Discover and read the best of Twitter Threads about #Uzi

Most recents (24)

Kwani MANGE KIMAMBI Anavutaga BANGI Ya Wapi? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
#UZI๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Kwenu nyinyi majizi wawili. Nawaweka nyinyi mstari wa mbele maana bila nyingi mtu mbili hili dili la DP World lingeangukia pua. Image
Naamini mmeshaona maoni ya wananchi. Kwa asilimia 90 watanzania wamekataa hili dili lenu la ufisadi na uporaji wa bandari ya watanzania, bandari ambayo ndio chanzo kikuu cha mapato ya nchi
Watanzania wenyewe wamelikataaa hili dili lenu nyie mnaling'ang'ania kwa manufaaa ya nani? Kama sio kwa manufaa yenu binafsi

Mkiwatoa hao wachumia tumbo wenu mliowapanga kina Maulid Kitenge- Mtu ambae hawezi hata kutuliza pum** zake kwenye radio moja zaidi ya mwaka sababu
Read 11 tweets
KUMBUKUMBU KIFO CHA JPM.
#UZI.

Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda selo namba 17. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari kuashiria kuna๐Ÿ‘‡
tatizo ndani ya selo husika. Sasa kwa uzoefu wangu nilijua kelele zile ni mtu kanyatiwa. Maana haiwezi kuisha wiki tukio la mtu kunyatiwa halijatokea. Kwa waliokaa jela wanaelewa maaana ya kunyatiwa. Lakini kelele zile zilinishtua maana zilikuwa kelele za shangwe kiasi kwamba๐Ÿ‘‡
nikashtuka kuwa huenda kuna jambo la neema. Kipindi hicho nilikuwa na mgogoro mkubwa kati yangu na Bwana jela pamoja na mkuu wa Magereza mkoa RPO. Hii ni baada ya kuwachakaza kwa hoja nikiwawakilisha wafungwa na mahabusu kwenye mkutano uliofanyika gerezani mbele ya ๐Ÿ‘‡
Read 19 tweets
*Tulipanda Usiku, Tunavuna Mchana.*
#UZI๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
USHOGA, ULAWITI, USAGAJI.

Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa wanawake) hatukutafakari vyema.
Tulipoamua kuingia mtaani na kujipotosha juu ya haki sawa bila kujua undani halisi wa *haki, fursa na wajibu* hatukutafakari ya kesho.

Imeandikwa na *Mnegro* 8, March 2023.12:20PM.

Karibu sana.
Tulipoamua kufanya hayo yote, hatukuwaza vyema juu ya familia. Hatukuwaza juu ya misingi na malezi ya watoto wetu. Hatukuwaza nani atabaki nyumbani kusimamia jukumu kuu la nyumbani.
Read 36 tweets
*Unawajua WANAWAKE?* *Kama huwajui, Basi Tumia Hii Siku yao kuwajua*

*Denis Mpagaze*
#UZI๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Bwana mmoja baada ya kufunga ndoa na binti aliyemsotea kwa muda mrefu alisema, " Bebi, unajua siamini kabisaaaa kama nimekupata! Bebi akajibu, "Amini tu mume, mimi ni wako,
kikubwa omba Mungu usiishiwe hela nikaponyoka!" Hapa mwanaume unaweza kufa ghafla na wakati alikuwa anakutania tu.

Mnaweza kupanga na msichana muonane lakini muda huo ukifika yeye akapiga zake usingizi. Unaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao hadi unatamani ukagonge hodi,
lakini utasemaje? Lengo lake akupime akili tu! Wanawake, loh!

