Discover and read the best of Twitter Threads about #UZI

Most recents (24)

BEEF YA LIL WAYNE NA BIRDMAN

#UZI

Mwaka 2017 Rick Ross aliachia album yake ya tisa kwa jina 'Rather You Than Me'

Ndani yake kulikuwa na ngoma kali kali pamoja na diss track moja kali sana kwa jina "Idols Become Rivals"

Hii ni diss track maalum kwa ajili ya Birdman Image
Rosey alimdiss sana mle ndani kutokana na jinsi mwana alivyokuwa anam-treat mshkaji wake wa muda mrefu Lil Wayne

Mle ndani Ross anasema kabla hajatoka alikuwa anawaangalia Birdman na Wayne anatamani maisha yao. Hakutegemea Birdman anaweza kumtenda Wayne vibaya
Sasa kuhusu story ya Rick Ross the Boss, achana nayo!

Lil Wayne alikutana na Birdman kwa mara ya kwanza mwaka 1991 wakati huo ka-Wayne kana miaka 8 tu..

Wayne alikuwa anaishi na mama yake na baba yake wa kambo muda huo

Mama'ake na baba'ake walitengana akiwa na miaka miwili Image
Read 25 tweets
BEEF YA KANYE WEST NA JAY - Z
#UZI

Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother'

Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde๐Ÿ˜ƒ)
Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my mama crib'

Kanye hajapiga hustle sana mtaani km wenzake waliotusua kupitia game ya rap

Jamaa ni wa kishua tu, mama'ake (Donda West) alikuwa professor wa chuo kikuu cha Chicago akiwa mkuu wa idara kabisa
...lakini pia Kanye ni mtoto wa pekee kwa mama'ake, ko tunaweza kusema jamaa ni 'mtoto wa mama' dizaini km @mchachu_ hivi๐Ÿ˜ƒ

Japo mama'ake alikuwa prof., Kanye na shule ni km Zambarau na #KatibaMpya .. hawakupatana kbs. Jamaa ali-drop college ili afukuzie ndoto zake kwa game
Read 24 tweets
KWANINI COUNTRY BOY AMEONDOKA KONDE GANG?

Tetesi ni kuwa DSM Boy, Chido na Killer hawapo sawa na management yao ya Konda Gang inayoongozwa na Chinga.

Kwanini? Nimeweka uzi mfupi kukufafanulia ili usibaki na maswali.

@usedpointTz @Chapo_Porkpoint

#UZI ๐Ÿ‘‡ Image
Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.

Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania๐Ÿ‘‡
Sitomtaja jina ila nilishawai kuandika hapa msanii DSM Boy ndoto zake zilikuwa kufanya kazi na nani.

Alipoingia na kusaini mkataba na Kondi Gang aliambiwa apeleke mezani ngoma alizonazo na moja wapo ni hiyo collabo na msanii mkubwa Bongo.
Menejimenti wakaigomea ngoma kwamba๐Ÿ‘‡
Read 8 tweets
Panga Mapema Kupata na Kulea UJAUZITO.
Tuangalie HUDUMA KABLA YA UJAUZITO (MIMBA)
(preconception health care)
#UZI
Nini Maana ya Huduma Kabla ya UJAUZITO (preconception health care)
โœ๏ธ Ni huduma Jumuishi kwa lengo la kulinda na kuboresha Afya ya Uzazi, kutambua tabia, mazngira, na vitu hatarshi kwa mtoto atakayekuwa ktk tumbo la uzaz(womb), kuboresha Afya ya mama na kumwandaa kujfungua salama
Walengwa Wa Huduma Hii Ni Wapi?
โœ๏ธ Hujumuisha wanawake/waschina na wanaume/wavulana Kwa pamoja.
Wakigawanywa Ktk Makundi mawili
Kwanza, Ni Wale Wanaoelekea balehe na waliopo kwenye balehe
Pili, Ni wale ambao wapo tayari na wameamua kupata mtoto kwa kipindi kifupi kijacho.
Read 18 tweets
Tatizo kubwa sana linalozikabiri biashara nyingi leo si ukosefu wa bidhaa bali ni....

