Discover and read the best of Twitter Threads about #mchongolive

Most recents (4)

Sekta ya vipodozi na urembo imegawanyika katika makundi mbalimbali kulingana na matumizi yake

1.Bidhaa za Nywele
Mawili, vibanio na hata mafuta ya nywele na vikolombwezo vyake

2.Bidhaa za Ngozi
Lotion, serum, mask na hata mafuta

3.Bidhaa za Make up
Powder foundation, kope
hata rangi zile za machoni

4.Manukato
Perfume, body splash na deodorant

5 Bidhaa za cheni hereni na pete

Haijalishi una Mtaji kiasi gani kwani biashara hii unaweza kuifanya hata kama huna frame unaweza kutembeza ama kuuzia nyumbani cha muhimu ni kuchagua vitu vyenye ubora
na uaminifu kwa wateja

Tukutane Kesho TuJue ni jinsi gani unaweza kuifanya ili kukuletea faida
#MchongoLive
Read 3 tweets
"Niliwahi kuanzisha kundi la wasanii watatu ambao kwa pamoja tulikubaliana kuwa mimi ndio nitakuwa nasimamia kazi zao.

Baada ya kutoa wimbo na kuanza kukubalika kila sehemu, uliweza kumfikia hadi Marehemu Ruge na aliupenda, Image
aliwapa ahadi wasanii wale kwenda Dar kufanya kazi nyingine zaidi.

Baada ya hapo wakaanza kunizimia simu na hata salamu walikuwa hawatoi nikikutana nao kitaa.
Kwa bahati mbaya lile dili lao halikuweza kufanikiwa, hivyo wakabaki wanazurura tu mtaani na kurudi kwangu walikuwa wanaona noma". Producer Crash Designer, Kahama.
#MchongoLive
#WatuNiStory
Read 3 tweets
FURSA YA KILIMO CHA NYOKA
Achana connection za ifm njoo connection hii...

Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.
Sumu ya nyoka inatumik kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi thamani ya "snake venom " ipo juu sana kutokana na uhitaji wake

Gram moja ya "snake venom" kwa soko la kimataifa inauzwa $1880 ,na kwenye soko la Afrika kusini inauzwa kwa makadirio ya Rand 25K
Kama unafikiria kuanzisha shamba lako la nyoka ,yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kupata faida ya kutosha kutokana na venom wanayozalisha Nyoka

1.Zingatia hali ya joto na hewa.
Nyoka wanahitaji joto ya kiwango cha 24-29°C nyakati ya siku na 21-24 nyakati za usiku
Read 7 tweets
1/3 “Pambano langu la kwanza la kugombania ubingwa ndio lilinipa mkanda wa ubingwa.

Nilipigana na bondia mwenye uzoefu kunizidi mimi, Joyce Owino kutoka nchini Kenya. Hicho ndio kitu ambacho kilinipa presha na kunifanya nifanye mazoezi zaidi...
2/3 ... Ilikuwa kwa tabu, ila nashukuru Mungu nilifanikiwa kushinda pambano lile na kufanikiwa kubeba mkanda wa ubingwa wa "Eastern and central Africa boxing champion" ambao ninao mpaka sasa.

Sitaweza kusahau hili pambano, maana lilikuwa gumu sana kwangu...
3/3 ...Ndio pambano lililonifungulia njia ya kujulikana zaidi na kunipa ubingwa pamoja na mashabiki". Feriche mashauri.
#MchongoLive
#WatuNiStory
Read 3 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!