatch Rick and Morty. Siku haina dosari, haina bugdha, haina ngwere, yaani as simple boy would put it, mambo ilikua shega. Kidogo simu ya Dave ikapigwa, the name calling, "Ted".
Ted on a Friday is bad news, so Dave was a little hesitant to pick, but then he did. "Uko wapi bro?", Dave akamshow ako kejani na maboyz, Ted akasema anakam. Turns out jamaa ni kama alikua tu hapo nje juu vile hio call ili-end tu, jamaa alikua ashaingia.
Mans akadai alikua anataka favor, ati he had a few friends over na ni kama caretaker wao alikua anawasumbua juu ya ngoma, so alitaka akam nao hapo kwa Dave wapige drinks hapo na sisi. Dave is very accommodating, so he agreed, besides hatukua na fom, plus he said a few friends.
So after kupewa greenlight, Ted went to get the friends. Si tumebaki tumetulia, kidogo tunaskia commotion kwa stairs. Aiih, hao hawaezi kua "few friends", hio inasound ka mbogi bana. Before we knew it, keja ilikua na watu wengi kushinda mafans wote wa Man City, namna gani?
Pale ilikua ukisongesha mguu, unakanyaga mtu, kidogo nidhani tuko Roysambu bana. Jamaa ni kama alikua na Bash, akaihamisha yote. Uzuri ni kwamba walikuja na vinywaji na Vipussa aina zote. Ungeingia pale ungedhani tumeanza poultry farming vile kulikua kumejaa ma-chics...
Problem was, kila mtu aliingia pale alikua mlevi tayari, so we were playing catch up, you know how that is. There was nothing we could do, tayari wako ndani. Ilibaki tumepiga mashots zikufuatana back to back kama message ya Mpesa na ya Fuliza, ndio at least tukue the same level.
I did my quick analysis, the drinks were seemingly enough, and the number of ladies was okay, nobody was going to lack, but the quality of what you get was entirely dependent on you. In such a scenario, you have to act fast, quick reactions kama Mbappe.
There was a girl I had seen a couple of times in Juja, and she looked fine. Alikua amevaa pallasso pants and I have to say pal, ass so fine! It might have been the shots I took, but huyo nilikua nishabook. I said hi and asked her name, she was Winnie, so I was sure angenijenga.
I proceeded to tell her that nimekua nikimcheki around but never had a chance to talk to her. I said "Mi si namba saba wa Arsenali, but kuna vile nimekua nikikuSAKA". I'm not even sure she understood what I said, but she played nice and we got along.
I could see my hommie Joe struggling as usual. Shida ya Joe ni timing, jamaa anajaribu kuchukua dem tayari ako paired up. He really wanted that chic, he tried every single trick in the book and even some that he wrote himself, but it wasn't to be.
He thought he was the favorite kama United ligi ikianza, mwishowe alijipata anacheza huko conference league. Mans ali-end up na msupa mrefu kama Kevin Durant, akijaribu kumshika milkmakers ilikua inakaa ni kama anapiga layup. 🤭
So eventually everyone was settled. Ile keja ungedhani ni ya carpenter juu kitu ilikua inacheza tu ni drill. Kidogo jamaa fulani akanotice kulikua na PS, big mistake. Tuliskia "Ted unasemanga unaeza nipiga FIFA? Ndio hii hapa PS".
Walevi ni wajinga, you can't control them. Tulijaribu kuwaambia wata-game baadae lakini wapi. Within no time, PS iko on, na washashika pad, there was no stopping them. Ati "game moja tu, nimshow hajui game alafu tuzime". Haha, 1 game became 2, and 2 became 4..
Eventually kila jamaa alikua anataka kuonyesha his skills, so ikageuka gaming night. The ladies didn't like it, but there was nothing they could do. Ilibaki kila dem amecheer for her ninja, it became so competitive that everyone was glued to the screen, FIFA is interesting tbh.
There was a problem though, PS ni moja na wasee ni wengi, you have to wait for a long time to play.Ikabidi tumetafuta solution, tukapigia beshte yetu fulani ako na shop ya PS alete console ingine na screen. We had two gaming stations in the house, Smackdown na Monday Night Raw!
The deal was, ukipigwa kwa "Monday Night Raw" unakua relegated to Smackdown until you prove yourself. It was inevitable that egos were going to be bruised. By that time, it was around 10pm. Pale ilikua ni either umeshikilia pad, ama umeshikilia baddie. 😂
All this time mi nilikua nimeshikilia my newly acquired baddie, nilikua nimegame mchana so sikua na pupa. One of the ninjas decided to call me out as a coward, ati staki kugame ndio nisifinywe. I had been watching him play na nilikua sure haezani na mimi.
Mans alikua so gassed up kidogo ata aite press conference, he was desperate to impress. Ile game ilipata attention kama UCL final, ilibidi ata game imepause kwa hio console ingine, kila mtu alitaka kuwitness greatness. Atmosphere ilikua ile keja, ungedhani tuko Anfield.