Fuatana nami katika #UZI Huu makini

Fanya ku โค๏ธ kisha Retweet ๐Ÿ”๐Ÿ” ku show love and Support

Tayari? Haya twendezetu tule madiniโคต๏ธ
Naam...

Tatizo kubwa sana linalozikabiri biashara nyingi leo si ukosefu wa bidhaa bali ni....
ukosefu wa Wateja.....

Bidhaa unayouza/Kutengeneza unajua kabisa hauko peke yako sokoni ila una washindani kibao..
Lakini pia Makampuni mengi yanaweza kuzalisha bidhaa nyingi kuliko mahitaji ya wateja wanavyo weza kununua....

Na kutokana na uwezo huo, wanapotengeza bidhaa huweka makisio ya juu sana ya ukuaji wa biashara, wanapofika kwenye soko mambo huwa tofauti kwa ground...
Read 8 tweets
NANI ALIYEMUUA SOKOINE?

#UZI

๐Ÿ”ฒMnamo April 12, 1984 ilikuwa ni siku mbaya sana ktk Taifa letu na haitosahaulika kwa Watanzania. Siku hiyo tulimpoteza kijana makini aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD MORINGE SOKOINE, aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari eneo la Wami-Dakawa (Morogoro). ImageImageImage
๐Ÿ”ฒSOKOINE mmoja wa viongozi bora nchini amefariki miaka 37 iliyopita akiwa na miaka 46. Ikiwa ulizaliwa kpnd hicho sasahv ushakuwa na watoto na pengine unaelekea wajukuu.

๐Ÿ”ฒIngawa historia tumesoma ndio, ILA #chanzo cha kifo chake bado kuna utata kuna maswali YasiYo na majibu. Image
๐ŸŽคNimeamua tufukue makaburi najua hukuambiwa haya๐Ÿ’ฃโคต๏ธ

๐Ÿ”ฒHv NANI HASA ALIYEMUUA SOKOINE?

๐Ÿ”ฒILIKUWAJE AKAGONGWA NA GARI La "Private" #KATIKATI Ya MSAFARA na kupelekea kifo chake (Tujuavyo msafara wa VIP unakuwaga na ulinzi wa usalama, hakuna gari linaruhusiwa kutembea hadi upite) Image
Read 111 tweets
#FAHAMU: VYAKULA BORA KWA WATOTO WADOGO KULINGANA NA UMRI WAO.

Watoto wanahitaji vyakula maalumu tangu wakiwa wadogo kwa ajili ya kuboresha afya zao na kuimarisha kinga ya miili yao ili kuepusha udumavu na kumkinga dhidi ya magonjwa mbalimbali kama PNEUMONIA, kuharisha n.k
#UZI ImageImageImageImage
MIEZI SITA YA AWALI
Mtoto anahitajika kupata maziwa ya mama yake pekee bila kuhitajiwa kupewa kitu kingine kama maji/ juisi katika kipindi hiki. Isipokuwa anahitajika kupata chanjo ya matone au dawa. Mtoto anyonyeshwe usiku na mchana isiyopungua mara 10 kwa masaa 24. ImageImageImage
MIEZI 6-9
Mtoto anyonyeshwe kwa jinsi atakavyohitaji.Muanzishie uji au vyakula vya kupondwa(Viazi,ndizi, samaki,nyama) kwa kuanzia vijiko 2-3 vya mezani kila baada ya masaa 12.Akifiksha miezi 7 ongeza kiasi mpaka 2/3 ya kikombe cha 250mls kila baada ya masaa 8.
#ElimikaWikiendi ImageImageImageImage
Read 7 tweets
PUTIN ANAVYOPINDUA VIONGOZI WA AFRIKA KUJIIMARISHA