Kijana wa watu unarudi geto kulala kumsubiri apointment ya mrembo, masaa yanakimbia, mtu haji, unaamka na kwenda mpaka kwao, unasikiliza kama wanaongea, husikii sauti yake, unasema labda mmepishana njiani. Unakimbia
Read 36 tweets
Mjadala uliofanyika leo katika mkutano mkuu wa MEWATA kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali.
Siku moja napita round wodi ya watoto wachanga nawahimiza kina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita โ€œdokta ukimaliza njooโ€ #UZI #MEWATA2023
Nilipoenda akamchukua mwanae akanikabidhi mkononi akasema, โ€œshogaangu hebu niangalizie mwanangu, maana mie sijielewiโ€
Nikamuuliza, โ€œunajiskiajeโ€ nikidhani labda ana shida ya mwili ili tuwaite watu wa wodi ya kina mama waje kumhudumia. Akasema, โ€œyani nikimbeba hivi mtoto kumpa
maziwa, kuna sauti zinaniambia kabisa nimnyonge. Yani nawaza nimzibe pumzi afe. Sasa mi sitaki kumdhuru mwanangu, naomba unilelee tuโ€

Unajua hivi vitu ukivisoma kwenye vitabu vinaonekanaga kama utani fulani hivi hadi siku unakutana navyo. Nikawasiliana na in charge tukatoa
Read 13 tweets
Kuna siri nyingi zimefichwa kwenye soko la biashara ya simu na Laptop...

Hasa kwa wateja ambao ndio wahanga wakubwa,

Leo nitazungumza na wewe ambaye unahitaji kununua laptop, ili usije ukaingia Chaka ukajuta,..

Kama mimi yalivyonikuta miaka kadhaa iliyopita...

๐Ÿงต๐Ÿ‘‡๐Ÿพ Picha imepigwa na Alamy
Inasikitisha sana kuwa wafanyabiashara wengi hawana huruma na pesa yako,

wanachojali zaidi ni kuuza biadhaa yao bila kujali wewe unataka nini.

Wengine wanaenda mbali zaidi, wanakuuzia bidhaa mbovu, alafu mwisho wa siku wanakukutaaa

na hata simu zako hawapokei.

Kwa hiyo...
Nini cha kuzingatia unapoenda kununua Laptop, kwaajili yako ama kwaajili ya mtoto wako?

Kuna mambo mengi ya kuzingatia,

Na nitakujuza mambo muhimu ambayo yatakuongoza usije ukauvagaa kama mimi,

๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Read 21 tweets
Sifa 15 za Mwanaume mwenye future na anayejitambua....โ˜Ÿ๐Ÿ˜Ž

Thread -๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Hizi hapa ni sifa 15 ambazo mwanaume mwenye future na anayejitambua lazima awe nazo..โ˜Ÿ
1. Husimama kama Mwanaume

Siku zote hujitahidi kuonesha kuwa yeye ni mwanaume na sio mvulana mkubwa.
Read 19 tweets
Kwa vile bado ni January, Tujikumbushe zile shule 10 zenye ada(Fees) ghali Tanzania 2023 Update. Mtoto wako utampeleka shule ipi? #UZI ๐Ÿงต
Morogoro International School (MIS)

Location: Morogoro
Curriculum: Cambridge.
Nursery: 6.4 Million Tshs Per Year
Secondary: 18 Million Tshs Per Year
Michango Mingine: Not Included
International School Moshi (ISM)/ UWC East Africa

Location: Kilimanjaro
Curriculum: International Baccalaureate (IB).
Nursery: 17.5 Million Tshs Per Year
Secondary: 43.8 Million Tshs Per Year
Michango Mingine: Not Included
Read 14 tweets
UTT-Amis ni nini? kampuni binafsi au ya Umma? Naanzaje kuwekeza kupitia kwa UTT? kuna usalama kiasi gani ndani ya UTT? Haya ni baadhi ya maswali unayoenda kupata majibu ndani ya #UZI huu. Soma uzi huu hadi na mwisho uwe miongoni mwa 6% ya watanzania wanaoijua UTT

SHUKA NAO๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Image
UTT-Amis ni kampuni inayohusika na uanzishaji na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja (CIS) yaan Collective Investment Schem. UTT AMIS kwa lugha ya malkia Unit Trust of Tanzania (UTT)- Asset Management and Investors Service (AMIS). Taasisi hii ipo chini ya wizara ya fedha
UTT inatoa huduma ya usimamiz wa mitaji binafsi, inatekeleza majukumu yake kulingana na sheria ya masoko ya mitaji na dhamana ya mwaka 1994 na marekebisho yake, pamoja na kanuni za mifuko ya uwekezaji wa pamoja ya mwaka 1997. Kwa sasa UTT inasimamia jumla ya Mifuko 6 ya uwekezaji
Read 15 tweets
- Ni moja ya washkaji wanaojua ile kitu tunaita "Hardcore hip hop"

