Discover and read the best of Twitter Threads about #cipherdotseriesandmoviesuzi

Most recents (3)

MAAJABU YA MAUAJI YA HARAIKI YA  JONESTOWN
(JONESTOWN Massacre)
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Kabla ya shambulizi la kigaidi la septemba 11, 2001 tukio hili la Jonestown lilikuwa ndo tukio la kwanza kubwa kuchukua roho za wamerekani wengi kwa mara moja
Mauaji ya Haraiki ya jonestown yalitokea  Novemba 18, 1978  waumini kwa kimarekani wapatao 900 wa dhehebu la kidini lililoitwa "Peoples Tample walikufa kifo kilichoelezewa kama mauji ya kujiua ya Umati kufutia agizo la kiongozi askofu wao aliyeitwa Jim Jones aliyeishi
(1931-78) kwenye kijiji kilichofahamika kama Jonestown kusini mwa Amerika kwenye nchi ya Guyana. Stori ipoje ya jambo hili?? Tuambatane tuine nini hasa kulipelekea watu hao wate kujiua?? Je kwa hiari yao walijiua au??
Jones alianzisha dhehebu lake la Peoples Tample huko
Read 26 tweets
FILAMU YA AVA (2020) INATIA MOYO KUIONA
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Ava ni filamu ya kimarekani iliyotoka July 2, 2020 huko Hungary na ilipangiwa kutoka  Septemba 25, Marekani sielewi kwa nini huku kwetu tumeshaipata ikiwa kwenye HD na watu tumeshaiona ina
...maana tumewapiga bao hata wamerekani au?? Filamu hii ina kichapo kinachofanana kwa mbali na filamu ya ANNA kama umeiona utakuwa umeelewa kama hujaiona ni muda muafaka kuitafuta, filamu hii imeongozwa na Yate Taylor na kuandikwa na Matthew Newton wahusika wakuu wakiwa
...Jessica Chastain, John Malkovich, Common, Geena Davisna wengineo wengi. Filamu hii iliweza kuingiza dola za kimarekani 1.3 milioni
Filamu hii inaanzia pale Ava Faulkner ambaye ni muaji wa kike akimua mfanyabiashara wa kijerumani Peter Hamilton na baadae kusafiri na kurudi
Read 15 tweets
MELI KUBWA YA MIZIGO
MS MUNCHEN ILIVYOTOWEKA DUNIANI
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Meli ya MS Munchen  ilikuwa ni meli ya mizigo ya kijerumani iliyozama December 1978 pakiwepo na nadharia moja ya kuwa meli hii ilipigwa na Rogue Waves( Rogue hujulikana kwa majina
...kwa majina mengi kama freak wave, monster wave, episodic waves, Killer waves, Extreme waves na abnormal waves...Haya ni mawimbi makubwa sana yanayoweza kwenda juu mita 70 hadi 300 (kwa utafiti wa hivi karibuni) sawa na viwanja vitatu vya mpira mguu kutokea kwenye usawa wa
...usawa wa bahari, hutokea ghafla bila sababu inayofahamika na kupotea kama lilivyokuja, huja na nguvu ya ajabu na uharibifu utakaofanya kwa kipindi hicho kifupi ni mkubwa na wa kutisha, huja bila taarifa inasemekana huweza kuvunjika au kuigonga meli kwa nguvu ya tani mia
Read 32 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!