Discover and read the best of Twitter Threads about #vitukuntu

Most recents (8)

▶️CHUKUA HII

👉🏽Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini wachezaji wa mpira wa miguu wanavaa jezi zikiwa na namba mgongoni..?? Je ilikuwaje ikawa hivyo..?? 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

#vitukuntu
▶️Lengo la kuanzisha nambari za mgongoni kwa wachezaji wa mpira wa miguu lilikuwa ni kuwatofautisha wachezaji wa team moja na team nyingine.
👉🏽Ilikuwa ni mwaka 1928 kwenye mechi kati ya Arsenal na Sheffield iliyochezeka kwenye uwanja wa Highbury jijini London, ndipo kwa mara...
....ya kwanza wachezaji walionekana wakiwa wamevalia jezi zenye namba mgongoni ambapo wachezaji wa team ya Sheffield walivaa namba 1 hadi namba 11 na team ya Arsenal walivaa namba 12 hadi namba 22.

👉🏽Unadhani team gani ilifungwa hapo..??
#vitukuntu

Credits: Elimika kimshangao
Read 3 tweets
▶️Yoshito Matsushige aliyezaliwa tarehe 2 January 1913, alikuwa manusura wa milipuko ya Hiroshima, na mpiga picha pekee ambaye aliweza kunasa picha za kihistoria zinazoonyesha uharibifu wa bomu la atomiki lililopigwa kwenye mji huo.
👉Mnamo mwaka 1941...... 👇👇
#uzi Image
.....Yoshito alijiunga na shirika la kuchapisha magazeti la Geibinichinichi, ambalo baadaye liliungana na Kampuni ya Chugoku Shimbun. Alipewa idara ya upigaji picha na baada ya 1944, pia alifanya kazi kama mshiriki wa ripoti ya waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Jeshi ... Image
..la mkoa wa Chugoku nchini Japan.

👉Mnamo Agosti 6,1945 (kipindi mlipuko unatokea), Yoshito Matsushige alikuwa na umri wa miaka 32, akiishi nyumbani kwake kwenye mji wa Midori-cho, Hiroshima. Nyumba yake ilikuwa maili 1.7 (Sawa na Kilometer 2.7), kutoka sehemu ambayo mlipuko..
Read 9 tweets
▶️Josephine Myrtle Corbin alikuwa mtu wa kwanza kuzaliwa na sehemu za siri mbili na miguu minne, huko Tennessee mnamo 1868.

👉Josephine ilikuwa azaliwe akiwa na pacha wake, lakini waliungana kutoka kiunoni kwenda chini. Ugonjwa huu ambao unaitwa Dipygus, unatokana na... Image
....hali isiyo ya kawaida ya mapacha kuungana.  Alikuwa ameongezeka maradufu umbo lake kutoka kiunoni kwenda chini kwa sababu ya hali hiyo isiyo ya kawaida, lakini kuanzia kiunoni kwenda juu alikuwa wa kawaida (kama anavyoonekana pichani) 📸👇 Image
👉Miguu miwili (ambayo ndio ilikuwa ya pacha wake) kati ya minne ilikuwa midogo kuliko miguu yake halisi, lakini ilikuwa imeungana pamoja hivyo haikuwa ikimsumbua sana.

 Josephine aliolewa na Clinton Bicknell akiwa na umri wa miaka 19, na walifanikiwa kupata watoto watano..... Image
Read 5 tweets
▶️ Kifahamu Kivuko cha kwanza kabisa kuwahi kutumika Ulimwenguni..!!
#vitukuntu
#uzi

👉Je! Unajua kwamba kivuko cha kwanza ulimwenguni kilijengwa na Waturuki wakati wa Dola ya Ottoman..??