- Licha ya kua media zimemfumbia macho lakini hii haijafanya aache kuifanyia kazi talanta yake

- Leo nimekuandalia story ya maisha yake ya kimuziki, RT kisha shuka Nayo

#KiddyMusicBrief

- #Uzi ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
- Kwa majina kamili anaitwa Daniel Nwosu Jr., Maarufu kama "DAX"

- Ni msanii, muandishi na mtunzi wa nyimbo (song writer) ambapo alishtua industry ya hip hop kwa track yake ya "Dear God" na kujizolea Kijiji
- Alizaliwa March 22, 1994 Nigeria na kisha kulelewa huko sehemu moja inaitwa Ottawana, Canada

- Baadae akahamia Wichita, Marekani kuhudhuria masomo ya chuo kikuu, baadaye akahamia Los Angeles, California.

- Alihudhuria chuo kikuu cha Newman, ambako aliwahi kuchezea timu
Read 18 tweets
No Mambo 10 ๐Ÿ˜ฑ !? , No problem ... I got you covered! Mambo 10 niliyoyaona kwenye mchezo wa Simba Sc Vs Dodoma Jiji: ๐Ÿ‘‡
1. Simba imecheza kitimu Sana , mpira umeonekana licha ya Kocha kupumzisha baadhi ya key players (Kanoute & Okrah) ...well done Mgunda ๐Ÿ‘๐Ÿ‘ #Uzi ๐Ÿ‘‡
2. Lisha ya ushindi ,upande wa kulia palivuja sanaa...walipoteza mipira sana, Israh na Kibu hawakuwa na siku nzuri kazini licha ya Wenzao kuziba makosa yao(ndio maana ya teamwork๐Ÿ‘)
3. Kuna wachezaji wazawa hawaimbwi Sana Ila uwepo wa Mgunda ni kama wamezaliwa upya (Kennedy na๐Ÿ‘‡
Mzamiru ๐Ÿ™Œ)
4. Cha ajabu ukipitia picha za mchezo wa Jana kwenye kurasa za timu huwezi ona picha ya Mzamiru, ambae kwangu Mimi ndio Man of the match, sad ! Huwenda @RabbiHume alitingwa ๐Ÿ˜Œ
5. Chama anaweza akacheza hata akiwa na 40 yrs, YES! Mchezaji...๐Ÿ‘‡
Read 8 tweets
Leo katika historia,Tarehe 1/10/2021 Kwenye mechi ya Dodoma Vs Simba.Dodoma waliahidiwa 10M na mbunge endapo wataifunga Simba au kutoa sare, kilichotokea kwenye hiyo mechi ilikuwa zaidi ya Ibra Vs Alan Pina๐Ÿ™Œ, Dakika ya 10 walimuumiza Sakho ankle na kushindwa kuendelea.. #Uzi ๐Ÿ‘‡ ImageImage
... na mchezo na alikaa nje kwa kipindi kirefu ,dakika ya 44' Anuary Jabir anampiga kiwiko Kennedy Juma na kupewa red card ,huku Simba ikiwa na mechi muhimu ya #TotalEnergiesCAFCL Vs Jwaneng Galaxy, ni mwaka tuu umepita ,kesho (2/10/2022) ni Simba vs Dodoma Jiji again,..๐Ÿ‘‡
wameshaahidiwa tena endapo watashinda au kusare na Simba kesho 10M, can you imagine itakavyokuwa ? Ikumbukwe Simba ina kibarua kizito wiki ijayo dhidi ya 1ยฐ De Agosto, imagine watuumizie Phiri , Okrah, Kanoute , Au Chama๐Ÿค”.... ๐Ÿ‘‡
Read 4 tweets
Kuna safari hata ziwe fupi vipi, hazisahauliki. Hazisahauliki kwa mengi; watu uliosafiri nao, watu uliokutana nao, experience ya safari na mengine mengi.
Mimi safari hii pichani sitaisahau.
Nilipata wasaa wa kushare na @buguzi @NormanJonasMD @DrArabiFrank na @JuliethSebbaMD #UZI Image
Ilianza kama utani hivi, nikafahamishwa nimepata nafasi ya kufanya mafunzo Morogoro ambayo yaliandaliwa na @sikika1 na @tacaidsinfo
Na mimi mpenda safari na mpenda afya, naanzaje kukosa? Nikafungasha kibegi changu uelekeo mji kasoro bahari.
Moro bwana! Moro PAZURI NYIE! Basi tu. ImageImageImageImage
Katika mengi nilojifunza siku hizo mbili, kuna kitu kimoja kilichonivutia zaidi ya mandhari nzuri ya Morogoro, maana mara ya mwisho nilikuwa hapa ilikuwa ni trip ya Udzungwa na Mto Mawe.
Kitu hicho ni Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI Tanzania (ATF). Leo naomba niwashirikishe Image
Read 16 tweets
MASTORY YA CHUO

