Discover and read the best of Twitter Threads about #The_ChandO

Most recents (12)

Uzi : MAKOSA MADOGO MADOGO TUNAYOYAFANYA KWENYE UOMBAJI WA KAZI...👇

Please Re-Tweet iwasaidie wengi...🙏

_______________________
Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kuchakata maombi ya kazi ya taasisi moja binafsi hapa nchini. Maombi takribani 450 yalipokelewa ya wahitimu wa..👇
vyuo mbali mbali.

Ninashauri tufikirie namna tunavyoweza kujipanga na kuelimishana namna sahihi ya kufanya maombi ya ajira. Yapo makosa madogo madogo yaliyofanya tuwatoe katika ushindani takribani 50% ya waombaji wote bila hata kuangalia CV au vyeti vyao.

Baadhi ya makosa...👇
niliyoyaona ni kama ifuatavyo;

1. Emails nyingi zilitumwa bila heading. Yani email haisemi ni ya nini. Au mtu anaandika "Application", au anaandika "My cv", au "Dear sir".

Hayo yote ni makosa. Kwa kawaida unapaswa kuandika heading ya email yako in a title cased format...👇
Read 17 tweets
Uzi Mfupi : HAWA WATU SIO WA KUWATEGEMEA ASILIMIA 100%...👇

1. NDUGU alafu namba mbili😶

2. MARAFIKI

ukiwaunataka Support ya jambo utawalaumu bure kwasababu hata wewe mwenyewe unakuta upo ivyo kwa marafiki au ndugu zako yaani ni nature.

Unachoitajika kufanya ili...👇
msilaumiane ni kutafuta watu wapya katika maisha yako namaanisha watu wasio kufahamu yaani mkikutana msiofahamiana siku zote watakwambia ukweli kwamba hiki ni kibaya au kizuri na kama kununua au kupenda atapenda kutoka moyoni na kukusapoti.

Sasa hawa watu msiofahamiana...👇
utawapata wapi, kwasasa Dunia imerahisisha kidogo jibu la kwanza utawapata...👇

•kwenye mitandao ya kijamii

•Mazingira mapya ya kazi au shughuli yako

•Kwenye taasisi mbalimbali kama Chuo au shule au mambo mbalimbali.

Kikubwa jichanganye na watu alafu onesha unaweza..👇
Read 5 tweets
Uzi : KWANINI WANAUME HAWAPENDI KUOA WANAWAKE WASOMI...!? HIZI NDIO SABABU...😶

Na #The_ChandO mwalimu wa jamii...👋

Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini, kwa mwaka anapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba..👇
asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini...👇
kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani...👇
Read 23 tweets
Uzi : MASWALI KUMI( 10 ) INABIDI UYAJUE KABLA HUJAINGIA KWENYE CHUMBA CHA INTERVIEW...😐

Kwa wale wanaotegemea kufanya usaili wa kazi Leo katika Taasisi na Makampuni mbalimbali, Hakikisha haya maswali una uelewa nayo, haya ndiyo yanakupa asilimia nyingi za kupata kazi; Twende👇 ImageImage
1. ●Tell me about yourself...!?

Hapa sisi hatutaki kujua kuhusu umezaliwa wapi na lini, umesomea nini na kuhusu maisha yako, Hapa waajiri wanataka kujua sifa ulizonazo ukihusianisha na nafasi unayoomba, yaani hapa stick kwenye Skills, Experience, Achievements, Performance na
ueleze kwanini unafikiri utaleta mabadiliko.

2. ●Why do you want to work for us...!?

Hapa hawataki kujua kuhusu ubora wa kampuni/taasisi yao kwani wao wanaujua, hapa wanataka uoneshe ni jinsi gani unafikiri taaluma, na sifa ulizoeleza kwenye moja hapo juu zitaisaidia...👇
Read 20 tweets
Uzi : Je! WAJUA...🙄

Kitendo cha nyoka Kujivua Magamba kitaalam kinaitwa Sloughing.

Zipo sababu kuu mbili ambazo zinapelekea Kufanya hivyo.

Sababu ya kwanza ni kuruhusu Ukuaji wa mwili wake lazima atoe ngozi yake ya zamani ili kuruhusu ukuaji Wake.

Endelea...👇 ImageImage
Sababu ya pili,

hii hufanywa na nyoka majike tu wanapokua kwenye estrus yaani Wanapokua tayari kuzaliana,

ili jike ampe taarifa dume kuwa yupo tayari kwa kukutana basi hujivua magamba ili kuruhusu kuachiwa kwa harufu fulani ya wali.

