Discover and read the best of Twitter Threads about #elimukiganjani

Most recents (1)

UZI!
MGUNDUZI WA SIMU na CHANZO CHA "Hello"!
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mbalimbali nadhani mmeshawahi kukutana na jina maarufu Alexander Graham Bell.
Kama humjui au unataka kufahamu zaidi basi ungana nami kusoma uzi huu..
#ElimuKiganjani
Mnamo mwaka 1876 Machi 11, bwana Alexander G. Bell alifanikiwa kutengeneza simu ya kwanza kabisa. alizaliwa mnamo mwezi Machi 3, 1847 na kufariki dunia mwezi Agosti 2, 1922.
Baba, babu na kaka yake wote walikua wakijihusisha na masuala ya namna ya uzungumzaji & matamshi...
Kwa Kiingereza wanaita "Elocution and Speech".
Mkewe ndiye aliyemvutia na kumshawishi Bell aweze kuzama ndani zaidi kiuchunguzi kwa kufanya Utafiti katika Matamshi na Usikilizaji. Baadaye alikwenda mbali zaidi kuchunguza ni jinsi gani vifaa vya kusikilizia sauti hufanya kazi...
Read 6 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!