Discover and read the best of Twitter Threads about #WapwaNaAfya

Most recents (2)

DOCUMENTED EVIDENCE
Daktari mmoja alikuwa akisafiri kwa gari moshi. Alikaa kwenye chumba cha abiria peke yake. Baadae aliingia mwanamke Mrembo na kukaa jirani.
Daktari alifurahi sana na kutabasamu.Yule mwanamke alitabasamu pia ... 😊
Hii ilimfanya Dr afurahi zaidi ☺ akaenda kukaa karibu naye akimsalimia na kumjulia hali.
Baada ya muda kidogo, ghafla yule mwanamke alimsogelea karibu akainama kumnong'oneza kitu.
Dr alitega sikio kwa makini.🤔
"Nipe pesa zako zote, kadi ya benki na simu yako, La sivyo nitapiga kelele na kumwambia kila mtu unataka kunibaka.

Daktari alimwangalia huku akitabasamu. Alichukua karatasi na kalamu kutoka kwenye begi lake na kuandika.....
Read 5 tweets
Nini kinapelekea mimba kuharibika au kupata mtoto mmoja pekee wa kwanza ikiwa baba ana kundi la damu positive (+) yani A+,B+,AB+ au O+ na mama negative (-) yani A-,B-,AB- au O-. Umewahi kujiuliza hili swali? basi leo nina majibu yako hapa kupitia #WapwaNaAfya Image
Kwanza kabisa kila mtu ana kundi moja la damu kati ya haya makundi manne (A,B,AB au O) kundi ambalo umelipata baada ya mchanganyo wa vinasaba kutoka kwa wazazi wako. Makundi ya damu huenda mbele zaidi na kutofautishwa kama negative- au positive+ kitaalamu tunaita rhesus (Rh).
Kabla ya ujauzito wengi tumekuwa hatufatilii makundi yetu ya damu pasipo kujua ni kitu muhimu sana kwa wote iwe mwanaume au mwanamke. Nimewahi kuelezea kwa undani zaidi kuhusu makundi ya damu: Unaweza kupitia hapa kisha tuendelee.
Read 11 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!