Discover and read the best of Twitter Threads about #wapwatuinuane

Most recents (3)

BERMUDA TRIANGLE
Ijue Bermuda triangle na matukio mengi ya kusaajabisha juu ya Bermuda πŸ‡§πŸ‡² triangle

Chukua popcorn 🍿 kabisa shuka na huu uzii mpaka mwisho
-THREAD-
πŸ”Retweet iwafikie wengii
#FunFact

#FunFactFriday #wapwatuinuane
Bermuda Triangle ni eneo la Bahari ya Atlantiki pande zote mbili za ikweta mbele ya pwani ya Amerika Kaskazini, baina ya Florida, Puerto Rico na visiwa vya Bermuda.
Tangu mwaka 1964 jina la "pembetatu ya Bermuda" lilibuniwa na kusambazwa na waandishi wa habari wakijaribu kueleza kupotea kwa boti, meli na ndege katika eneo hili
Read 32 tweets
Mama yangu angefikiria nini? "

Katika mbio, (angalia picha), mwanariadha Abel Mutai anayewakilisha Kenya, alikuwa mbali ili kumaliza mbio, lakini alichanganyikiwa na alama na kusimamishwa, akifikiria alikuwa amemaliza mbio hizo.
Mwanariadha wa Uhispania, Ivan Fernandez alikuwa nyuma yake na akigundua kile kinachotokea, alianza kupiga kelele kwa Mkenya kwamba aendelee kukimbia; lakini Mutai ambaye hakujua Kihispania hakuweza kuelewa.
Kisha muispania akamshawishi ushindi. Mwandishi wa habari alimwuliza Ivan, "Kwa nini ulifanya hivyo?" Ivan akajibu, "Ndoto yangu ni kwamba siku moja tunaweza kuwa na aina ya maisha ya jamii". Mwandishi wa habari alisisitiza "
Read 7 tweets
πŸ’¨ VITA VYA ISRAELI DHIDI YA MA-HACKERS

✴ Ardhi imewaingiza Wayahudi kwenye vita dhidi ya nchi za kiharabu,Uturuki,Urussi na China.

✴ Waharibu computer 30,000+ za Iran na mfumo mzima wa nyuklia.

✴ Ndio nchi iliyoweza kuidukua iPhone.
#FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡
✴ Hawa Wayahudi wanakuambia "You hack me, I hack you" hapo ni baada ya kudukuliwa websites zote za serikali yao na wadukuzi wa Anonymous.

✴ Anonymous ndio wadukuzi wakubwa duniani. Hapa bongo kijana wakishaweza kupiga Windows, anaweka profile pic ya hawa jamaa.
✴ Anajiona Tayari ashakua IT mmoja hatari, IT unaburn movie za Chakoree!! IT unatengeneza mpaka feni!!. @TOTTechs hawa Jamaa tuwape somo kuondoa mitazamo hasi kwenye jamii.

✴ Kuwa IT sio jambo la kienyeji. Angalia hizi shoo wanazozipiga hawa wazungu.

Twende chap chap
Read 23 tweets

Related hashtags

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!