Discover and read the best of Twitter Threads about #TutaelewanaTu

Most recents (3)

Short and clear:
"Nimeamua kufanya tofauti. Nimechapisha vitambulisho mimi mwenyewe"
@MagufuliJP Desemba 10, 2019, JNICC Dar es Salaam

Msikilizeni kipande hiki kwanza
Hii siyo sera ni PERSONAL decision, na kachapisha mwenyewe kasema!
Bado hatujaelewana? #TutaelewanaTu
Tunaendelea kupata facts and evidence @MagufuliJP alisema anatoa vitambulisho vya wajasiriamali bure na hiyo shs 20,000 ni gharama tu ya kutengeneza kitambulisho.
Kila mkuu wa mkoa alikabidhiwa vitambulisho 25,000, Desemba 10, 2019, mpo?
#TutaelewanaTu
Matokeo ya kuwapa "targets" hawa maRC ikawa hivi: kwamba usipokuwa na kitambulisho "unaingia kwenye anga zao"
Sasa leo ndiyo tunaambiwa "vitambulisho vya Magufuli" siyo lazima?
Mama anazodelewa ampigie simu mume wake eti kimenuka! 🙄 Dhulma!
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Read 3 tweets
Tanzania: Uhuru hatarini kuelekea Uchaguzi hrw.org/sw/news/2020/0…
Hii hapa Kiswahili:
Mamlaka nchini #Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani, taasisi zisizokuwa za kiserikali na vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo
@hrw wapanue wigo!
"Tangu .. mwezi Juni, serikali imekamata takribani wanachama 17 wa vyama vya upinzani na wakosoaji wa serikali, kusimamisha kazi za kikundi cha watetezi wa haki za binadamu na kufuta leseni na kuzuia vikundi vingine vikubwa vya utetezi wa haki za binadamu kuwa waangalizi" @hrw
"Mamlaka pia zimeweka vikwazo vipya kwa vyombo vya habari, kufuta leseni ya gazeti lenye uhusiano na mwanachama wa upinzani na kuzuia vyombo vingine vya habari kutokana na kutoa taarifa juu ya Covid-19, ambayo Rais John Magufuli anasema haipo tena nchini" @hrw #Tanzania
Read 7 tweets
Mwendo wa kueleweshana
US Congress imeazimia mambo mazito lakini ni baada ya kujiridhisha matukio, uvunjaji wa haki za binadamu na mengine mengi.
Sasa ngoja tuone wale mahodari wakija kuonyesha uhodari wao 🙄
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania Image
"Whereas the Govt of Tanzania’s denial of the existence of COVID19 ... and suppression of information related to the pandemic has not only placed citizens’ health at risk, but has also violated citizens’ freedom of speech and right of access to information" mkafungia @kwanza_tv
"Whereas, in September 2019, the Government of Tanzania amended both the Companies Act and Nongovernmental Organization Act, which have severely restricted the ability of civil society organizations working on democracy and human rights to receive foreign funds" Mahodari nyie!
Read 4 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!