Discover and read the best of Twitter Threads about #limegoma

Most recents (1)

Morning Motivation✍️

Katika vitu nilivyojenga tabia ya kufanya kila asubuhi kimojawapo ni kawaida ya kuliangalia jua wakati linapochomoza. Sunrise! Na kuvuta pumzi ndefu katika mapafu yangu na kushukuru kuwa I'M ALIVE TO SEE ANOTHER SUNRISE……. Image
Na utakubaliana na mimi kuwa hakuna siku jua #limegoma kuchomoza. Every morning jua lina show up kazini. Halitegi wala halichelewi wala halilalamiki kwa nini sehemu nyingine limezibwa na mawingu na sehemu zingine limezibwa na milima mirefu mpaka linachelewa kuonekana…..
Haijalishi nani atakayeliona na nani ambaye hataliona siku hiyo. Haijalishi nani atasikia joto lake na nani hatasikia joto lake nk. Lenyewe litachomoza na kuwaka na kutoa nuru na joto na uhai. Jua linajua influence yake haipo kwenye kuonekana. Kila kiumbe "kinafeel" uwepo wake.
Read 9 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!