Discover and read the best of Twitter Threads about #sambazaupendo

Most recents (1)

Fahamu Kuhusu Vidonda Vya Tumbo(Peptic Ulcers)
1.Hivi ni vidonda vinavyotokea kwenye ukuta wa tumbo au sehem ya kwanza ya utumbo mdogo Vidonda hivi vya tumbo ni matokeo ya muingiliano wa muda mrefu wa tindikali ya tumboni na kuta za tumbo.
Dalili vidonda vya tumbo ni
1. Maumivu ya tumbo kabla au baada ya Kula
2.Tumbo kujaaa gesi (bloating)
3.kutokusikia njaa/hamu ya kula kupotea
4.kichefuchefu/ kutapika
5.kuhis kushiba haraka
6. Mara nyingne vikizidi husababisha mtu KUTAPIKA DAMU& KUTOBOKA TUMBO (perforation)
VITU VINAVYOSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO
1. Maambukizi Ya bakteria aitwaye H.Pylori
2. Matumiz holela ya aspirini,diclofenac,clopidogrel nk,
3. MSONGO WA MAWAZO ,kuungua moto,ajali,maambukizi ya virusi na saratani ya tumbo izalishayo kwa wingi tindikali tumboni(gastrinoma).
Read 7 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!