Discover and read the best of Twitter Threads about #SimuliziZaBuyobe

Most recents (4)

On that fateful night, A big voice was heard from that room.

“We want ten million!”

“Give us ten Million!

And there was a reply..

“I really don’t have such sum guys!”

Then there was a mere silence

“Get out!” A voice ordered bleaching the silence.

UZI👇 #SimuliziZaBuyobe
6th June 2016

MAGUGU,BABATI

Naam, Ni usiku wa manane majira ya saa 7 au 8

Katika majira haya,IBRAHIMU RAJABU alikuwa kalala na mkewe GRACE RAJABU ndani ya nyumba yao.

Ghafla,Wakavamiwa na majambazi wakiwa na bunduki na panga ambao walitaka wapatiwe milioni 10
IBRAHIMU akawajibu hana kiasi hicho,

Wakawaamuru watoke nje ambako waligundua kulikuwa na majambazi wengine.

Walipofika nje IBRAHIMU akasema yeye ana 240,000 tu ndani.

Kusikia hivyo,Jamaa wakakasirika wakarudi nao ndani.
Read 12 tweets
ASIA ABDALA SUMLA alikuwa ni mjane wa ISSA BUSHIRI ambaye alifariki miaka kadhaa iliyopita.

Katika ndoa yao na marehemu mumewe walifanikiwa kupata watoto wawili SWAUM na JUMA.

Marehemu mumewe alimwachia mashamba mawili maeneo ya LIJUMBA NA MANDAWA

UZI👇👇
#SimuliziZaBuyobe Image
MAUAJI LINDI

Katika kila shamba kulikuwa na nyumba ya tembe ambamo Mjane ASIA ABDALLAH SUMLA alikuwa akiishi na wanawe wawili.

Msimu wa kilimo, ASIA alikuwa akikaa kwenye nyumba ya LIJUMBA akijishughurisha na kilimo. Alikuwa akikaa na wanawe wote kwenye chumba kimoja. Image
Mwaka 2015,ASIA alikutana na ABDALLAH BAKARI MKWINDA wakapendana na wakafunga naye ndoa mwaka 2016.

Kabla ya hapo mwaka 2012 ABDALLAH BAKARI MKWINDA alikuwa amemtaliki mkewe wa kwanza ASHA BULALA ambaye walizaa naye watoto watano.
Read 79 tweets
WHO WAS THE MURDERER?

A lifeless body on in the bush
With a notebook on it's chest
With a fatal wound on it's forehead

The Accused denied the traces left
This MURDER is mysterious.

UZI👇👇👇
#SimuliziZaBuyobe

MAUAJI SONGEA Image
Tukio lilianza kama kesi ya mtu kupotea...

SHOLASTIKA NUNGU alikuwa akiishi na mumewe REGNATO MAPUNDA maeneo ya MUUNGANO kijiji cha ZOMBA mkoani SONGEA.

Jumapili tarehe 19 MARCH 2017 majira ya saa nane mchana REGNATO alimuaga mkewe kuwa anatoka kidogo. Image
REGNATO alimwambia mkewe kuwa anakwenda kuangalia mechi ya mpira iliyokuwa inachezwa kijiji jirani cha LUGAGALE.

Huku nyuma, SHOLASTIKA aliendelea na shughuri zake za nyumbani ikiwemo kupika. Ilipofika majira ya saa 12 jioni aliwaaga watoto kuwa anatoka kidogo atarudi punde. Image
Read 54 tweets
UJANA,UTOTO WA MJINI,ULEVI,NA KUSHINDWA KUDHIBITI HASIRA.
Naandika kisa hiki huku nikijua nitaibua mjadala kwani kuna mengi hayakusemwa. Kesi hii ilikuwa na misukumo mingi kwani aliyeuwawa alikuwa ni mtoto mwenye LINEAGE kutoka familia maarufu ya kichifu.
Ilikuwa ni Jumamosi usiku wa tarehe 23 January 2010 ambapo watu walikuwa wakipata kinywaji katika baa maarufu ya Mango garden kinondoni.Meza mojawapo walikuwa wamekaa ndugu wawili wa kiume na mwanamke mmoja.
Haikuleweka kulitokea nini,lakini baadae kukawa na hali ya kurushiana maneno kati ya wale watu watatu waliokaa pamoja na vijana flani hivi. Mashuhuda wanadai wale vijana walikuwa wanawatukana matusi ya rejareja wale jamaa watatu. Watu wenye busara wakaingilia kati amani ikarejea.
Read 26 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!