|learnerโ๏ธ๐|Allah is sufficient for me|Alhamdulillah| Digital Nomad |Sports enthusiast ๐น๐ฟ inspired by @julietbawuah ๐ฌ๐ญโฅ๏ธ
Oct 3, 2022 โข 8 tweets โข 4 min read
No Mambo 10 ๐ฑ !? , No problem ... I got you covered! Mambo 10 niliyoyaona kwenye mchezo wa Simba Sc Vs Dodoma Jiji: ๐ 1. Simba imecheza kitimu Sana , mpira umeonekana licha ya Kocha kupumzisha baadhi ya key players (Kanoute & Okrah) ...well done Mgunda ๐๐ #Uzi ๐ 2. Lisha ya ushindi ,upande wa kulia palivuja sanaa...walipoteza mipira sana, Israh na Kibu hawakuwa na siku nzuri kazini licha ya Wenzao kuziba makosa yao(ndio maana ya teamwork๐) 3. Kuna wachezaji wazawa hawaimbwi Sana Ila uwepo wa Mgunda ni kama wamezaliwa upya (Kennedy na๐
Oct 1, 2022 โข 4 tweets โข 2 min read
Leo katika historia,Tarehe 1/10/2021 Kwenye mechi ya Dodoma Vs Simba.Dodoma waliahidiwa 10M na mbunge endapo wataifunga Simba au kutoa sare, kilichotokea kwenye hiyo mechi ilikuwa zaidi ya Ibra Vs Alan Pina๐, Dakika ya 10 walimuumiza Sakho ankle na kushindwa kuendelea.. #Uzi ๐
... na mchezo na alikaa nje kwa kipindi kirefu ,dakika ya 44' Anuary Jabir anampiga kiwiko Kennedy Juma na kupewa red card ,huku Simba ikiwa na mechi muhimu ya #TotalEnergiesCAFCL Vs Jwaneng Galaxy, ni mwaka tuu umepita ,kesho (2/10/2022) ni Simba vs Dodoma Jiji again,..๐