Discover and read the best of Twitter Threads about #HadithiZaShangazi

Most recents (1)

1. Hadithi hadithi!
Hapo zamani za kale kulikuwa na Mfalme mmoja alikuwa katili na mbabe na aliogopwa sana na wananchi wake. Siku moja akifika fundi moja wa nguo aliyejitangaza kuwa mahiri sana. Mfalme akamwita amshonee nguo. #HadithiZaShangazi
2. Fundi alichukua vipimo na baada ya siku kadhaa akarudi akidai amebeba nguo ingawa hakuonekana kubeba chochote. Akamwambia Mfalme avue nguo na akaanza kumvalisha kitu kisichoonekana. Mfalme akauliza mbona sioni kitu. Fundi akasema “Huoni nguo nzuri hivi?” #HadithiZaShangazi
3. Mfalme mbabe akahofia kuonekana mshamba mbele ya fundi huyu mahiri akasema “Oh naona sasa! Nguo ya kipekee na maridadi hii” Akaita wapambe wake na kuanza kuzunguka uchi akiwaambia “Mnaona nguo mpya inavyonipendeza?” Wapambe kwa hofu wakamsifia #HadithiZaShangazi
Read 5 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!