Kamala Dickson Profile picture
Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGs
Aug 15, 2020 8 tweets 7 min read
Vita ya Korea ya ilianza karne ya 20 kati ya 1950- 1953.
Korea ya Kaskazini ilivamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu wa China na Umoja wa Kisovyeti. Korea ya Kusini ilisaidiwa na Marekani hasa. Lakini Marekani #KoreanDream #OneKorea #Tanzania Image Katika awamu ya kwanza kuanzia mwezi wa Mei 1950 jeshi la kaskazini lilivamia Korea ya Kusini likateka mji mkuu wa Seoul na kusukuma watetezi hadi kusini ya rasi ya Korea. Lililobaki mnamo Agosti/Septemba 1950 lilikuwa eneo la Pusan pekee #KoreanDream #OneKorea #광복절 #Tanzania Image
Jul 22, 2020 11 tweets 8 min read
Japo wanawake wengi walishiriki katika Harakati za Ukombozi wa Tanzania, Tafiti nyingi zinaonyesha bado wengi hawajaweza kusimama na kushiriki katika vyombo vya kimaamuzi, Wengi wanakumbuka Historia ya Bibi Titi kama mama shupavu aliyeongoza harakati za ukombozi
Thread ImageImage Mama Sofia Kawawa ni miongoni mwa wanawake ambao walitoa mchango wa kiuongozi na pengine kumwambia Mwl JK Nia ya dhati ya kuongeza wanawake wengi kwenye nafasi za kugombea
Hoja ni je pamoja na hawa wote je kuna matunda yametokea ? Image