Kamala Dickson Profile picture
Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGs

Aug 15, 2020, 8 tweets

Vita ya Korea ya ilianza karne ya 20 kati ya 1950- 1953.
Korea ya Kaskazini ilivamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu wa China na Umoja wa Kisovyeti. Korea ya Kusini ilisaidiwa na Marekani hasa. Lakini Marekani #KoreanDream #OneKorea #Tanzania

Katika awamu ya kwanza kuanzia mwezi wa Mei 1950 jeshi la kaskazini lilivamia Korea ya Kusini likateka mji mkuu wa Seoul na kusukuma watetezi hadi kusini ya rasi ya Korea. Lililobaki mnamo Agosti/Septemba 1950 lilikuwa eneo la Pusan pekee #KoreanDream #OneKorea #광복절 #Tanzania

Baraza la Usalama @UmojaWaMataifa (30 Julai 1950) iliamua kuingilia kijeshi dhidi ya uvamizi kutoka Korea Kaskazini. Azimio hii lilipita kwa sababu Umoja wa Kisovyeti hukuhudhuria kikao hivyo ulishindwa kupiga veto yake. Na Marekani akapata mwanya wa Uvamizi
#OneKorea #Tanzania

Ikumbukwe Marekani aliogopa sana kukua kwa Russia kuliko toa mwanya wa kueneza ujamaa na walidhani wakiteka Korea ya Kusini Bara yote ingekuwa na wajamaa wa China, Russia, korea kasikazini, Wanjeshi wengi walioenda Vitani walikuwa wamarekani na Nchi zilizomuhunga mkono #OneKorea

1950 jeshi la China likaingia kati na kuwasukuma Wamarekani kusini tena na kuteka Seoul mara ya pili,Ndege za kijeshi za Umoja wa Kisovyeti zilisaidia zikilinda anga nyuma ya mstari wa mapigano lakini bila kuwashambulia Wamarekani juu ya eneo lao. #OneKorea

Badae jitihada za kuunganisha Korea ya kasikazini na kusini zimekuwa zikisonga bila kuzaa matunda, Mwaka jana Korea kusini na kasikazini walikutana na kufanya mazungumzo ya Amani #OneKorea @HyunJinPMoon

Na viongozi wengine Duniani wamekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wa korea kurudisha Amani, Wanachi wa Korea walipata nafasi ya kuonana tena na kuzungumza baada ya miaka mingi sana #OneKorea

Dr @HyunJinPMoon ni miongoni mwa wadau wakubwa ambaye amesisitiza kuwepo kwa Amani kati ya korea kusini na kasikazini, Siku zote ametaka Nchi zote ziunge mkono Jitihada za kuungana na kuhakikisha watu wake wanarudi kustawi kama kabla ya mapigano #OneKorea #Tanzania

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling