Discover and read the best of Twitter Threads about #afyakwawote

Most recents (2)

UGONJWA WA KISUKARI NA MAAMBUKIZI.

Thread

Mtu mwenye ugonjwa wa kisukari huwa katika hatari ya kupata maambukizi kuliko yule asiye na ugonjwa wa kisukari.
Uhusiano huo ulielezewa zaidi ya miaka 100 iliyopita na bado unajadiliwa mpaka leo.
#Afyakwawote.
Maambukizi yanayohusishwa sana na mtu mwenyewe kisukari ni kama

1. Maambukizi ya ngozi na tissue mbali mbali.

2. Maambukizi ya mfumo wa mkojo na uzazi

3. Maambukizi ya mfumo wa upumuaji.

4. Maambukizi ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
#Afyakwawote.
Maambukizi haya yanaweza kuwa ya bacteria, fungus na virusi.

Kuna dhana inayoelezea kuwa kisukari hushusha kinga ya mwili hivyo basi kupelekea mwili kushindwa kupambana na vimelea mbali mbali vya magonjwa.
#Afyakwawote.
Read 8 tweets
UKUAJI NA MAENDELEO YA MTOTO.

UKUAJI ni hali ya kuongezeka kwa ukubwa(size) ya mwili wa mtoto
 
Maendeleo ni hali ya mtoto kuweza kufanya jambo fulani kwa wakati fulani unaotarajiwa.

Mfano kutoka kutambaa hadi kutembea. 
#afyakwawote. Image
Ukuaji wa mtoto huanza baada ya mimba kutungwa.

Ukuaji na maendeleo ya mtoto huenda sambamba ila kwa kasi tofauti tofauti. 

#afyakwawote.
HATUA ZA UKUAJI WA MTOTO.

ukuaji wa mtoto unaweza gawanywa katika makundi makuu mawili ambayo ni

1. Baada ya mimba kutungwa (pre natal)

2. Baada ya mtoto kuzaliwa (post natal)

#afyakwawote.
Read 27 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!