#UZI:

๐Ÿ’จRais Alpha Conde (Guinea) alipinduliwa kwa msaada wa USA & Ufaransa, lkn kwa ASSIMI GOรTA (Mali) alisaidiwa na Urusi.Pia mauaji ya IDRIS Dร‰BY (Chad) yalifanywa na URUSI
๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ’ป๐Œ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐Œ๐š๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐“๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ๐ฒ๐š๐ฃ๐ฎ๐š๐Ÿ‘‡
Mnamo Aprili 20, 2021 majira ya jioni zilianza sherehe huko La Brasserie Kiss, umbali wa 100M kutoka ktkt ya mji wa Bangui (Afrika ya Kati). Kila aliyepita huo mtaa aliona magari kadhaa yamepaki mbele ya nyumba moja ya Ghorofa 3, jumba ambalo ni kivutio kikubwa sana ktk jiji hilo
Jengo hili lipo nje kidogo ya mtaa maarufu wa DU COLONEL CONUS na ikifika usiku hupendeza sana kutokana na mng'ao wa taa ulioizunguka. Kulingana na saa kule ilikuwa mida ya saa 2 usiku hivi na kwa wenyeji wa mji huo, ni muda ambao amri ya kutotembea usiku huanza kutumika.
Read 17 tweets
๐‚๐ˆ๐€ ILIVYOTUMIA MWANAMUZIKI ARMSTRONG KUMUUA PATRICE LUMUMBA (Congo)

#Thread

Mnamo Sept 19, 1960, Mkuu wa CIA huko Leopoldville (sasa Kinshasa) alipokea SMS kupitia chombo cha siri kutoka wakuu wake huko Washington. Mtu aliyejiita 'Joe from Paris' ndiye aliyepiga simu na ..
kumwambia angefika Congo kwa ajili ya Operation maalum.

Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa. Baadae mkuu huyo alionywa kutozungumzia ujumbe huo na mtu yeyote. Wiki 01 baadae 'Joe' aliwasili nchini humo.

Leo nikiwa nasoma kitabu cha ๐–๐ก๐ข๐ญ๐ž ๐Œ๐š๐ฅ๐ข๐œ๐ž (Author: SUZAN WILLIAMS)
kilichotoka Agosti 20, 2021, nimejikuta nikiumia sana nafsi baada ya kufahamu jinsi Marekani ilivyomuua Waziri Mkuu wa kwanza wa DR-Congo, mzalendo wa kweli, kijana mdogo mrefu, mwembamba miaka 36, kwasababu tu USA iliogopa Umoja wa Kisovieti (USSR) ikaamua kumuua.
Read 120 tweets
FULL OPERATION MAPINDUZI YA RAIS (GUINEA)

#Thread

Baada ya TALIBAN nchin Afghanistan, habari sasa ni MAMADY DOUMBOUYA kiongozi wa kijeshi huko Guinea, kumpindua rais na kuchukua madaraka #Unadhani kikosi kidogo cha SFG kiliwezaje kudhibiti kambi za kijeshi na kumkamata rais?๐Ÿ‘‡
Yes, mwanajeshi wa zamani wa Ufaransa (French Legionnaire) aliyerudi nyumbani miaka 03 iliyopita na kuaminiwa na Rais ALPHA CONDร‰, ndiye aliyemsaliti na kumuondoa madarakani baada ya kutaka kuongoza nchi kwa muhula wa 03

MAMADY DOUMBOUYA ambaye ana cheo cha Kanali alionekana..
kwenye kituo cha Radio-Tรฉlรฉvision Guinรฉenne(RTG), mnamo 5 Septemba majira ya saa 2 usiku, akiwa amevalia kofia nyekundu (Red Beret) ameweka bendera ya taifa hilo begani mwake, na kuzungukwa na wanajeshi wanane, akatangaza kuwa jeshi limechukua madaraka ya nchi.
Read 147 tweets
MAPINDUZI YA GUINEA TZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ YA SAMIA INACHAKUJIFUNZA