👇👇 U S I O N D O K E 👇👇
▶️Katika miaka ya 1800, usafirishaji uliofanyika katika pande zote za Bosphorus ulifanywa kwa kutumia boti. Katika miaka ya 1840, vivuko vidogo pia vilianza kutoa huduma za usafirishaji kwenye eneo hilo la Bosphorus lilopo nchini Uturuki.
📸👇(Bosphorus)
👉Mnamo mwaka1850, kivuko cha "kirket-i Hayriyye" kilianzishwa na huduma ya usafirishaji baharini ilianzishwa kwa watu wa Istanbul kupitia kivuko hiki. Hüseyin Haki Efendi, mmoja wa mameneja wa kivuko hicho, alikuwa mtu mbunifu na alikuwa akifikiria kwa miaka mingi juu ya...
Read 5 tweets
▶️Eneo la Shibuya mjini Tokyo, Japani ndilo linaelezwa kuwa eneo busy zaidi kuvuka (kwa barabara) duniani (Kwa tafsiri rahisi, ni eneo ambalo watembea kwa miguu huvuka barabara kwa wingi zaidi duniani).
#vitukuntu
👉Kila siku maelfu ya watembea kwa miguu hugombea kupita kwenye eneo hilo na ndiyo sababu linafahamika kama njia kuu busy zaidi ya watembea kwa miguu duniani.

Eneo hilo linajumuisha barabara 10 huku kukiwa na sehemu 5 za vivuko vya waenda kwa miguu (Zebra Crossing)
▶️Kwa sasa linaelezwa kuwa kivutio kikubwa kwa watalii duniani kutokana na kuzungukwa na majengo mazuri na makubwa.

#vitukuntu
Read 3 tweets
▶️FAHAMU BAADHI YA REKODI ZA KUSHANGAZA ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA REKODI ZA DUNIA CHA GUINESS.
#uzi
#vitukuntu

01. Msichana mwenye miguu mirefu zaidi duniani.

👉Naam huyu ni "Maci Currin", binti wa miaka 17 tu akitokea kwenye nchini Marekani. Maci ameweka rekodi hii....

📸👇
....mwaka huu huu wa 2021. Maci ana urefu wa futi sita na inchi kumi, lakini miguu yake tuu imechukua karibu asilimia 60 ya urefu wake wote.

(Unaweza ukaangalia picha zake zaidi Instagram kwenye account yake ya @ _maci.currin_)

📸👇
02. Familia yenye nywele nyingi.

👉Familia ya Ramos Gomez iliweka rekodi ya ulimwengu kuwa familia kubwa zaidi yenye nywele nyingi za mwilini mnamo mwaka 2000. Ndugu wanne wa familia ya watu 19 kutoka Mexico walioitwa Victor Larry Gomez, Gabriel Danny Ramos Gomez,......

📸👇
Read 18 tweets
▶️WAFAHAMU WATU MASHUHURI WALIOUWAWA KWA KUPIGWA RISASI.
#uzi
#vitukuntu

01. ABRAHAM LINCOLN
👉Alikuwa raisi wa 16 wa marekani na ndiye raisi wa kwanza wa marekani kuuawa akiwa madarakani. Aliuwawa mwaka 1865 na John Wilkes Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Lincoln ya kutambua....
....haki za watu weusi. Lincoln alipigwa risasi na John Wilkes Booth alipohudhuria kwenye maonyesho ya muziki. Booth nae aliuawa siku mbili baadae baada ya jaribio la kutoroka kushindikana.

(📸👇 John Wilkes Booth)
02. BENAZIR BHUTTO
👉Alikuwa waziri mkuu wa 11 wa Pakistani na kiongozi wa chama chenye ushawishi mkubwa cha PPP. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza taifa la kiarabu akichagizwa na siasa zake safi za kidemokrasia. Aliuwawa disemba 27 mwaka 2007 akiwa kwenye gari yake aina ya....
Read 24 tweets
▶️LEO NIMEKULETEA HAPA BAADHI YA PICHA ZA "BEHIND THE SCENES" ZA FILAMU MAARUFU YA "APOCALYPTO" 🎥
#uzi
#vitukuntu
📸👇🏾 Image
▶️Filamu hii maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu cha nchini Marekani (Hollywood) inayokwenda kwa jina la "Apocalypto" imekuwa ni mojawapo ya filamu nyingi zenye mafanikio na pia mvuto mkubwa kwa watamazaji.

👉🏾Filamu hii iliachiwa mnamo mwaka 2006.

Tuendelee..

👇🏾 👇🏾
▶️Filamu hii ilikuwa na lengo la dhati la kuelezea maisha ya kale ya wanadamu waliokuwa wakipatikana kwenye maeneo ya Amerika ya Kusini hususani wakazi waliokuwa wakiishi kwenye msitu mkubwa wa Amazon.
👉🏾Muongozaji mkuu wa filamu hii anajulikana kwa jina la "Mel Gibson"
Read 10 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!