Discover and read the best of Twitter Threads about #nenotokamwambao

Most recents (2)

A) Asili ya Kiswahili ni lugha kamili na wala si lugha chotara kwa maana ya mchanganyiko wa lugha ya Kiarabu na lugha ya Kibantu

ukopaji wa maneno katika lugha yoyote ile ni dalili tu ya kukua kwa lugha husika

#NenoTokaMwambao
B) muundo wa maneno na miundo wa sentensi za Kiswahili yadhihirisha kufanana na lugha za Kibantu kuliko Kiarabu
Ni lugha kamili iliokopa kwa Kiarabu kama ambavyo kiingereza kilikopa kwa lugha kongwe kama Kilatini, Kigiriki na Kifaransa na kubaki kuwa lugha kamili
#NenoTokaMwambao
C) Kiswahili ni lugha ya Kibantu iliyoathiriwa na Kiarabu hasa kimsamiati na pia kilitokana na mchanganyiko wa lugha kadhaa za Kibantu zilizokuwa katika upwa wa Afrika Mashari #NenoTokaMwambao
Read 23 tweets
#NenoTokaMwambao Baada Asili na Chimbuko la Kiswahili , nitaeleza kwa muhtasari matatizo ya lugha, katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake

@TilasMusa @EugeneOngeri @franckluyz_2012 @ishaqearly @ayogo_do @LucyM50876035 @mlimakenya @yosefu_jk @DaudiMuya1 @OmwanaOmageto
Nitatoa mifano ya mikanganyiko kilugha na kupendekeza njia bora ya kukitumia Kiswahili na kwa ufasaha.
Fikiri, dhani:
Ijapokuwa maneno haya yanafanana, hayatumiki kama visawe, yana Tofauti. kufikiri ni kutumia akili ili kutatua jambo pia kutafakari au kuwaza. Kudhani ni kufikiri bila kuwa na uhakiki.
Read 11 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!