#UZI

Ilianza kama utani Mzee Condรฉ hakuamini kijana wake mwenyewe aliyemlea, mwenye masters ya vita na cheo akampatia alipomwambia "simama juu hlf ukae chini" Unadhani ilikuwa rahisi kumpindua? Naam It's #Guinea:1958-Present๐Ÿ‘‡
Sikuweza kuandika Uzi yalipotokea mapinduzi ktk nchi nyingine mbalimbali, lkn kwa yaliyotokea jumapili nchini Guinea nimeona niandike ili Watanzania tuone km kuna lolote la kujifunza. Nitaangazia upande wa kisiasa tu. Nitachambua kila kitu kuanzia uhuru hadi kutokea mapinduzi.
Maswali nayotaka kukujibu km ulijiuliza ni haya:๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’จHistoria ya Guinea ikoje?

๐Ÿ’จKwnn mpk mapinduzi?

๐Ÿ’จCol. Doumbouya ana nguvu gani

๐Ÿ’จKwann wananchi wamefurahia?

History repeats itself, 1st as Tragedy, second as Farce.
Just retweet ๐Ÿ”„ huenda siku
Uzi huu ukakukumbusha kitu
Read 211 tweets
#UZI: Siasa za Chuo Kikuu ni Ngumu. Uzoefu wangu na mapitio kama Meneja Kampeni.

Nilipokuwa chuo, rafiki yangu tangu tunasoma shule ya sekondari aliweka nia ya kugombea urais wa serikali ya wanafunzi (DARUSO).
Alikuwa amejiandaa vyema tangu mwaka wa kwanza. Alitengeneza mtandao mkubwa kwa viongozi na wanafunzi walimpenda. Ni muongeaji mzuri sana, hivyo alikuwa na ushawishi zaidi ya wagombea wote.
Niliingia kama Meneja wa Kampeni. Nilikuwa na wajibu wa kuratibu masuala mbalimbali, kuanzia ufanyaji harambee, ubunifu na uchapaji mabango ya kampeni, na mengine mengi.

Ilikuwa ni kazi kubwa na ngumu mno, kihisia, kirasilimali na kinishati.
Read 20 tweets
MSANII WA HIPHOP โ€˜CLASSโ€™ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop โ€œclassโ€ anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show ๐Ÿ‘‡#UZI Image
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 ๐Ÿ˜ณ.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka ๐Ÿ˜‹.

Japo jamaa ๐Ÿ‘‡ Image
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani๐Ÿ‘‡ Image
Read 5 tweets
MSAMAHA NI MZURI, LAKINI KUTOKOSEA NI VIZURI ZAIDI

๐Ÿงต#UZI

~Kijana mmoja alikua mtu wa hasira sana na ugomvi hata kwa jambo dogo. Baba yake alijaribu kumwelimisha madhara ya ugomvi na majibu mabaya kwa watu lakini hakuelewa.

~Siku moja baba yake alimuita na kumkabidhi Nyundo.๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Ubao na misumari. Akamwambia "ukigombana na mtu yoyote chukua msumari mmoja njoo gongelea hapa kwenye ubao."

~Siku ya kwanza yule kijana aligongelea misumari kumi, na baada ya mwezi mmoja ubao wote ulijaa misumari.

~Baba yake akamwambia, "fikiria huu ubao ni mioyo ya watu..๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Je ni watu wangapi umewajeruhi mioyo yao kwasababu ya maneno yako?" Basi sasa fanya hivi, mfuate kila mmoja uliyemkosea umuombe msamaha, na akikusamehe njoo ng'oa msumari wake.

~Ulikua ni mtihani mgumu lakini mwisho alifanikiwa, basi baba yake akamuambia "Ni sawa watu...๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Read 5 tweets
MBINU 5 ZITAKAZOKUSAIDIA KUKUZA BIASHARA YAKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.

Inawezekana hapo ulipo umekwama, huoni maendeleo yoyote ya biashara yako, wakati huo huo unaona wapinzani wako wanaendelea kupiga hatua.

Upo katika hali hiyo?
Usiwe na wasiwasi, kila mfanyabiashara au mjasiriamali kama wewe, amewahi kupitia hali kama hiyo.

Kama umeshindwa leo, haina maana utaendelea kushindwa kila siku.

Au unasemaje Brother @mafolebaraka ?
Siku zote SILAHA kubwa katika biashara na MAARIFA!

Maarifa ndio silaha yako kubwa, ndio maana leo unapaswa kunisikiliza kwa makini kwa sababu ninaenda kukupa MAARIFA (Mbinu) takazokusaidia kufufua tena matumaini yako.
Read 21 tweets
SARAPHINA WA BSS

Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.

Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji๐Ÿ‘‡#UZI
RASI SIMBA wakumfundisha kinge.

Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.๐Ÿ‘‡
Nikisikia nyimbo zake kama SIO KITOTO,SINGO,IN LOVE na SITAKI TENA unamsikia Vanessa Mdee kwa mbali hii inanifanya masikio yangu yanayo miss ngoma za V-Money yapate tiba kutoka kwa Saraphina.

Kwasasa Saraphina yupo chini ya Maneja mwenye uzoefu na muziki wa bongo anaejulikana๐Ÿ‘‡
Read 4 tweets
JINSI YA KUTENGENEZA MAUDHUI (CONTENTS) YENYE KUONGEZA USHAWISHI KWA MTEJA.

Mara nyingi katika kutengeneza Maudhui, tunatumia mawazo, Ideas na ushawishi wetu binafsi...

..lakini, kuzingatia muonekano na aina ya Maudhui yanayoandikwa ni jambo muhimu mno.
Ni rahisi sana kutengeneza mawazo na topic mbalimbali kwa ajili ya wateja wako...

..Lakini, kama muuzaji, ni lazima uwe na uelewa mkubwa wa namna ya kuwasilisha mawazo hayo kwa mteja wako.
Ndio maana ni muhimu sana kufahamu namna mbalimbali ya kuandika maudhui yanayokidhi mahitaji ya mteja wako.

Kupitia mchanganyiko huu wa maudhui, itakusaidia kuongeza wafuasi wako zaidi, kufikia wateja wapya, na kutengeneza mazingira rafiki ya kuuza Bidhaa au huduma yako.
Read 13 tweets
๐…๐€๐‡๐€๐Œ๐” ๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐‰๐ˆ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐Š๐Ž๐€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#๐•ฟ๐–๐–—๐–Š๐–†๐–‰:
Tanzania ni nchi iliyoko Africa
Jina "๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š" lilipatikana kwa mashindano yaliyotangazwa mwaka 1964 na ๐Œ๐จ๐ก๐š๐ฆ๐ž๐ ๐ˆ๐ช๐›๐š๐ฅ ๐ƒ๐š๐ซ ndiye aliyelibun.Hivi unafaham asili ya jina la mkoa wako?
Ktk kipind cha ๐”๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข Tanzania ilikuwa na utawala wa majimbo 8, Lkn baada ya #๐”๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ mikoa ilianzishwa kwa miaka tofauti na mpk Leo hii ninavyoandika #Uzi huu ๐Œ๐ข๐ค๐จ๐š 31 imeanzishwa kutoka pande zote Visiwani na Tz Bara.Najua ulishawahi kujiuliza asili ya Mkoa wako
Kila Jina unalosikia lazima kuna chimbuko ambalo ndio Asili ya jina hilo. Aidha, yawezekana limetoholewa ktk lugha za kigeni na kuchukuliwa kutokana na matumizi yake, muonekano, lugha za asili ktk Eneo fulani, tukio ama hata tabia za watu wa eneo fulani na makosa ya kimatamshi
Read 158 tweets
โ–ถ๏ธYoshito Matsushige aliyezaliwa tarehe 2 January 1913, alikuwa manusura wa milipuko ya Hiroshima, na mpiga picha pekee ambaye aliweza kunasa picha za kihistoria zinazoonyesha uharibifu wa bomu la atomiki lililopigwa kwenye mji huo.
๐Ÿ‘‰Mnamo mwaka 1941...... ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
#uzi Image
.....Yoshito alijiunga na shirika la kuchapisha magazeti la Geibinichinichi, ambalo baadaye liliungana na Kampuni ya Chugoku Shimbun. Alipewa idara ya upigaji picha na baada ya 1944, pia alifanya kazi kama mshiriki wa ripoti ya waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Jeshi ... Image
..la mkoa wa Chugoku nchini Japan.