Nikamshow haezani na my skills, nitamfinya saba mi sina chills, ninja akajifanya mzii na mwisho nilijua atatii, ilibidi ni-unleash my skills na nilianza na heel to heel, alitry kupress hio pitch nikamtoka na ma-rainbow flicks. By the time nafunga my fifth, mans akaanza kubitch😂
My ninjas were losing their shit, banter inatupwa jamaa kidogo alie. Winnie naye zake zimeshika anainsist anikalie nikigame, iko nini, ata niko mbele 5 nil. First attempt kunikalia kwa lap ilibidi asimame akidhani amekalia broomstick, pombe hunifanyia ile kitu. 🤭
Although it was inconvenient for gaming, I enjoyed it. Shawty was porpoising on my lap like Leclerc's Ferrari, that sh!t almost had me shooting from deep like Steph Curry. By the time that game ended systems zilikua zinaleak kama emails za Hillary Clinton.
Ilibidi nime-abondon hio game nikaconcentrate on more pressing issues. I had fun with that girl that night, all I can say is ako na head(ing) kama Benzema. Yaani mtoto anablow ata kushinda Boko Haram. 🤭
The next morning niliamka saa tano nikiwa confused kama wengine wenu saa hii. Napata kuna mtu ameniwekelea socks chafu kwa uso, kwa mfuko niko na fegi na ata sivutangi fegi... Chaos!
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
I think when Mr. Right said "Mi msee m-humble but all time najipata kwa trouble", he might have been referring to me. I don't have a better way to introduce this story because, mostly I don't look for trouble, trouble finds me.
That night, I was chilled, as harmless as a newborn, but then trouble came knocking, and he wasn't alone, he brought his mum, dad, twin sisters, cousins, he brought the whole gaddam clan. Skiza story....
It was one those Saturday evenings when you just wanna hang out with the boyz, play some FIFA, burn some tress and exchange banter, nothing crazy. We had already secured a gaming console, and as early as 7pm the games were getting really competitive.
Story Za Tonnie : Thick Thighs take lives.
One time baby you're my motivation
Two time what a beautiful creation
Thick thighs save lives...I think I might have to disagree with Bien and Bensoul on this one. As far as I'm concerned, thick thighs almost took my life. Skiza Story..
Day fulani mi na maboyz tumeiva, tunaexchange those nonsensical stories, then one of them asked, "btw, mnapenda madem wanakaa aje?" So kila mtu alikua anasema vile ye hutaka, lightskin, slim, thick, tall na upuzi kama hizo. Mi Kufikiwa, nikasema "slim thick", acha mbogi icheke.
The reason they were laughing is because I'm a skinny cabron. Banter zikaanza kurushwa ati mi na dem mkonda tukimake-out tutatoa mlio kama ya vijiko kwa sink, my pals don't respect me 😕. Anyways wakanishow stereotypically, Cabron mkonda kama mimi anafaa kudate big ghels only.
See, in every man's sexual fantasy is a list of the different types of women he'd wanna bone before he meets his maker. My n!gga Jay, he'd kill for a Canadian coochie, for me though, a Somalian babe tops my list.
There's just something about them that tickles my wiener. I've always tried to cuff one, but it's hard, religion issues make it even harder. Okay, I once managed, well almost managed, but how? Skiza Story...
Saturday afternoon, nimechill kwa beshte yangu Rashidy tunawatch ball. Kidogo aka-receive call akanishow itabidi afike tao shughli kidogo alafu arudi. So mi nikabaki kwake nikiwatch game, bedsitter yangu hakukuwa net bana, ata ya mbu hakuna.
Story Za Tonnie : Just Party! Lakini UsiPartykane!
House parties, the climax of campus life. In my time in Juja, I have attended a good number of these, but I have to say, they come with a fair share of drama, and sometimes I found myself right in the middle of it, Skiza Story.
It was one those boring Saturdays hii time ya Covid, Kamwana ameeka strict guidelines, hakuna public gatherings, club zimefungwa, the best you can do is just chill in the house. So mimi nilikua nimetulia pale bedsitter, nimedunga kinyasa, with a nice playlist, having a good time.
Kwa meza nilikua na 150 nikaamua nijispoil, nipike kamchele hivi na beef, lakini on a second thought, nikaamua nipike Ugali, mchele hua inaingia kwa tumbo ka imetoka teke kama RECCE squad. Nikafika butchery upesi, kanyama ya mia na viambatanishi, nipike lunch moja safi
Story Za Tonnie : AirBnb party gone wrong.
Airbnb is a service mostly for travelers looking for a space to stay, in Kenya though we use the service mostly to host private parties. Sometimes though, the parties might not go as planned, like in our case with my Boyz... Skiza story
Like I have said before, campus nilijipata kwa gang ya coolkids, people living way beyond my means, to be honest though it was kinda fun, I got to enjoy stuff that my fellow broke cabrones could never experience.
There was this time, one of the girls in the cocoon alikua na birthday. So maboyz wakaamua kuekea huyo dem bash noma. Rich kid wa gang akadai, "yoh guys, si we changa a little cash, like 5k each, we get an Airbnb for Ivy's bash ama?"...Everyone was in, well except me 😂.
These words are the very reason Shaffie and Co. aren't on the breakfast show on HBR this morning. Contrary to popular opinion, I feel like there was a message in the comments made , I have to agree though the delivery wasn't good.
So have you met someone who was too available that it made you ask yourself questions?🤔 Someone who doesn't seem to give a sh!t where and who they hang out with? 🤷♀️Well, I have, Skiza Story...
2020
It had been 3 months of lockdown🏠, nilikua nimeishi kwa nyumba kama broilers, kutu imenitwanga kama fence ya mabati😬. But the fear of Covid kept me put in the house, kutoka ilikua ni haram. I was longing for the touch of a woman, ata kama ni kupigwa Kofi, I had to do smth.