Discover and read the best of Twitter Threads about #fmfacts

Most recents (2)

Bologna na Modena ni Miji iliyopo
Kaskazini mwa Italia. Mwaka 1325 watu
wa Miji hii waliingia katika Vita kali
iliyodumukwa zaidi ya Miaka 300, Kisa
kilikuwa ni Kuibiana Ndoo hii Pichani!. Hii
ni moja kati ya Vita zenye sababu za Ajabu
Kuwahi kutokea. Inaitwa "Vita ya Ndoo." Image
Vita hii yenye sababu ya kushangaza ilianza
kupigwa mwaka huo wa 1325 huku eneo la mapigano likiwa
ni huko Emilia-Romagna kaskazini mwa Italia. Walipigana kwa
zaidi ya miaka 300 kabla ya watu wa mji wa Madena
kushinda vita!. Madena ndio walioiba ndoo, na ndio
walioshinda vita.
Inaelezwa kuwa ndoo hii mpaka leo hii bado
ipo nchini Italia.
Sababu kubwa ya vita hii haikuwa kuibiana ndoo, Ndoo
ilikuwa ni kama kasababu kadogo tuu kalikokuwa
kanasubiriwa ili walianzishe. Ni sawa na unavyokuwa
unamchukia mtu, sasa unasubiri kasababu kadogo tuu
ulianzishe!..
Read 9 tweets
Anaitwa 'Sibusiso Mthembu' Raia wa
Afrika Kusini. Mwaka 2012 Alidai kuwa
Alikuwa Amefika Mbinguni Mara nne
Kupitia Malaika Aliyekuwa Akimchukua
Usiku. Akasema kuwa Alikutana na
Yesu, na Alifanikiwa Kuchora Ramani ya
Mbinguni, Ndiyo hiyo Pichani...
Ilikuwa ni mwaka 2012 wakati Sibusiso Mthembu
raia wa Inanda, Kwazulu-Natal, Afrika kusini akiwa na umri
wa miaka 64, alijotokeza hadharani na kusema kuwa
amekuwa akifika mbinguni mara kadhaa na huko alikuwa
amefanikiwa kuchora ramani.
Sibusiso alisema kuwa mara ya kwanza kwenda
mbinguni
ilikuwa ni mwaka 1998, na baadae anasema alitembelea tena
miaka ya 2004, 2006 na 2008. Anasema kuwa yote ilianza
mwaka 1993 ambapo alianza kuota kuwa anatokewa na
malaika mweupe aliyekuwa akimwambia kuwa anahitajika
mbinguni. Alikubali, na baada ya kwenda huko mara
Read 7 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!