๐Ÿ‘‰Mnamo Agosti 6,1945 (kipindi mlipuko unatokea), Yoshito Matsushige alikuwa na umri wa miaka 32, akiishi nyumbani kwake kwenye mji wa Midori-cho, Hiroshima. Nyumba yake ilikuwa maili 1.7 (Sawa na Kilometer 2.7), kutoka sehemu ambayo mlipuko..
Read 9 tweets
FAHAMU MADINI YA ALMAS ๐Ÿ’Ž UTAJIRI & VITA YAKE

#Uzi:
๐Ÿ“‹Asili yake
๐Ÿ“‹Historia yake
๐Ÿ“‹Mgunduzi wake
๐Ÿ“‹Aina & Thamani yake
๐Ÿ“‹Vita yake duniani na Tanzania
๐Ÿ“‹๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ iligunduliwa lini na nani, wapi
๐Ÿ“‹DE BEERS & Msukuma wa Williamson DIAMONDS, aliyeipenda Mwadui hakuna wa mfano wake!!
๐Ÿ”„๐Ÿ‘‡
Leo nimechagua kuzungumzia Maliasili za Taifa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#Maliasili ni vitu vinavyotokana na maumbile. MFANO:Wanyama, Misitu, Madini n.k kama ulikuwa hufahamu maliasili za nchi huchangia ktk utajiri wa nchi husika.Mojawapo ni South Africa, imenawiri kiuchumi kutokana na utajiri wa madini
Nafahamu ulishawahi kujiuliza, Almasi ni nini? Iko iko je? au Almasi zinatengenezwa na nini?

LEO nakupa Jibu:

#ALMASI: Ni kito Adimu chenye thamani kubwa sana Duniani. Kito hiki ni kigumu sana kushinda Metali au madini yote Duniani. Asili yake hutengenezwa na Carbon (C) 99.95%
Read 96 tweets
#UZI

#NJIA_ZA_KISASA_ZA_KUZUIA_MIMBA
Eti Sister/Broo.
Unadhani Pesa anazo toa mzungu ili kutangaza dawa za Kupanga uzazi wa mpango yeye shida yake ni nini.? au ana faidika na nini oyaa mdada au mwana Mama get a lesson twendee chap chap.!?
Uzazi wa mpango ume gawanywa katika makundi ma2.
1.Wa Kizungu.
2.Wa Asili.