#UZI ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜Š

Kuna majamaa pindi tupo chuo wakawekewa incomplete na Dr mmoja kwenye HS 300 pale UDOM COED wakati test walifanya.

Kesho DR alipokuja pindi wakamfuata akawaambia ,njooni asbhi ofsini Kwangu niwawekee marks

Asbhi hao wakaenda ,wamefika wakakuta
Mlango umefungwa....wamekaa kama nusu saa hawamuoni mzee,acha waanze kum discuss huku wakimtukana.

Huyu mzee ni Msenge Sana, yani ofsi anafungua Saa ngapi sasa heee ? Babu msenge huyu,wote wakakubaliana hivyo๐Ÿ˜

Baada kama ya dkk 15 mlango ukafunguliwa kwa ndani
Mzee anafanya kushangaa,aaaaaah kumbe mshafika vijana wangu ,Wakaitikia ndio DR๐Ÿ˜Š

Alikuwa na karatasi, akawaambia sasa andikeni majina yenu , registration no, na marks...Mniletee hiyo karatasi!

Chapu chapu wakaandika walikuwa 10, baada ya kumaliza wakagonga mlango
Read 4 tweets
BARUA YANGU KWAKE ๐Ÿ’”

Habari mpenzi.

Imekua kitambo kidogo. Natumai ujumbe huu utakukuta ukiwa mzima wa afya. Nimekua nikikuombea hivyo siku zote, pasi kujali ni nyakati za aina gani tumekua tukizipitia. Na hii ni kwa sababu naguswa na uwepo wako...

#UZI
... Nazifurahia nyakati zako nzuri na kuogopeshwa na nyakati ambazo huwa ni mbaya kwako. Zinaogogya zaidi kwangu kwa sababu huwa zinaniathiri pia. Na hii yote ni kwasababu ninakujali.
Nakumbuka siku ya kwanza tunakutana. Nilishindwa kukuzuia, ila nilitamani usiondoke. Nuru ya uso wako iliangaza mboni za macho yangu. Kila sekunde na dakika tulizokaa pamoja zilikua ni za thamani kwangu.
Read 17 tweets
#UZI SOMA ITAKUSAIDIA โœ๏ธ

