Discover and read the best of Twitter Threads about #sdgsreport

Most recents (3)

Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky - Ili kuhakikisha SDGs zinatekelezwa kote nchini, Kenya imeweka mikakati kama vile Agenda Nne Kuu ya Rais, Maono ya 2030 (Vision 2030) na Mipango ya Kati ya Tatu (MTP III).

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Ni muhimu kuhamasisha vijana kuchukua jukumu kubwa katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa sababu ndio watakaofurahia faida zinazokuja nazo. Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky - Muongo wa mwisho wa hatua ni fursa nzuri kwa vijana kuinuka na kuwa sehemu ya maendeleo pana na ya msingi ambayo tunatafuta kufanikiwa kama nchi.

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Read 4 tweets
Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky - SDGs ni wito wa ulimwengu wote kuchukua hatua kumaliza umaskini, kulinda sayari na uhakikishe kuwa watu wote wanafurahia amani na mafanikio ifikapo 2030.

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky - SDGs zinatambua kuwa vitendo katika eneo moja vitaathiri matokeo ya eneo zingine na kwamba maendeleo lazima ya dumisha hali ya kijamii, kiuchumi na mazingira

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Kupitia ahadi ya 'Kutoacha Mtu Yeyote Nyuma (Leave No One Behind), nchi husika zimejitolea kufuatilia maendeleo kwa kila mtu - Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Read 5 tweets
Mkurugenzi Mkuu wa Kikundi cha Watengenezaji Bidhaa (KAM) Bi. @wakiaga_phyllis azungumza na #BillyNaTricky kuhusu Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) asubuhi hii.

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport Image
Wajumbe wa KAM wamesaidia sana katika kipindi hiki kigumu kupitia uvumbuzi na pia michango - kwa juhudi zinazoendelea za kupunguza kuenea kwa virusi vya Corona - Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky @radiomaisha

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Mkurugenzi Mkuu, KAM @wakiaga_phyllis katika #BillyNaTricky - Sekta imekuwa na nia ya kuhakikisha kuwa nchi haishii bidhaa na huduma muhimu, na kwamba uchumi unaendelea wakati huu mgumu.

@radiomaisha

#KenyaSDGreport #SDGsKenya #SDGsReport
Read 4 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!