Discover and read the best of Twitter Threads about #WajumbeFunFriday

Most recents (3)

MASKINI & TAJIRI:-
1.Maskini hudhani utajiri ni bahati,tajiri hudhani umaskini hutokana na uvivu na uzembe. Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake,tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake.
2.Tajiri bila masikini ni maskini lakini maskini bila tajiri ni tajiri.Umaskini ni matokeo ya fursa zote ambazo hazikutumika kwa usahihi,utajiri ni jumla ya fursa zote zilizotumika kwa usahihi
3.Maskini huwaza kulima mchicha,tajiri huwaza kulima miti ya mbao.Maskini huamini unahitaji pesa kupata pesa,tajiri huamini atapata pesa kupitia pesa za wengine.Maskini hudhani tajiri ana tabia ya kuringa,tajiri hudhani maskini ana tabia ya kuombaomba.
Read 5 tweets
DUNIA & MAISHA
————————————

1.Mbio za maisha ni za ajabu sana,anayetafuta hachoki na aliyepata anataka zaidi.Usiongeze mwendo,ongeza maarifa kwa sababu haushindani na mtu unashindana na malengo yako.
#WajumbeTuinuane #wajumbefunfriday
2.Duniani ukikosa akili utakufa kwa manung’uniko.Usipojifikiria hayupo atakafikiri kwa niaba yako kwenye duniani hii ambayo hata mtoto wa Paka anafaulu kwa njia za Panya.
3.Kumchukia aliyefanikiwa hakuondoi umaskini wako na upumbavu wako hauondoki kwa kumchukia mwenye akili .Chuki ni utumwa jiweke huru kwa kukataa kuimiliki.
Read 4 tweets
Ijue Antonov AN-225
An-225 Mriya ni ndege ya Ukraine ambayo ni kubwa kuliko zote duniani miaka ya 1988 hadi 2020.Ina injini sita. Ilitengenezwa na kampuni ya Antonov. Imepengwa kwa shughuli za mradi wa usafiri wa anga-nje wa Umoja wa Kisovyeti.
#WajumbeFunFriday
#WajumbeTuinuane ImageImageImage
Ndege ya kwanza ilikamilishwa mwaka 1988, nakala ya pili ilianzishwa bila kumaliza kutokana na kuporomoka kwa Umoa wa Kisovyeti mwaka 1989 .

Ndege ya pekee iliyokwisha iliwahi kupimzishwa kwa miaka kadhaa lakini ilirudishwa kuanzia 2001.
Matumizi yake ni ghali kwa hiyo haina ratiba ya kawaida inakodiwa pekee kama kuna haja kubeba mizigo mikubwa sana. Uwezo wake ni kubeba tani zaidi ya 253.

Mwaka 2019 taji la ndege kubwa zaidi limechukuliwa na
Read 5 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!