ODOGWU ๐• Profile picture
It's just Twitter | Malume ๐Ÿ‘Š

Apr 25, 2021, 18 tweets

โ–ถ๏ธFAHAMU BAADHI YA REKODI ZA KUSHANGAZA ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA REKODI ZA DUNIA CHA GUINESS.
#uzi
#vitukuntu

01. Msichana mwenye miguu mirefu zaidi duniani.

๐Ÿ‘‰Naam huyu ni "Maci Currin", binti wa miaka 17 tu akitokea kwenye nchini Marekani. Maci ameweka rekodi hii....

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

....mwaka huu huu wa 2021. Maci ana urefu wa futi sita na inchi kumi, lakini miguu yake tuu imechukua karibu asilimia 60 ya urefu wake wote.

(Unaweza ukaangalia picha zake zaidi Instagram kwenye account yake ya @ _maci.currin_)

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

02. Familia yenye nywele nyingi.

๐Ÿ‘‰Familia ya Ramos Gomez iliweka rekodi ya ulimwengu kuwa familia kubwa zaidi yenye nywele nyingi za mwilini mnamo mwaka 2000. Ndugu wanne wa familia ya watu 19 kutoka Mexico walioitwa Victor Larry Gomez, Gabriel Danny Ramos Gomez,......

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

....Luisa Lilia De Lira Aceves na Jesus Manuel Farajado Aceves walizaliwa na tatizo linaloitwa "hypertrichosis" (kuwa na nywele nyingi kwenye uso na kiwiliwili), hivyo kuwafanya kuwa watu wa tofauti na hiyo ilipelekea wao kuweza kuweka rekodi hii ya dunia ya Guiness.

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

03. Mwanamke mwenye kucha za vidole vya mikono ndefu zaidi.

๐Ÿ‘‰Lee Redmond kutoka Amerika aliweka rekodi ya kuwa na kucha ndefu zaidi ulimwenguni mnamo 2008. Alianza kukuza kucha zake tangu 1979. Kucha zake zina urefu wa futi 28 na inchi 4 ambayo ni urefu wa kucha zake.....

....zote kwa jumla. Kucha za Lee kwa bahati mbaya zilikatika alipopata ajali mbaya ya gari mnamo 2009. Hivyo kwa sasa Bi. Lee Redmond amepoteza kucha zake japo kwenye kitabu cha rekodi za Guiness rekodi yake bado ipo.

(๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡ Hivi ndivyo alivyo kwa sasa)

๐Ÿ‘‰Baada ya kucha za Lee kukatika kwenye ajali rekodi ya mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi za vidole vya mikono ilikuja kuwekwa tena na mwanadada "Ayanna Williams" kutoka nchini marekani. Kucha za Ayanna kwa ujumla zina futi 24 na inchi saba. Hata hivyo Ayanna naye.....

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

....amezikata kucha zake baada ya kuzifuga kwa muda wa takribani miaka thelathini.

(๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡ Ayanna Williams akizikata kucha zake)

04. Mtu mwenye ulimi mrefu zaidi.

๐Ÿ‘‰Nick Stoeberl ambaye amepewa jina la utani "The Lick" kutoka Monterey, California anashikilia Rekodi ya Ulimwengu ya Guinness kwa kuwa na ulimi mrefu zaidi tangu 2012. Ulimi wake una urefu wa sentimeta 10.10.

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

05. Binaadamu mwenye ngozi ya kuvutika zaidi.

๐Ÿ‘‰Garry Turner anashikilia rekodi ya kuwa na ngozi ya kuvutika zaidi ulimwenguni. Anaweza kuivuta ngozi yake ya tumbo lake hadi inchi 6.25 bila ya kusikia maumivu yoyote wakati akifanya hivyo. Hii inaletwa na Ehlers-Danlos..

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

.....syndrome ambayo ni ugonjwa unaosababisha "collagen" kuwa na kasoro na hivyo hupelekea kulegea kwa ngozi ya mwili.

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

06. Mwanadamu aliyeweza kushikilia idadi kubwa ya vijiko kwa kutumia ngozi yake ya mwili.

๐Ÿ‘‰Dalibor Jablanovic kutoka Serbia aliweka rekodi ya kuvishikilia vijiko (teaspoons) 79 kwenye mwili wake mnamo mwaka 2016. Watu wengi hupendelea kumuita "Magnetic Man" (Mtu-sumaku).

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

07. Mtu aliyetengeneza kofia "Hat" ndefu zaidi duniani.

๐Ÿ‘‰Odilon Ozare kutoka USA, alitengeneza kofia ambayo ina urefu wa futi 15 na inchi 9 mnamo mwaka 2018. Ili awe mmiliki halali wa rekodi hiyo Odilon alitakiwa kutembea umbali wa mita 10 akiwa ameivaa kofia hiyo....

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

....na Odilon alifanya hivyo.

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

08. Farasi mfupi zaidi Duniani.

๐Ÿ‘‰Farasi inayojulikana kwa jina la "Bombel" kutoka nchini Poland inashikilia rekodi ya dunia ya kuwa farasi mfupi zaidi duniani ikiwa na urefu wa inchi 22.36 tuu. Rekodi hii ni ya tangu mwaka 2018.

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

09. Msichana mwenye nywele ndefu za kichwani.

๐Ÿ‘‰Nilanshi patel kutoka India aliweka rekodi ya kuwa kijana mwenye nywele ndefu zaidi mnamo mwaka 2018. Nywele zake zina urefu wa jumla ya futi 5 na inchi 7.

๐Ÿ“ธ๐Ÿ‘‡

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling