Discover and read the best of Twitter Threads about #HomeBuying

Most recents (3)

Hivi Kuna Asiyejua Kama Ardhi ni Utajiri.

Au Asiyetambua Kama Akiba ya Kweli ni Ardhi.

Jiulize, Kwa Nini Mazao, Maji, Mafuta na Madini Vyote Vinapatikana Kwenye Ardhi ?..

#RealEstateInvesting
#PropertyForSale
#HomeBuying
#DreamHomes

Nisikuchoshe Sana
Madini Time
⬇️
Utaskiaje Ukifanikiwa Kumiliki Heka 5 ,10 au 50 Kabisa?

Hiyo Siyo Ndoto Inawezekana

Nimekusogezea Habari ya Shamba Lenye Uwezo wa Kutimiza Malengo Ndoto na Malengo Yako Leo

Kisa Hiki ni cha Shamba Lilipo Kata ya Kiwangwa Wilaya Bagamoyo

Umbali wa Kilometa 7 Tu Kutoka
⬇️
Barabara ya Lami Kijiji cha Bago

Timu Yetu Ilifika Mpaka Kijijini na Kustaajabu Baada ya Kukuta Shamba Linauzwa Kwa Bei ya Sawa na Bure Kabisa

Unajua Linauzwaje?

Bei ya Awali Kwa Heka 1 Ilikuwa ni Laki 6.99.9 Tu❌

Timu Yetu Ikakataa
Ikabidi Tupewe Bei ya Ofa
Ambayo
⬇️
Read 6 tweets
Soko la Mali Isiyohamishika
(Real Estate) Lipoje Kwa Sasa
Dar es salaam?...

#RealEstateInvesting
#PropertyForSell
#HomeBuying
#DreamHome

The Market Report
⬇️
Kuongezeka kwa Thamani ya Mali Isiyohamishika Katika Eneo la Masaki.

Kumekuwa na Ongezeko Kubwa la Thamani ya Mali Isiyohamishika Katika Eneo la Masaki Jijini Dar es Salaam.

Eneo Hili Linajulikana kwa Kuwa na Majengo ya Kifahari, Huduma Bora za Kijamii, na Usalama Mzuri.
⬇️
Kwa Sababu ya Sifa Hizi, Masaki Imekuwa Eneo Maarufu kwa Wawekezaji wa Mali Isiyohamishika.

Kwa mujibu wa Takwimu za Hivi Karibuni, Bei za Nyumba za Kifahari Zimeongezeka kwa Zaidi ya Asilimia 20
Katika Kipindi cha Miaka Miwili Iliyopita.

Hii inaonyesha kuwa Masaki ni
⬇️
Read 5 tweets
Reading lots of can’t get a mortgage but qualify on income, credit, DTI & lots of self employed (SE) having problems

Here are tips on finding that unicorn lender

1. Ask for referral. What were fees, rate at par (no pts), how long did it take to close, issues/how resolved? 🧵 Image
2. Call each lender & ask questions above. Confirm they lend on what you want to buy. How many SE loans? Ask them for addresses of purchases closed- if they say they can close in 15 days go look at Pending/closed dates. Ask them for client or realtor references. Call them
3. Ask LO for examples of issues & how they solved them. Shit happens, but the good ones solve them & close on time or maybe a day or 2 late but not WEEKS late as a rule. There’s always exceptions but a good loan officer (LO) does the homework upfront before you go into escrow
Read 15 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!