FRANCE Profile picture
Keep in touch with your Guardians. Pursuing for Happiness✊.
Sep 13, 2022 5 tweets 1 min read
Kuna mshkaji yupo gereza moja Manyara amepigwa miaka 30 kwa kubaka lkn yeye anasema hakubaka.

Anasimulia; huyo binti hakulala nyumbani kwao siku hiyo(ni mwanafunzi), baba yake akawa anamsubiri kwa hasira, asubuhi kurudi baba yake akamdaka, akaanza kumpiga, binti akaponyoka, Yeye mshkaji kaamka asubuhi anapiga mswaki nje kwake(nyumba siyo mbali na kwa huyo binti), yule binti baada ya kuponyoka akakimbia, alipoona mlango wa jamaa upo wazi akachoma ndani, jamaa akashangaa, akaingia ndani kuuliza kulikoni na amtoe,