Ukiwa katika changamoto nyingi na huoni wa kukusaidia kabisa... basi jua ndivyo ilivyopaswa kuwa.. yaani kuna kitu Mungu aliweka kwenye kichwa chako anataka ukitumie vizuri. Na ukitii hiyo sauti utajishangaa kuwa kumbe una solution nyingi balaaโ€ฆ. Image
Kwamba kumbe wewe ni creative kuliko ulivyofikiri. Kwamba kumbe wewe una mpaka majibu ya changamoto za wengine wengi tu, na kumbe wewe mshauri na mtia moyo wa wengi waliojikatia tamaa sababu ya umasikini na magonjwa makubwa kuliko wewe sema nivile umekilemeza hicho kichwaโ€ฆ.
Je! Una changamoto na unatamani kupata mtu wa kukutia moyo? Unatamani mtu wa kuomba na wewe ili usikate tamaa?
Vizuri Unatamani jambo jema kabisa Lakini sasa unachopaswa kufanya ni kutafuta mtu wa kumtia moyo. Kama wewe unavyohitaji basi kuna wengi zaidi wanahitaji kutiwa moyoโ€ฆ
Read 17 tweets
#UZI SOMA UJIFUNZE๐Ÿ‘‡..

Mzee Bakhressa anaishi Masaki lakini maji ya Uhai au lambalamba na chapati zake hauzii majirani zake. Au ulishaona vile vibaiskeli vya lambalamba za Azam vikizunguka Masaki nyumba kwa nyumba?...
Mzee Mengi toka akiwepo mpaka leo hakuwa akiuza maji ya Kilimanjaro kwa ndugu zake au wakwe zake au jirani zake.

Shigongo hauzi magazeti kwa majirani zake maana unaweza kukuta majirani zake wanasoma Daily News na The Citizen na wasijue hata sura ya gazeti la Shigongo ipoje...
Dewji hauzi vitu vyake kwa classmate wake wa zamani au jirani zake. Masanja anauzia mchele majirani?

Lakini wote hao niliowataja wamepiga hatua bila kujali jirani au ndugu au classmate zao wa zamani wananunua au la.
Hiyo ndo akili ya kibiashara....
Read 19 tweets
โšกKuna Kipindi Nilidhani 150K ni Nying Sana Kumcharge Mteja Kwa Picha 10,

โœ…Hizi ni Siri 5 Ambazo Mentor Wako Hataki ujue 99%
.
#Uzi ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
โšกNi Miaka 8 Imepita Sasa Tangia Nianze shika Kamera Kwa Mara Ya Kwanza,
.
Along the way nimejifunza Vitu Vingi Sana...
.
Ambavyo Leo Nataka nikumegee Kidogo, Ili ujue Siri ya Mtungi.
โšกKatika Miaka nane Kuna Miaka hapo kati Nilikata Tamaa Kabisa,
.
Nikatemana na Photography Mazima.
.
Lakini Moyo wangu Ulikuwa unaniuma Sana, nimefanya Kazi za Hapa na Pale.
.
Lakin Bado Moyo Ulikuwa Haujakubali kuachana na Photography.
Read 21 tweets
โ€œTUSIKATE TAMAAโ€
#Uzi shuka nao ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kuna wakati kwenye maisha unaweza kujiuliza โ€œMbona mambo hayabadiliki kwa haraka kama ninavyotaka?โ€
Unakumbuka kitu kinaitwa โ€œGESTATION PERIOD!?โ€ Yaani ule muda tangu ujauzito umetokea hadi mtoto amezaliwa.
Usisahau, kwenye maisha kuna vitu ni MATOKEO YA MUDA.
Yaani ni kama mama mjamzito, haijalishi ana hamu ya mtoto kiasi gani ni lazima asubirie miezi tisa.
Changamoto kubwa utakayokutana nayo utakapotaka kulazimisha, ni kuishia kuharibu kile kizuri ambacho ulipaswa kukipata.
Kila unachokitamani kwenye maisha huwa kina โ€œgestation periodโ€.
Siku umepata wazo hadi litakapokuwa halisi, kuna muda wa kusubiri.
Siku umeanza kusoma hadi utakapomaliza, kuna muda wa kusubiri.
Siku umekutana na umpendaye hadi mfanikiwe kuishi pamoja, kuna muda wa kusubiri.
Read 6 tweets
Sicarios - Wauaji maalum wanaotumiwa na magenge ya madawa ya kulevya kupanua himaya zao Amerika kusini

#UZI ๐Ÿ‘‡
Mwaka 1993 tajiri namba moja duniani alikuwa m-Japan mmoja wakuitwa Yoshiaki Tsutsumi

