Discover and read the best of Twitter Threads about #TutoboeWote

Most recents (2)

Thread ya kumaliza mwaka 2021 🧵

Learn, Earn and Grow
Jifunze kujifunza(Learn to learn)
Niliwahi kusema kwamba Katika dunia hii ya teknolojia kuna watu wa aina mbili.
1.Makers(Design, Product and Engineering )
2.Hustler(Management, Marketing and sales)
Sasa twende kwenye kujifunza kujifunza...
Jambo la kwanza katika kujifunza ni kujifunza juu ya wewe. Jua ni wapi wewe unafit kwa kuangalia internal traits zako na skills sets zako. . Jua strength zako, ni vitu gani unavifanya kwa urahisi zaidi na kuona matokeo makubwa zaidi.
Ni vitu gani ukivifanya unaenjoy na kupata flow nzuri. Kisha angalia jamii inahitaji nini kwenye vitu hivyo na develop skills katika vitu hivyo.
Read 19 tweets
Kwanini coaching ni muhimu sana hasa kwa Freelancers wanaoanza na hata wale wazoefu?
Mfano kazi kama hii👇
Miongoni mwa proposal toka kwa Freelancer anayeibukia ambaye hajapitia mafunzo. Tena ana ujuzi mzuri tu sema tatizo ni namna ya kuwakilisha ujuzi kwenye barua ya maombi...👇
Kujifunza ni jambo muhimu sana ili #TutoboeWote hivyo jisajili sana ujinoe namna ya kuandika proposal Upwork na kupata wateja wakupe kazi👇
Read 3 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!