1:- Wakizungu hutumia Billions of money kuhakikisha jamii ina tumia njia izo lakin lengo la wazungu ni tofauti kabisa na wanavo fikilia Dada zetu na Wasimbe Wengine.
Mzungu yeye yuko Abroad ana watoto wa 2./3 wala hatumii hizi njia walizo tuletea sisi tutumie sasaa jiulize ana athirka nini na mtu wa Kwampalange anakula kwa jasho lake Mzungu ana faidika na nn kwa kutangaza kila sehemu mabango na..
Read 21 tweets
SEHEMU YA PILI #IjueChanjoNaDaktariMwandishi
Leo, saa 3 asubuhi, Rais SSH atazindua chanjo pale ikulu kwa kupata chanjo hiyo.
Wakati huo, tuendelee kujifunza kuhusu chanjo za COVID19 haswa aina ya Johnson&Johnson ambayo ndio imepokelewa. #UZI FUATILIA
#DaktariMwandishi
3. JE, NIKIPATA CHANJO YA COVID19 KUTANIFANYA NIWE NA SUMAKU (MAGENTIC)?

Hapana. Chanjo za COVID19 hazina uwezo wa kutengeneza "electromagnetic field" (uwezo wa wewe kuwa sumaku) na chanjo zote hazina metals.
Unaweza kuangalia nini kimo kwenye chanjo katika ukurasa wa CDC.
4. KWANINI BAADHI YA TAARIFA ZINASEMA TUMEPOKEA CHANJO YA JOHNSON&JOHNSON NA NYINGINE ZINASEMA "JANSSEN"?
Jina kamili la chanjo iliyopokelewa Tanzania kupitia mpango wa COVAX ni "Johnson&Johnson's Janssen(J&J/Janssen) COVID19 Vaccine" kwahiyo ni kitu kimoja wala si chanjo tofauti
Read 18 tweets
#IjueChanjoNaDaktariMwandishi
Bado naikumbuka siku ile ilipotangazwa chanjo ya kwanza ya COVID19, nilikuwa twitter, sikuwahi kufurahia matunda ya sayansi kama siku hiyo.
Wakati huo, tayari janga la COVID19 na upotoshwaji ulikuwa juu ...#UZI (SEHEMU YA KWANZA)
#DaktariMwandishi
kitu ambacho sikutegemea, ni upotoshwaji mkubwa zaidi uliokuja na chanjo.
Lakini, siwalaumu wenye maswali dhidi ya chanjo. Yapo maswali muhimu mno ambayo, hatuwezi kuyasukumia uvunguni kwa kigezo cha upotoshaji.
Ni lazima yajibiwe hata kidogo.
Nitajitahidi kutoa majibu machache.
Kabla sijajibu, naomba niseme kuwa ni sawa kuwa na maswali juu ya kile unachokipokea, lakini si sawa kusambaza taarifa za uongo na zisizo na ushahidi wowote.
Kufanya hivyo ni ugaidi. Ni uhalifu dhidi ya binadamu.
Kwanza niseme, mimi NAAMINI KATIKA CHANJO.
NAAMINI KATIKA SAYANSI.
Read 24 tweets
FAHAMU MVUMBUZI WA TELEVISION (๐Ÿ“บ)

#Yes_____&&
#Thread|story๐Ÿ•
Any sufficiently Advanced Technology is indistinguishable from MAGIC!! Binafsi huwa nasema Technology Is the Great ant๐Ÿ’‰dote to the Poison of Enthusiasm and Superstition๐Ÿ’ฃ
๐Ÿ“‹Asili ya TV
๐Ÿ“‹Historia yake
๐Ÿ“‹Uvumbuzi n.k
Televisheni (TV) au Runinga ni kifaa chenye kioo ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na sauti.

Neno "Televisheni" linatokana na maneno mawili:
(i)Tele (Kigiriki)-kwa mbali sana na
(ii)Visio (Kilatini)-mwono.

RT @omari_manyama
kwa pamoja yanaunda neno la Kiingereza #Television limetoholewa kwa lugha ya Kiswahili "Televisheni".

Ugunduzi wa TV๐Ÿ“บ ni kazi iliyofanywa na watu wengi mwishoni mwa karne ya 19.Karne ya 20 Watu mmoja-mmoja na makampuni yalishindana kuunda chombo kilichopiku teknolojia ya awali.
Read 37 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!