Ndiyo maana kuna...👇
sehem ukipita hasa maeneo yenye vichaka unaweza Kuipata hii harufu ya wali,

hapo utamsikia mbongo akisema "majini Wanapika Wali sehemu hii tuondoke haraka sana 😄😄" kumbe nyoka nyupo kwenye harakati za kumvuitia baby wake 🥰

Basi tambua kuwa hiyo harufu...👇
Read 5 tweets
Uzi : SMS "3" KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA...☠

1.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Endelea Sasa fundi...😁👇 ImageImage
2.💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako, Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö, näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana,

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia...👇
Yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

3.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda.
Read 6 tweets
Uzi : AINA saba( 7 ) ZA WANAWAKE WENYE UPUNGUFU WA AKILI.🦍

1️⃣. MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.😶

Re-tweet kwanza na endelea tuelimike wote ndugu yangu...👇
2️⃣. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.😶
3️⃣. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.😶
Read 9 tweets
Uzi : JUMBE MAKINI ISHIRINI NA MOJA( 21 ) ZA MKUMBUSHE MWANAO NINAZO ZIKUBALI, PIA MWISHO Unipe YAKO UNAYOIKUBALI TWENDE...😷

1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...🦍

Re - Tweet na endelea ili upate kuniambia yako...👇
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...🦍
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...🦍
Read 25 tweets
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO🙄

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...👇

1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...👇
2️⃣Kuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3️⃣Unapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets
Uzi : JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE NYAKATI NGUMU😔

" FIKIRIA KUSHINDA 💪 "

Miaka kazaa iliyopita kuna kijana maarufu alikuwa akifuga kundi kubwa la Farasi karibu na ziwa,

Kundi lake la Farasi huwa kila baada ya kupata chakula wanatabia wa kwenda kunywa maji kwenye hilo...👇 ImageImage
ziwa lililopo karibu na makazi yao,

Siku moja baada ya kundi kubwa la Farasi kupata chakula na kwenda kunywa maji ziwani,

Miongoni mwa Farasi baada ya kumaliza kunywa maji alipo jaribu kutoka akashindwa kabisa kwasababu alinasa kwenye tope,

Farasi wengine waiobaki walipo..👇
rejea nyumbani mwenyewe kundi la Farasi akagundua Farasi mmoja hayupo,

Kulipo kucha asubuhi akaanza kumtafuta kwanzia sehemu wanapo pata chakula mpaka akafika ziwani sehemu wanapo kunywa maji baada ya kupata chakula,

Huko akamkuta huyo Farasi yuko kwenye tope akiwa...👇
Read 13 tweets
Uzi KIFO HAKILETI BADILIKO LOLOTE LA TABIA, BALI HULETA UKOMO WA MAISHA Tu.😔

Baada ya kifo ni hukumu...

Hakuna kujitetea baada kufa,
Hakuna tena uwezo wa kutubu dhambi baada kufa,

Hakuna mtu atakayekuhubili kaburini baada ya kufa,

Kama ukifa unadhambi huwezi👇
kuzitubu tena,
Kama ukikataa kuyashika mapenzi ya Mungu ungali hai, huwezi kuyatenda ukiwa umekufa,

Maombi ya muweke mahari pema peponi ni ya kinafiki tu, maana hayamletei badiliko la tabia hata chembe,

Yaani mtu amekufa hampendi Mungu, alafu aje afufuke anampenda Mungu? Ni..👇
kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.

Kama utakuwa mtakatifu mbinguni ni lazima kwanza uwe mtakatifu duniani.

Sifa bainishi za tabia unazozipenda na kuzifuga maishani hazitaweza kubadilishwa kwa kifo au kwa ufufuo.

Utafufuka kutoka kaburini ukiwa na tabia ile ile...👇
Read 9 tweets
Uzi : SEVEN( 7 ) HEALTH BENEFITS AMBAZO HUZIFAHAMU OF SLEEPING WITHOUT LIGHT, LET's GO...🤐👇

1) The body is able to produce a hormone (Melatonin) which fights diseases in the body while asleep at night in the dark only.

Endelea utakujanishukuru badae...👇
2) While asleep in the dark, the brain cells are able to rejuvenate back to their original state ( cells which were damaged due to excessive sunlight and electricity) and function properly.
3) A study shows that Intelligent people all over the world do not sleep at night with lights on. Take note.
Read 9 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!