Huyu somo mwaka huo alikuwa na utajiri wa dola za kimarekani bilioni 9
Mwaka 1993 pia ndio mwaka aliokufa mbabe wa cocaine kutoka pande za Medellin Columbia kwa jina Pablo Escobar Gaviria (don Pablo)

Data zinaonesha kwamba wakati somo wetu huyu anaaga dunia alikuwa na mkwanja unaokadiriwa kuwa dola za kimarekani bilioni 30
Read 22 tweets
MBINU zitakazokusaidia KUUZA Huduma zako kwa urahisi zaidi.

Siku zote, wateja huangalia ubora wa huduma wanayoipata bila kujali sekta ya biashara uliyopo.

Ndio maana, ni muhimu sana kufahamu ni kwa namna gani unaweza kuwafikia na kufikisha huduma zako kwa haraka.

#UZI
Hizi ni Mbinu 5 zitakazokusaidia KUUZA huduma zako kwa urahisi, kupitia mitandao ya kijamii.

1. Hakikisha WANAKUTAMBUA mapema.

Ni rahisi kuuza huduma zako kama tu Audience watakuelewa mapema, na kufahamu THAMANI ya kile unachowapatia.
Jaribu kutumia LUGHA rahisi, itakayowasaidia Audience wako kufahamu kuhusu huduma zako na namna unavyoweza kutatua changamoto zao.
Read 15 tweets
#UZI
๐Ÿ’จ KISANGA CHA TAIWAN NA CHINA

Taiwan ni kisiwa kidogo ila ni moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.

Mama wa Taiwan ni jeuri plus kiburi anayopewa na Marekani, China naye anasema ni jimbo lake na lazima atalirudisha kundini.

Hii colabo ya Urusi na China ๐Ÿ‘‡ Image
Twende chap chap
Miaka hiyo baada ya vita ya pili ya dunia kuna vita vilikuwa vinaendelea huko China vya wenyewe kwa wenyewe kulikuwa kuna People's Republic of China (PRC) iliyokuwa chini ya Chinese Communist Party (CCP) walikuwa wanapigana vita na Republic of China (ROC). Image
PRC ilikuwa chini ya Mwamba mmoja wa kuitwa Mao Zedong mtu katili zaidi duniani aliuwa watu milioni 78 ndiye anayeongoza duniani akifuatiwa na Jozef Stalin milioni 23

1949 wakafanikiwa kuuteka mji mkuu wa China Beijing na kuitawala China na baadhi ya members wa ROC kawakimbilia Image
Read 17 tweets
#UZI
๐Ÿ’จ Juzi Marekani na UE zilizungumza kauli za kibabe dhidi ya Urusi sasa Urusi kaamua kulishambulia jeshi la Ukraine kila pande.

Tusubiri kama Marekani atajaribu kuingiza mguu kuizuia Urusi, kuna nchi kama China zinaitamani sana Super Power japo kwasasa wanajifanya ๐Ÿ‘‡ Image
Wapo kidiplomasia zaidi ila ikianza hii ligi ya wakubwa Xi Jinping lazima aungane na mwanae wa faida Putin kupambana na Marekani.

Hii vita haina tena faida kwa Marekani tuone NATO watachukua maamuzi gani dhidi ya Urusi na mbaya zaidi Urusi kaingia Ukraine akiwa Image
na Wana Ukraine kibao wanaompa sapoti, anaweza akapambana kuwaua Viongozi wa Ukraine wanaomsumbua na akapachika Viongozi wake na hii kitu Marekani alikwisha isema mwanzo.

Toka mwanzo nilisema Marekani ina uwezo mkubwa sana kijeshi lakini Urusi ni nchi ambayo haitabiriki Image
Read 18 tweets
#UZI
๐Ÿ’จ MAREKANI KUMNYAMAZISHA URUSI?

Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi ๐Ÿ‘‡ Image
la Marekani ndani ya Belarus ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡พ

Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.

Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema Image
"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.โ€

Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa Image
Read 19 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!