Discover and read the best of Twitter Threads about #NyumaYaPazia

Most recents (3)

Kati ya mwanaume na mwanamke nani huwa wa kwanza kupenda?

Wanaume wanaweza wasiwe tayari kukubali uhalisia lakini mara nyingi mwanaume huwa wa kwanza kupenda. Mwanamke huwa makini sana ni mtu gani aweze kumpenda, hivyo huonyesha hisia zao taratibu Hadi pale atakapo weza kumuamin Image
yule mtu.

Sababu zinazopelekea mwanamke awe makini juu ya mtu gani aneeweza kumpenda:

1. Wanawake wamejifunza kuweza kuunganisha upendo na sex
Jamii kiujumla kwa asilimia kubwa imefundisha wanawake kwamba usifanye sex kama haupo katika mahusiano.

Hivyo mwanamke huwa makini
nani aweze kumpenda kwani kumpenda mtu inamaana kumruhusu aweze fanya nae sex

2. Kwa mwanamke mahusiano na sex huwa na athali zake.

Mwanamke huchagua mtu gani ampende kwani ndie anaebeba mimba. Kulala na mtu usiku moja huweza kupelekea miezi 9 ya mimba. Mwanamke anakuwa makini
Read 6 tweets
"Kipindi nipo nyumbani Mwanza, nilikuwa napigiwa simu na Kaka mmoja ambaye nilikuwa nafahamiana nae sana. Alikuwa ananiomba nije sana Kahama akiwa na ahadi ya kunipa kazi, kunipangishia nyumba na ahadi nyingine nyingi nzuri.
Siku niliyofika kahama, nilifikia guest house. Yule kaka ndiye aliyenipokea, hivyo nililala nae na mambo mengine ya chumbani yalifanyika.

Alivyoondoka asubuhi ndio ilikuwa mwisho kunipigia simu. Nikawa kila nikimtafuta naambulia matusi tu. Hakunipa chochote kama alivyoniahidi.
Kwa bahati nzuri nilivyotoka nyumbani Mwanza nilikuwa na akiba ya kama elfu 60.

Ilibidi niingie mtaani kutafuta kazi mimi mwenyewe, kwa maana nisingeweza kurudi tena Mwanza, Ningeambia nini watu maana nilikuwa nimeshaaga.
Read 4 tweets
"Nilipigiwa simu na rafiki yangu akiniomba kutumia ghetto langu ili aweze kulala na mtu wake. Sikuwa na shida, nilimuelekeza sehemu funguo ulipo maana nilikuwa nimetoka.

Kumbe aliingia na mwanafunzi tena akiwa na uniform zake. Majirani walimuona wakati anaingia nae ndani, Image
hivyo walipiga simu kwa viongozi wa kijiji.

Gafla kijiji kizima kilikuwa mlangoni kwangu, yule rafiki yangu alifanikiwa kuvunja dirisha na kukimbia.

Kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo yule binti kwa rafiki yangu, alinisingizia mimi ndie niliyekuwa nae mule ndani.
Nilikamatwa na kufungwa miaka miwili". Sixtus Sabasi, Kahama
#NyumaYaPazia
#WatuNiStory
Read 3 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!