Discover and read the best of Twitter Threads about #Riprafiki

Most recents (1)

JIKO LA GESI LILIVYOONDOA UHAI WA FAMILIA YA ABEID FALHUM😭💔🙏🏽
‘Abeid alipokuwa kitandani NENO ambalo alisisitiza tuwe makini na Gesi, tufanye namna Gesi hata ikivuja na kulipuka isiweze kuleta madhara kiasi kilichoitokea familia yake.’
Enzi za uhai Abeid alisimulia…..👇🏽
IIikuwa mida ya saa1 usiku (18 May,J5) nipo nyumbani wife akiwa jikoni akaniita jiko linasumbua kuwaka ni jiko la plate, basi nikaenda jikoni na mwanangu wa mwisho akanifata, nilipofika jikoni bila kujali harufu ya Gesi nika'switch jiko, kaka! kiasi cha sekunde sifuri '0'….
Wote tukawa tunaogelea kwenye moto, Nikamshika mtoto kukimbia nae nje sababu mlango ulikuwa umerudishwa tu, wote tukiwa tunawaka nikambwaga nje, nikarudi tena ndani sebule imelipuka pia lakini binti yangu alikuwa chumbani nikaingia huko kote kunawaka mwanangu anawaka nikamvuta…
Read 8 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!