Discover and read the best of Twitter Threads about #CodeZaChapo

Most recents (3)

MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI Image
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇 Image
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇 Image
Read 5 tweets
“NILIPEWA GARI ILI NISITOE STORY ZA WASAFI”

Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI
Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.

Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Labda nikuweke sawa waandishi wa habari wanapenda sana hela wao hela kwanza kabla ya kazi yako, wako tuyari waje kufanya coverage ya mkutano wako ila usipowapa bahasha juwa tu hawatorusha tukio lako, nimefanya kazi na waandishi kwa ukaribu kwa zaidi ya miaka mi3 sasa, wana 👇
Read 8 tweets
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI Image
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇 Image
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)

Turudi kwenye kisa hasa cha story👇 Image
Read 9 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!