Discover and read the best of Twitter Threads about #onekorea

Most recents (2)

Vita ya Korea ya ilianza karne ya 20 kati ya 1950- 1953.
Korea ya Kaskazini ilivamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu wa China na Umoja wa Kisovyeti. Korea ya Kusini ilisaidiwa na Marekani hasa. Lakini Marekani #KoreanDream #OneKorea #Tanzania Image
Katika awamu ya kwanza kuanzia mwezi wa Mei 1950 jeshi la kaskazini lilivamia Korea ya Kusini likateka mji mkuu wa Seoul na kusukuma watetezi hadi kusini ya rasi ya Korea. Lililobaki mnamo Agosti/Septemba 1950 lilikuwa eneo la Pusan pekee #KoreanDream #OneKorea #광복절 #Tanzania Image
Baraza la Usalama @UmojaWaMataifa (30 Julai 1950) iliamua kuingilia kijeshi dhidi ya uvamizi kutoka Korea Kaskazini. Azimio hii lilipita kwa sababu Umoja wa Kisovyeti hukuhudhuria kikao hivyo ulishindwa kupiga veto yake. Na Marekani akapata mwanya wa Uvamizi
#OneKorea #Tanzania Image
Read 8 tweets
Nalapat Dec 2016: The reality of Kim regime moving closer to capacity to deter any attack, the 4 years of Trump administration that begin Jan2017 represent perhaps last window available to resolve Korea thu a peaceful reunification of both parts.
#tictok globalpeace.org/speech/second-…
Nalapat March 2017: “Christ-Buddha” Path to Korean Unity~ ‘The time has come to test both the “Wisdom of the Buddha” on the part of the North Korean Leadership & the “Compassion of Christ” on the part of the South Korean Leadership blog.mdnalapat.com/the-christ-bud… a good idea at the time
Nalapat June 2017: DPRK will, on present reckoning, have the capacity to reach the western shores of continental US, won’t be long b4 the world knows whether Pyongyang is correct in regarding Washington’s warnings of war as being mere bluff

100% correct

sundayguardianlive.com/news/9749-pres…
Read 13 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!