Discover and read the best of Twitter Threads about #tumehurukwanza

Most recents (1)

Katika historia ya uandishi wa Katiba Mpya duniani hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi kuandika Katiba Mpya ikakidhi matakwa ya wananchi wote na taifa kwa 100%. Katiba si Msaafu wala si Biblia kwamba haiwezi kufanyiwa maboresho pale yanapohitajika.
Katiba iliyopendekezwa 2014 imetambua haki za makundi mbalimbali kama vile wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wasanii, vijana, wanawake na wengine. Ni Bora zaidi ya Katiba ya 1977. Kwa sasa tupate #TumeHuruKwanza ili tuweze kurejesha mchakato wa Katiba kuanzia Katiba Pendekezwa.
Pia Katiba Mpya iliyopendekezwa 2014 imetambua haki bunifu, mgombea, binafsi, maboresho katika muungano wetu sambamba na kuweka mfumo bora wa kusimamia rasirimali za taifa na kudhibiti mianya ya matumizi mabovu ya rasirimali.
Read 7 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!