Discover and read the best of Twitter Threads about #tff

Most recents (1)

Tukiwa tunasherehekea timu ya Taifa kwenda #Afcon lazima tukubaliane ili tupate matokeo bora lazima #TFF na Nchi iwekeze kwenye michezo. Tulikuwa kundi jepesi lakini tumepita kwa kudra. Tunahitaji timu imara zaidi. Tuwekeze kwenye ufundi na ukuzaji vipaji.
Kikosi tulicho nacho hatuwezi sema ni kikosi cha dhahabu.
Nje ya uwanja, mifumo ya uuzaji tickets, uchaguzi wa wachezaji na ufundi bado tunachechemea. @Tanfootball kwa mechi kama ya jana tulitegemea tickets zianze kuuzwa mapema sana kuepusha kadhia za uuzaji tickets getini.
Read 4 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!